Saija Ally

Saija Ally 🎬 Content Creator
πŸ“² Burudani β€’ Elimu β€’ Trend
πŸ”₯ Real vibes, real stories
πŸ‘‰ Follow Og

07/06/2026

When You Compare My Wife With Other

06/06/2026

Decision is Yours

🚨 𝐖𝐀𝐍𝐍𝐄 πŠπ”π€π‚π‡π–π€ π’πˆπŒππ€ 𝐒𝐂 Simba sports Club Kuachana na wachezaji wanne wa kigeni kueleke katika msimu mpya wa mashimdano...
24/05/2026

🚨 𝐖𝐀𝐍𝐍𝐄 πŠπ”π€π‚π‡π–π€ π’πˆπŒππ€ 𝐒𝐂

Simba sports Club Kuachana na wachezaji wanne wa kigeni kueleke katika msimu mpya wa mashimdano 2026/2027.


Wachezaji hao ni MOHAMED BAJABER , INNO LOEMBA , ALLASENE KANTE na JONATHAN SOWAH . Wachezaji hao huenda wakaondoka mwishoni mwa msimu kupisha marekekebisho mapya ya kilkosi hicho cha wanamsimbazi.

Inaelezwa kuwa Mohamed Bajaber hajawa fit na haoneshi kuwa na msaada na timu , hilo limegundulika mara kadha anapopewa nafasi na Mwalimu Steve backer.

Innoh Loemba ni mchezaji mzuri lakini haoneshi kuipa Simba faida ya moja kwa moja akiwa uwanjani , hilo limebainika mara kadhaa anapopata nafasi hushindwa kuzitendea haki , pia hata ukiangalia takwimu zake.

Allasane Kante anaondoka ili kuipa Simba sc nafasi ya kumpata kiungo mkabaji bora zaidi yake .

Jonathan Sowah anaondoka kwa ajili ya utovu wa nidhamu , amekuwa hana maelewano mazuri na uongozi.

Nifollow Pacolly Og kwa taarifa za usajili na michezo kwa ujumla .

⚽️MPIRA NI MCHEZO WA WAZI



23/05/2026

Karibu Katika Page ya Saija Ally nipo hapa kukuelimisha kukufurahisha na maisha ya kweli

FollowπŸ™

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Saija Ally posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share