16/07/2025
Ni kweli ngono ni tamu na anayekuambia si tamu anapingana na ukweli! Lakini katikati ya utamu wa ngono kuna sumu iliyofichwa katikati ya miguu.
Mwanaume anayeweza kudhibiti tamaa yake ya ngono ndiye atakayeishi maisha marefu katika Dunia hii. Mwanaume ukifanikiwa kuishinda tamaa hii ya ngono umeshinda 90% ya matatizo ya hii Dunia
Wanaume wengi hawajui kuwa mengi ya maanguko yao makuu ni matokeo ya kulala na wanawake wengi (sleeping with multiple women).
Si kila mwanamke anayekuvutia amebeba baraka, wengine wamebeba maroho machafu, wamebeba laana, wamebeba mikosi, wamebeba nuksi na wamebeba nyota chafu.
Kulala na wanawake wengi hakukufanyi wewe kuwa mwamba, bali kunakufanya kuwa ni malaya, kijogoo, mvulana, mwanaume asiyejitambua, msaliti, muongo na mwanaume asiyeijua thamani yake.
Wanaume halisi (real men) wanaojitambua wanaijua thamani ya ngono, nguvu ya ngono, mtego wa ngono na thamani ya mbegu zao kuwa ni nguvu zao za asili hivyo hawatoi nguvu zao kwa kila mwanamke.
Mwanaume nikuambie tu kuna viwango hutovifikia ni hadi umeijua siri hii kuhusu nguvu ya ngono (s*x) na athari zake
Msinitwangwe mawe ndugu