
19/09/2025
https://www.youtube.com/live/mXCMuoxUYQ8?si=qB3lWZwlnvv9AyMZ
*Misa Takatifu Mazishi ya Masista wanne Wamisionari Wakarmeli wa Mtakatifu Theresia wa Mtoto Yesu waliofariki Katika ajali ya gari wakielekea Uwanja wa ndege Mwanza.*
*Adhimisho linafanyika Katika Parokia ya Mwenyeheri Isdory Bakanja Boko Jimbo Katoliki Bagamoyo.*
*Masista hao ni :*
_*Sr. Lilian Kapongo Mama Mkuu wa Shirika Duniani.*_
_*Sr. Nerina Katibu Mkuu wa Shirika Duniani*_
_*Sr. Damaris Matheka kutoka Kenya.*_
_*Sr. Stellamaris kutoka Kenya*_
*Kindly: SUBSCRIBE, LIKE, COMMENT and SHARE*
👇
*Nkomokomo Media*
_Creating Memories for a Lifetime_
Mpenzi mtazamaji wa@NkomokomoMedia KARIBU SANA KATIKA ADHIMISHO LA MISA TAKATIFU MAZISHI YA MASISTA WATAWA WANNE WALIOFARIKI KATIKA AJALI YA GARI HUKO MWANZA...