J&R Mtita TV

J&R Mtita TV Official page JR MTITA TV
Facebook | Twitter | Youtube Channel

08/07/2025
08/07/2025

Mchambuzi Na Mtangazaji Wa Michezo Afunguka Juu Ya Sajili Za wachezaji Wapya Zilizo Kamilika Ndani Ya Klabu Ya Yanga, Ambapo Miongoni Mwa Wachezaji Hao Waliotia Saini Yanga Ni Ecua, Mohamed Doumbia Na Wengine Wengi.

Msikilize Hapa!

INTERVIEW HII NDEFU TUMEKUWEKEA YOUTUBE CHANNEL YETU YA J&R MTITA TV.

Written ✍️|

🎥 | 🎙

Powered By:

06/07/2025

Shabiki Wa Yanga Sc Atoa Ahadi Kuwa Mchezaji Wa Klabu Ya Azam Fc Feisal Salum Toto Asipo Tua Yanga Sc Msimu Huu, Atatembea Bila Nguo Mtaani 🔥🔥.

JE! UNALIPI LA KUMSHAURI NASSORO YANGA KWA HII AHADI ALIYO ITOA KWA UMMA⁉️

Msikilize Hapa!

VIDEO HII NDEFU TUMEKUWEKEA YOUTUBE CHANNEL YETU YA J&R MTITA TV.

Written ✍️|

🎥 | 🎙

Powered By:

05/07/2025

Baada Ya Klabu Ya Yanga Kuweza Kuachana Na Aliyekuwa Wao Kocha Hamdi Miloud Na Kocha Huyo Kuungana Na Klabu Ya Ismaily Ya Misri.

Shabiki Wa Klabu Ya Yanga Afunguka Na Kusema Kuwa Yanga Wamekosea Kuachana Na Kocha Hamdi Maana Alikuwa Ni Kocha Bora Na Mwenye Rekodi Zake Kubwa Za Kutwaa Ubingwa Ndani Ya Muda Mchache Aliongea Yanga Sc.

Msikilize Hapa!

VIDEO HII NDEFU TUMEKUWEKEA YOUTUBE CHANNEL YETU YA J&R MTITA TV.

Written ✍️|

🎥 | 🎙

Powered By:

05/07/2025

Mwanamuziki Ameachia Kionjo Cha Wimbo Wake Mpya 🔥🔥..

Tuambie Unaupa Asimilia Ngapi Kwa Mia Huu Wimbo Mpya Wa Mwanamuziki Chino Kidd ⁉️

Written ✍️|

Powered By:

Kwa Tetesi Za Usajili Ambazo Zimekuwa Zikiendelea Kuhusu Kocha Mokwena Na Julien Wa Asec Mimosa Mmojawapo Kuweza Kutua Y...
05/07/2025

Kwa Tetesi Za Usajili Ambazo Zimekuwa Zikiendelea Kuhusu Kocha Mokwena Na Julien Wa Asec Mimosa Mmojawapo Kuweza Kutua Yanga Sc.

Shabiki Na Mdau Wa Yanga Sc Afunguka Na Kutoa Maoni Yake Juu Ya Makocha Hao Waonahusishwa Kutakwa Na Yanga Sc.

Afunguka Na Kusema Kuwa Makocha Hawana Rekodi Kubwa Za Kukizi Vigezo Kujiunga Na Klabu Yanga Sc Ambayo Inarekodi Zake Kubwa Afrika.

Msikilize Hapa!

VIDEO HII NDEFU TUMEKUWEKEA YOUTUBE CHANNEL YETU YA J&R MTITA TV.

Written ✍️|

🎥 | 🎙

Powered By:

05/07/2025

Kutokana Tetesi Ambazo Zinaendelea Kumuhusu Mchezaji Hosro Malanga Kutoka Dr Congo Anayehusishwa Na Klabu Ya Yanga.

Mchambuzi Na Mtangazaji Wa Michezo Afafanua Ubora Na Uwezo Wa Mchezaji HuyoNa Endapo Atakapo Tua Ndani Ya Klabu Ya Yanga Anaweza Kuwa Msaada Mkubwa Kutokana Na Ubora Wake.

Msikilize Hapa!

VIDEO HII NDEFU TUMEKUWEKEA YOUTUBE CHANNEL YETU YA J&R MTITA TV.

Written ✍️|

🎥 | 🎙

Powered By:

22/06/2025

Afunguka Kuhusu Ubora Wa Mchezaji Wa Klabu Ya Simba Na Kumlinganisha Na Beki Wa Klabu Ya Yanga Kutokana Na Magoli Pamoja Na Assists Alizo Nazo Mpanzu Ni Chache Zaidi Ya Bacca.

Msikilize Hapa!

VIDEO HII NDEFU TUMEKUWEKEA YOUTUBE CHANNEL YETU YA J&R MTITA TV.

Written ✍️|

🎥 | 🎙

Powered By:

11/06/2025

Baada Ya Sintofahamu Nyingi Kuweza Kutokea Kuhusu Sakata La Klabu Ya Yanga Na Bodi Ya Ligi, Ambapo Mpaka Sasa Yamezuka Mengi Ambayo Wadau Na Mashabiki Wengi Walikuwa Hawayajui.

Afunguka Na Kuwapa Kalbu Ya Yanga Kuwa Ndio Mkombozi Wa Ligi Yetu Ya Tanzania Baada Ya Kuweza Kufichua Mengi Yaliyokuwa Yamejificha Kuhusu Bodi Ya Ligi Na TFF.

Msikilize Hapa!

VIDEO HII NDEFU TUMEKUWEKEA YOUTUBE CHANNEL YETU YA J&R MTITA TV.

Written ✍️|

🎥 | 🎙

Powered By:

11/06/2025

Shabiki Wa Klabu Ya Yanga Afunguka Kuhusu Sakata Linaloendelea La Klabu Ya Ynaga Na Bodi Ya Ligi Ambapo Sakata Hilo Limezua Mijadala Mingi Mpaka Kufikia Shirikisho La Mpira Wa Miguu Tanzania (TFF) Pamoja Na Shirikisho La Kombe La Crdb Pia Kuhusishwa Katika Mijada Hiyo Ambayo Yamekuwa Na Sintofahamu Nyingi.

Msikilize Hapa!

VIDEO HII NDEFU TUMEKUWEKEA YOUTUBE CHANNEL YETU YA J&R MTITA TV.

Written ✍️|

🎥 | 🎙

Powered By:

Karibu sana  hotel ya kifahari inayopatikana Dodoma - kisasa mtaa wa nyumba 300karibu kujipatia huduma zifuatazoMalazi,c...
11/06/2025

Karibu sana hotel ya kifahari inayopatikana Dodoma - kisasa mtaa wa nyumba 300

karibu kujipatia huduma zifuatazo
Malazi,chakula na vinywaji pia utapata huduma ya swimming pool,breakfast pamoja na WI-FI Bure kabisa

Aidha kuna Garden ya kisasa kwaajili ya kupiga picha na kumbi za mikutano
kwa mawasiliano zaidi 0773 467 756
"utakuja k**a mgeni lakini utaishi k**a mwanafamilia yetu"

10/06/2025

Mwanamuziki Kutoka Nchini 🇹🇿 Baada Ya Kukutana Na Moja Kati Ya Mwana Youtuber Maarufu Zaidi Duniani 🇺🇸 Kwenye Tuzo Za BET Huenda Mkali Huyo Wa Live Streaming Akatua Tanzania

Hii Ni Baada Mwanamuziki abigail Kutaja Kuwa Anatoka Tanzania Kabla Ya Kumjibu Kuwa Atakwenda Huko Hivi Karibuni.

Kai Ni Youtuber Maarufu Sana Marekani Na Anafahamika Zaidi Kwa Live Streaming Zake Na Wasanii Wakubwa Duniani K**a Nick Minaj, Drake, Snoop, Kanye Na Wengine Kibao.

Powered By:

Address


Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when J&R Mtita TV posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to J&R Mtita TV:

Shortcuts

  • Address
  • Alerts
  • Contact The Business
  • Claim ownership or report listing
  • Want your business to be the top-listed Media Company?

Share