Tujifunze biblia

Tujifunze biblia Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Tujifunze biblia, Publisher, DAR ES SALAAM, Dar es Salaam.

ukitaka kumjua MUNGU ni lazima usome biblia,unaposoma biblia unamwambia MUNGU nataka kua karibu na ww unapoanza kupata ufahamu kuhusu yeye ndipo utakapo shuhudia ukuu wa MUNGU

•Mtegemee MUNGU kwa kila Jambo• Wacha hatua zako zikaongozwe na Bwana•Kuifuata Sheria yake na maagizo yake ndiko kukabid...
30/10/2022

•Mtegemee MUNGU kwa kila Jambo
• Wacha hatua zako zikaongozwe na Bwana
•Kuifuata Sheria yake na maagizo yake ndiko kukabidhi njia zako kwake.
•Yeye ajuaye njia ikupasayo kupitia, Yeye atakaye chunga mapito Yako, maana tu Kondoo Wake naye ndiye Mchugaji wetu.
•Usidharau maagizo ya MUNGU aliye yote katika vyote

■ Ishi maisha matakatifu■Tii sheria ya BWANA■Nawe utakua mbarikiwa■Maana MUNGU huangalia Neno lake apate kulitimiza.■ hi...
03/05/2022

■ Ishi maisha matakatifu
■Tii sheria ya BWANA
■Nawe utakua mbarikiwa
■Maana MUNGU huangalia Neno lake apate kulitimiza.
■ hivyo k**a amesema ukiwa mtakatifu utabarikiwa basi ni lazima ubarikiwe maana Ahadi zake ni amina na kweli...
UBARIKIWE...

■Usihofu■MUNGU wetu ni MKUU sana tena saana■Akili yetu imejifunga kwenye mambo madogo madogo mazoe haya yanasababisha tu...
21/04/2022

■Usihofu
■MUNGU wetu ni MKUU sana tena saana
■Akili yetu imejifunga kwenye mambo madogo madogo mazoe haya yanasababisha tumfikilie MUNGU katika udogo huo huo.
■Usimuhofu adui yako, bali wewe muangale MUNGU anasemaje, hakuna awaye yeyote atakaye weza kukudhuru ukiwa uweponi kwake..
■kuwa mcha MUNGU
■muhofu MUNGU na si mwanadamu

■Kuza imani yako■ili uzidi hesabiwa haki kwa imani■ si kwa sheria bali kwa imani■ya kwamba KRISTO alikufa kwa ajili ya d...
12/04/2022

■Kuza imani yako
■ili uzidi hesabiwa haki kwa imani
■ si kwa sheria bali kwa imani
■ya kwamba KRISTO alikufa kwa ajili ya dhambi zetu,
■ya kwamba ni Bwana na mwokozi wetu
■ya kwamba tunatakaswa kwa damu iliyo mwagika pale msalabani
■chochea imani yako

●Linda wokovu wako●Shikiria kile unachokifahamu kuhusu YESU kristo, nguvu ya msalaba, nguvu ya ile damu ya mwanakondoo.●...
19/03/2022

●Linda wokovu wako
●Shikiria kile unachokifahamu kuhusu YESU kristo, nguvu ya msalaba, nguvu ya ile damu ya mwanakondoo.
●usiruhusu kupoteza icho unachojua kumuhusu MUNGU
●daima kaa kwenye uwepo wake
●daima ishike sheria yake
●daima uwe mwaminifu kwake.

10/03/2022
● heshimu na thamini uumbaji wa MUNGU● Thamini watu walio umbwa kwa sura na mfano wake, haijalishi ni mbaya au mzuri, ra...
02/03/2022

● heshimu na thamini uumbaji wa MUNGU
● Thamini watu walio umbwa kwa sura na mfano wake, haijalishi ni mbaya au mzuri, rafiki au adui, ndugu au jirani wewe wathamini na uwapende na Yeye ata hukumu wale walio wabaya kwako.
● Mungu anaposema mpende adui yako anamaanisha ata aliye mbaya kwako usimchukie wewe jukumu lako ni kuonesha upendo tu sababu ndio roho aliyo kuumbia nayo..chochote kilicho kinyume na kusudi lake jua icho hakitokani na YEYE.
● Sasa hacha kiburi cha uzima,usidharau asiye nacho wala usinyanyue mabega kwa kupata kwako riziki...
MHUBIRI 9:11
" Nikarudi, na kuona chini ya jua, ya kwamba si wenye mbio washindao katika michezo, wala si walio hodari washindao vitani, wala si wenye hekima wapatao chakula, wala si watu wa ufahamu wapatao mali, wala wenye ustadi wapatao upendeleo; lakini wakati na bahati huwapata wote."..
● Nawe usiye nacho usinung'unike wala kulaumu kwa kukosa kwako bali msifu YEYE aliye chanzo cha uhai wako, Mungu asikii lawama zako bali anasikiliza hoja.
ISAYA 41:21
"Haya, leteni maneno yenu, asema BWANA; toeni hoja zenu zenye nguvu, asema mfalme wa Yakobo."...
ZINGATIA,
UBARIKIWE SANA...

■ Mazingira yasikutishe■husiangalie mazingira ya kazi yako, uchumi wako, familia yako, kuzaliwa kwako n.k , ukadhani huw...
01/03/2022

■ Mazingira yasikutishe
■husiangalie mazingira ya kazi yako, uchumi wako, familia yako, kuzaliwa kwako n.k , ukadhani huwezi kutoka hapo na kupiga hatua. Mwamini MUNGU.
■ wana wa Israel MUNGU alipo watoa utumwani chini ya mkono wa farao hawakuamini k**a ingeliwezekana kuivuka bahari, walitazama mazingira, waliona hawawezi kuvuka bahari kwa hali waliyo kuwa nayo. walicho amini ni kuwa M***a aliwaleta hapo ili waangamie kwa mkono wa Farao
KUTOKA 14:10-12.
Lakini MUNGU tunae mtumikia ni zaidi ya hayo mazingira unayo kumbana nayo..ni zaidi ya matatizo,
Unacho paswa kufanya ni kumtumikia YEYE , shika sheria yake, tunza amri zake moyoni mwako, muabudu YEYE aliye juu ya vyote, kumcha MUNGU ndicho chanzo cha maarifa...
Naye atakupitisha hapo.....
Ukiangalia mazingira ya ulimwengu huu ulio kaa katika yule muovu yata kudanganya tu, yata ua imani yako kwa MUNGU maana ni kweli yanawezekana yakawa yana tisha lakini si kwamba hayawezekani kuyashinda.

UBARIKIWE....

IKIWA UNATAKA KUMPENDEZA MUNGU HAKIKISHA UNAZINGATIA MAMBO HAYA.■ Chukia uovu, yaani usiufanye, usiushuhudie uovu kaa ka...
18/02/2022

IKIWA UNATAKA KUMPENDEZA MUNGU HAKIKISHA UNAZINGATIA MAMBO HAYA.

■ Chukia uovu, yaani usiufanye, usiushuhudie uovu kaa katika kweli, wala usifurahie mwingine akitendewa uovu hata k**a atakua ni adui yako.

■ Acha kiburi kwa wanadamu walio umbwa kwa sura na mfano wa MUNGU, acha kiburi mbele za MUNGU yaani kuto tii sheria ya BWANA ndicho kiburi icho, unajua jambo fulani hali mpendezi MUNGU nawe unalifanya tu...icho nacho ni kiburi

1 YOHANA 2:16
"Maana kila kilichomo duniani, yaani, tamaa ya mwili, na tamaa ya macho, na kiburi cha uzima, havitokani na Baba, bali vyatokana na dunia."

■ Majivuno yakae mbali nawe

WAFILIPI 2:3
"msitende neno lolote kwa kushindana wala kwa majivuno, bali kwa unyenyekevu, kila mtu na amhesabu mwenzie kuwa bora kuliko nafsi yake."

■ usienende katika njia mbovu
Kaa katika wokovu wako wala usiende kushoto wala kulia

ZABURI 1:1
" Heri mtu yule asiyekwenda Katika shauri la wasio haki; Wala hakusimama katika njia ya wakosaji; Wala hakuketi barazani pa wenye mizaha."

■ chunga kinywa chako kisitamke machukizo mbele za Mungu.

Address

DAR ES SALAAM
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Tujifunze biblia posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Tujifunze biblia:

Shortcuts

Share

Category