Erasto Mashauri

Erasto Mashauri Official page | Bookings [email protected]

๐Ÿ“Arusha, Monduli
02/09/2023

๐Ÿ“Arusha, Monduli

Nikikosa Kabisa Mke Wa Kuoa, Namuoa Mama Yake na Baba, Maana Yeye baba amemuoa Mama Yangu na Sijasema Chochote! ๐Ÿ˜…
29/08/2023

Nikikosa Kabisa Mke Wa Kuoa, Namuoa Mama Yake na Baba, Maana Yeye baba amemuoa Mama Yangu na Sijasema Chochote! ๐Ÿ˜…

Habari Wadau Wetu Wa   na Watanzania Kwa Ujumlaโ–ช๏ธTutakuwa na mchezo wa hisani wa kirafiki wa mpira wa miguu ambapo utaku...
15/07/2023

Habari Wadau Wetu Wa na Watanzania Kwa Ujumla

โ–ช๏ธTutakuwa na mchezo wa hisani wa kirafiki wa mpira wa miguu ambapo utakua mchezo kati ya Team Somba vs Mburahati Combine.

Itakua ni mechi ya mpira wa miguu makaratasi au kwa jina lingine chandimu kwa Dhumuni la kuchangia kituo cha watoto Yatima (New faraja Orphanage Center )

โ–ช๏ธHivyo basi ukiwa k**a mdau wetu wa karibu tunaomba mchango wako kwaajili ya kutoa msaada kwa ndugu zetu wenye uhitaji na tunakaribisha michango mbalimbali k**a ๐Ÿ‘‡๐Ÿพ

โœ”๏ธMAHITAJI YA KITUO
Magodoro 3/6, mchele, sukar, mafuta, maharage, lishe, maziwa, pampers , mashuka ya rangi moja, net, dawa za mbu, malapa, sabuni ya vipele, panadol, vifaa vya firs Aid, deto, vifaa vya usafi, mifagio, mop, dawa za choon,Bill za maj, na luku

Na hiyo michango yote itakayopatikana tutaiwasilisha kwa uongozi wa kituo papo hapo uwanjani kupitia viongozi wao.

TUNATANGULIZA SHUKURANI ZETU, KUTOA NI MOYO NA SI UTAJILI โค๏ธ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿซถ๐Ÿพ

โœ”๏ธNOTE: Vitu unaweza Kuvifikisha Ofisini Kwetu Mbezi Beach Rainbow Karibu na Magorofa ya BOT au ukatwambia vilipo sisi tukavifata.

Kwa maelezo zaidi unaweza ukawasiliana nasi kupitia namba +255 719 000 157
+255 773 226 443
+255 786 933 331
Ahsante.

 : Kamanda wa Polisi Mkoa wa Iringa, ACP Allan Bukumbi amesema abiria wote wako salama na hakuna majeruhi yeyote katika ...
02/07/2023

: Kamanda wa Polisi Mkoa wa Iringa, ACP Allan Bukumbi amesema abiria wote wako salama na hakuna majeruhi yeyote katika ajali iliyotokea eneo la Mlima Kitonga kufuatia basi la Kampuni ya New Force kupinduka na kulalia upande mmoja.

Ajali hiyo imetokea leo saa 3:30 asubuhi Julai 2, 2023 ambapo basi hilo aina ya Yutong lilikuwa limebeba abiria 57 likitokea mkoani Iringa kuelekea jijini Dar es Salaam.

Kamanda Bukumbi amesema basi hilo lilipinduka na kuegama pembezoni mwa barabara wakati dereva akiyapita mabasi mengine yaliyokuwa yanateremka katika mlima huo yakiwa kwenye foleni.

โ€œWatu wote wako salama na hakuna majeruhi yeyote na hakuna mali nyingine zilizoharibika na kinachofuata tunapima ajali na kuchukua hatua stahiki kwa dereva huyu na mmiliki kuja kuondoa gari lake eneo la tukio,โ€amesema.

Kamanda amesema chanzo cha ajali hiyo ni uzembe wa dereva kwa kungโ€™angโ€™ania kupita mazingira ambayo hakutakiwa kupita huku akijua eneo hilo kuna mteremko mkali na magari yanapita kwa foleni.
(Mwananchi)

โœ”๏ธ ๐”๐ฅ๐ข๐ง๐ณ๐ข ๐–๐ž๐ง๐ฒ๐ž ๐ฎ๐ก๐š๐ค๐ข๐ค๐š ๐ณ๐š๐ข๐๐ข ๐ง๐ข ๐๐ˆ๐Œ๐€, ๐”๐ญ๐š๐ฅ๐ข๐ง๐๐š ๐ฏ๐ข๐ฅ๐ž ๐ฎ๐ง๐š๐ฏ๐ฒ๐จ๐ฏ๐ข๐ฉ๐ž๐ง๐๐š ๐ฎ๐ค๐ข๐ฐ๐š ๐ง๐š ๐ฎ๐ก๐š๐ค๐ข๐ค๐š

#0717909880

 : Dawa inayodaiwa kuongeza nguvu za kiume maarufu 'Akayabangu' pamoja na vumbi la Kongo zimepigwa marufuku kutumika nch...
24/06/2023

: Dawa inayodaiwa kuongeza nguvu za kiume maarufu 'Akayabangu' pamoja na vumbi la Kongo zimepigwa marufuku kutumika nchini kwa kile kilichoelezwa kuwa hazijathibitishwa ubora wake.

Hayo yamesemwa jana Ijumaa, Juni 23, 2023 na Mwenyekiti wa Baraza la Tiba Asili na Tiba Mbadala, Profesa Hamis Malebo kupitia taarifa kwa umma.

"Baraza limepata taarifa ya uwepo wa dawa asili inayotumika k**a kinywaji na jamii kubwa hasa wanaume ijulikanayo kwa jina la Akayabagu, hivyo liliamua kufanya uchunguzi wa uingizwaji, usambazwaji, ubora na usalama wa kinywaji hicho," amesema.

โœ”๏ธ ๐”๐ฅ๐ข๐ง๐ณ๐ข ๐–๐ž๐ง๐ฒ๐ž ๐ฎ๐ก๐š๐ค๐ข๐ค๐š ๐ณ๐š๐ข๐๐ข ๐ง๐ข ๐๐ˆ๐Œ๐€, ๐”๐ญ๐š๐ฅ๐ข๐ง๐๐š ๐ฏ๐ข๐ฅ๐ž ๐ฎ๐ง๐š๐ฏ๐ฒ๐จ๐ฏ๐ข๐ฉ๐ž๐ง๐๐š ๐ฎ๐ค๐ข๐ฐ๐š ๐ง๐š ๐ฎ๐ก๐š๐ค๐ข๐ค๐š

#0717909880

 : Imetimia Miaka Miwili Sasa Tangu Aliyekuwa Rais wa awamu ya Tano, John Pombe Magufuli alipofariki Tr 17, March 2021.K...
17/03/2023

: Imetimia Miaka Miwili Sasa Tangu Aliyekuwa Rais wa awamu ya Tano, John Pombe Magufuli alipofariki Tr 17, March 2021.

Kipi unakikumbuka Kwa Kiongozi Huyu?

______________
โœ”๏ธ ๐”๐ฅ๐ข๐ง๐ณ๐ข ๐–๐ž๐ง๐ฒ๐ž ๐ฎ๐ก๐š๐ค๐ข๐ค๐š ๐ณ๐š๐ข๐๐ข ๐ง๐ข ๐๐ˆ๐Œ๐€, ๐”๐ญ๐š๐ฅ๐ข๐ง๐๐š ๐ฏ๐ข๐ฅ๐ž ๐ฎ๐ง๐š๐ฏ๐ฒ๐จ๐ฏ๐ข๐ฉ๐ž๐ง๐๐š ๐ฎ๐ค๐ข๐ฐ๐š ๐ง๐š ๐ฎ๐ก๐š๐ค๐ข๐ค๐š

#0717909880

 : Aliyewahi kuwa promota na meneja wa wasanii mbalimbali hapa nchini, M***a Babaz amefariki dunia.Babaz amewahi kufanya...
13/03/2023

: Aliyewahi kuwa promota na meneja wa wasanii mbalimbali hapa nchini, M***a Babaz amefariki dunia.

Babaz amewahi kufanya kazi na Rostam (Stamina na Roma Mkatoliki), Young Killer pamoja na Jay Melody.

_____________
โœ”๏ธ ๐”๐ฅ๐ข๐ง๐ณ๐ข ๐–๐ž๐ง๐ฒ๐ž ๐ฎ๐ก๐š๐ค๐ข๐ค๐š ๐ณ๐š๐ข๐๐ข ๐ง๐ข ๐๐ˆ๐Œ๐€, ๐”๐ญ๐š๐ฅ๐ข๐ง๐๐š ๐ฏ๐ข๐ฅ๐ž ๐ฎ๐ง๐š๐ฏ๐ฒ๐จ๐ฏ๐ข๐ฉ๐ž๐ง๐๐š ๐ฎ๐ค๐ข๐ฐ๐š ๐ง๐š ๐ฎ๐ก๐š๐ค๐ข๐ค๐š

#0717909880

 : Afrika Kusini inaomboleza kifo kingine cha mwanamuziki maarufu. Kwa mujibu wa taarifa za mitandao ya kijamii, rapa Co...
12/03/2023

: Afrika Kusini inaomboleza kifo kingine cha mwanamuziki maarufu. Kwa mujibu wa taarifa za mitandao ya kijamii, rapa Costa Tsobanoglou maarufu kwa jina la kisanii Costa Titch, ameripotiwa kufariki dunia.

Rafiki yake wa karibu Junior De Rocka, alisambaza habari hizo kwenye akaunti yake ya Instagram. Alishiriki upya chapisho lake na kuandika "RIP Bro."

Kwa mujibu wa taarifa ambazo hazijathibitishwa, rapper huyo alianguka jukwaani kwenye tamasha la Ultra Afrika Kusini, kwenye ukumbi wa Expo Centre mjini Nasrec, Johannesburg.

Mbali na hilo msanii wa muziki wa Bongo Fleva Diamond Platnumz amepost inst story yake na kuandika Daaaah.

Coata Titch amewahi kufanya ngoma na Diamond Super Star lakini pia na Mbosso Shetani.

_____________________
โœ”๏ธ ๐”๐ฅ๐ข๐ง๐ณ๐ข ๐–๐ž๐ง๐ฒ๐ž ๐ฎ๐ก๐š๐ค๐ข๐ค๐š ๐ณ๐š๐ข๐๐ข ๐ง๐ข ๐๐ˆ๐Œ๐€, ๐”๐ญ๐š๐ฅ๐ข๐ง๐๐š ๐ฏ๐ข๐ฅ๐ž ๐ฎ๐ง๐š๐ฏ๐ฒ๐จ๐ฏ๐ข๐ฉ๐ž๐ง๐๐š ๐ฎ๐ค๐ข๐ฐ๐š ๐ง๐š ๐ฎ๐ก๐š๐ค๐ข๐ค๐š

#0717909880

Moja kwa Moja Nikiripoti Kutoka eneo la tukio, hapa ni  Mimi ni Erasto Mashauri Wa
11/12/2022

Moja kwa Moja Nikiripoti Kutoka eneo la tukio, hapa ni Mimi ni Erasto Mashauri Wa

๐Œ๐–๐„๐™๐ˆ ๐”๐Š๐€๐–๐„ ๐–๐€ ๐๐„๐„๐Œ๐€ ๐๐€ ๐–๐€ ๐Œ๐€๐…๐€๐๐ˆ๐Š๐ˆ๐Ž ๐Š๐–๐„๐“๐” ๐’๐Ž๐“๐„ ๐Ÿ™๐ŸพNa Wote Tuseme Amen ๐Ÿ™๐Ÿพ        ๐Ÿ™   na          #0717909880 ๐…๐จ๐ฅ๐ฅ๐จ๐ฐ ๐ฎ๐ฌ ๐ค๐ฐ...
01/11/2022

๐Œ๐–๐„๐™๐ˆ ๐”๐Š๐€๐–๐„ ๐–๐€ ๐๐„๐„๐Œ๐€ ๐๐€ ๐–๐€ ๐Œ๐€๐…๐€๐๐ˆ๐Š๐ˆ๐Ž ๐Š๐–๐„๐“๐” ๐’๐Ž๐“๐„ ๐Ÿ™๐Ÿพ

Na Wote Tuseme Amen ๐Ÿ™๐Ÿพ

๐Ÿ™ na #0717909880

๐…๐จ๐ฅ๐ฅ๐จ๐ฐ ๐ฎ๐ฌ ๐ค๐ฐ๐š ๐ˆ๐ง๐Ÿ๐จ๐ซ๐ฆ๐š๐ญ๐ข๐จ๐ง ๐ณ๐š๐ข๐๐ข ๐ฃ๐ฎ๐ฎ ๐ฒ๐š ๐๐ข๐ฆ๐š
๐๐ข๐ฆ๐š ๐‚๐ก๐š๐ฉ ๐‚๐ก๐š๐ฉ]]
๐๐ข๐ฆ๐š ๐‚๐ก๐š๐ฉ ๐‚๐ก๐š๐ฉ]]
๐๐ข๐ฆ๐š ๐‚๐ก๐š๐ฉ ๐‚๐ก๐š๐ฉ]]

Address

Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Erasto Mashauri posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Erasto Mashauri:

Share