Minister Samson Azory

Minister Samson Azory Pastor
Gospel Musician
Event Planner
Cameraman

I have been born again and He has made me worship him so I have the authority and power to do whatever I want because he is in me

24/05/2024

FISHING TIME

20/11/2023

la Baraka Musoma # Samson Azory #

22/10/2023

https://youtu.be/-oIrhg_JG9E?si=ykm9XyWzdgzKEavh Huu Ni Wimbo Kabisa. Wimbo Ulioimbwa Na Wanakwaya Wa Kanisa la NLGCC (Bonde la Baraka) Waliopo Mjini Musoma Katika Kumbukizi ya Baba Wa Taifa Julius K. Nyerere Tarehe 14 Oktoba 2023. Siku Hii Kwetu Ilikuwa ya Kipepekee Kwani Tulimuenzi Baba waTaifa Kwa Kupanda Mamia ya Miti ya Kivuli, Miti ya Mbao na ya Matunda katika Shule Mpya ya Sekondari Kigera/Mwiyare Inayoendelea Kujengwa na Mh. Rais Dr. Samia Suluhu Hasani. Zaidi Shilingi Milioni 570 Tumezishuhudia, na Kazi Ingali Inaendelea!

Utaupenda Wimbo, Utakupa Hisia, Utakuburudisha, Utakukumbusha Tulikotoka na Kukusimika Katika Uzalendo. Haya Kula Chuma Hichooo!

13/08/2023

Sijawahi Kusema mimi ni bora kuliko wengine Lakini hili ninauhakika nalo Kuwa #*Mimi ni yule ninayesaidiwa na Bwana*
*Yako maisha upande wa pili Lakini ni kwa Wale tu watakao vumilia*

*Ukuaji ni hatua na saa zingine ni hatua zenye maumivu ndani yake ila yeye avumiliaye mpaka Mwisho ndiye atakaye okoka na ndiye atakaye pata taji. Taji haiko mwanzoni taji iko mwishoni*

*Pambana unavyoweza kwepa kila mshale, usifie njiani hakikisha unashinda, na ushindi sio kumshinda Mwingine bali ushindi ni kufika Mwisho ukiwa hai na tumaini lisilo tetereka wala tashwishwi*

*2Wakorintho* 3:5
*Si kwamba twatosha sisi wenyewe kufikiri neno lo lote kwamba ni letu wenyewe, bali utoshelevu wetu watoka kwa Mungu*

31/05/2023

Join us! We can together make a difference 2023!

31/05/2023

Uwepo wa Mungu utafanya maskani pamoja na nyumba yako na hakuna nguvu itakayoweza kubadilisha baraka za Mungu katika maisha yako.



31/05/2023
God loves you Brother and sisters
09/02/2023

God loves you Brother and sisters

08/02/2023

Tucheke kidogo
😏😏

08/02/2023

Je, Ni kweli Au??

06/02/2023

JAMANI SHETANI YUPO KAZINI NA TUTASIKIA MENGI KIKUBWA NI KUWA KUSKILIZA SAUTI YA NDANI😒😒😒😒😒 Inasiktisha Mnoo

06/02/2023

Unaambiwa huyu dada akipanda madhabahuni kuimba wanaume wengi wanatoka kabisa kwenye uwepo wa Bwana... Na duru zaidi zinasema katika kanisa hili idadi ya wanaume ni kubwa kuliko wananwake... Huku sababu kubwa ikielezwa kuwa ni umbo zuri la mdada huyu... Ni kutoka Afrika Kusini...

Address

Mbez Beach
Dar Es Salaam

Telephone

+255763123328

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Minister Samson Azory posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Minister Samson Azory:

Share