Tembo Tv

Tembo Tv Entertainment/news/sports Instagram Tv

08/02/2025

Happy birthday, Asake 🎉Ahmed Ololade, professionally known as Asake, is a Nigerian singer and songwriter. Born on Januar...
14/01/2025

Happy birthday, Asake 🎉

Ahmed Ololade, professionally known as Asake, is a Nigerian singer and songwriter. Born on January 13, 1995, in Lagos, Nigeria, Asake rose to fame in the Nigerian music industry with his unique blend of street-hop and Afrobeats.

Early Life and Education

Asake was born and raised in Lagos, Nigeria. He grew up in a family of music lovers and was exposed to various genres of music from an early age. Asake developed a passion for music and began singing and writing songs as a teenager.

Asake attended the Obafemi Awolowo University in Ile-Ife, Osun State, where he studied Theatre and Performing Arts. During his time at university, Asake honed his craft as a singer and songwriter, performing at campus events and gatherings.

Music Career

Asake's music career began to take shape in 2018 when he released his debut single, "Ayeeza". However, it was his 2020 single "Lady" that brought him widespread recognition and attention.

In 2022, Asake signed a record deal with YBNL Nation, a prominent Nigerian record label founded by Olamide. Under YBNL Nation, Asake released his debut EP, "Ololade Asake", which featured the hit singles "Omo Ope" and "Sungba".

Asake's music style is a fusion of street-hop, Afrobeats, and Fuji, with lyrics that often reflect his experiences growing up in Lagos. His unique sound and energetic live performances have endeared him to fans across Nigeria and beyond.

🇹🇳 Nasreddine Nabi with 🇹🇿 Young Africans since his appointment in April 2021:🏆🏆 Tanzania Premier League🏆🏆 Azam Sports F...
15/06/2023

🇹🇳 Nasreddine Nabi with 🇹🇿 Young Africans since his appointment in April 2021:

🏆🏆 Tanzania Premier League
🏆🏆 Azam Sports Federation Cup
🏆🏆 Tanzania Community Shield
🥈 CAF Confederation Cup runners-up

🌍 🔰

Mke wa Mchezaji Wa PSG "AchrafHakimi" Hiba Abouk Alidai Talaka NaKutaka Alipwe Nusu Ya Mali AnazomilikiHakimi, Lakini Kw...
15/04/2023

Mke wa Mchezaji Wa PSG "Achraf
Hakimi" Hiba Abouk Alidai Talaka Na
Kutaka Alipwe Nusu Ya Mali Anazomiliki
Hakimi, Lakini Kwa Bahati Mbaya
Mahak**a Imemjulisha Kwamba
Mumewe hamiliki Chochote Kwa Kua
Mali Zake Zote Kaandikisha Kwa Majina
Ya Mama Yake Mzazi
Hakimi Anapokea Zaidi Ya Bilion 2 Na
Nusu Kwa Mwezi Kutoka Kwenye Club
Yake Ya PSG Na Asilimia 80% Ya
Mshahara Wake Unawekwa Kwenye
Akaunti Ya Mama Yake Mzazi " Mrs
Fatma
Hana Mali, Hana Magari, Hana Nyumba,
Hana Vito Vya Thamani Hata Nguo Zake
Vyote Vinanunuliwa Kwa jina La Mama
yake
Akihitaji Chochote Anaomba Kwa Mama
Yake. Mama Ake ndie Mnunuzi Wa Kila
Kitu.

 #  𝗗𝗲𝗮𝗹𝗖𝗼𝗺𝗽𝗹𝗲𝘁𝗲𝗱  📃🔐 Geita Gold FC tunayofuraha kuwataarifu kuwa tumefikia makubaliano na kiungo mshambuliaji Said Ntib...
01/09/2022

# 𝗗𝗲𝗮𝗹𝗖𝗼𝗺𝗽𝗹𝗲𝘁𝗲𝗱 📃🔐

Geita Gold FC tunayofuraha kuwataarifu kuwa tumefikia makubaliano na kiungo mshambuliaji Said Ntibanzokiza Lion10] kuitumikia klabu yetu kwa mkataba wa mwaka mmoja.

Godfader wa Bujumbula anakuja kuongeza nguvu katika idara ya ushambuliaji.

𝗪𝗲𝗹𝗰𝗼𝗺𝗲 the LION Lion10] ✔ 🔌

😅sasa hapo juu Mpole,Chini Lyanga ,pembeni Saido ....nyie hamuogopii🙆🏻🏃🏻🇹🇿🤝🏻🇧🇮

| Wachimbadhahabu⛏

27/08/2021
OFFICIAL.Cristiano Ronaldo anajiunga na Manchester United, taarifa rasmi kutoka kwa kilabu zimetangazwa. AMERUDI. 🔴🇵🇹   ...
27/08/2021

OFFICIAL.Cristiano Ronaldo anajiunga na Manchester United, taarifa rasmi kutoka kwa kilabu zimetangazwa. AMERUDI. 🔴🇵🇹

Rasmi na alithibitisha: Joshua Kimmich ameongeza kandarasi yake huko FC Bayern hadi 2025. 🔴
23/08/2021

Rasmi na alithibitisha: Joshua Kimmich ameongeza kandarasi yake huko FC Bayern hadi 2025. 🔴

Chelsea itakamilisha uuzaji wa David Zappacosta kwa Atalanta, masharti ya kibinafsi pia yalikubaliana. Hatajiunga na Fio...
23/08/2021

Chelsea itakamilisha uuzaji wa David Zappacosta kwa Atalanta, masharti ya kibinafsi pia yalikubaliana. Hatajiunga na Fiorentina - lakini hakuna shida kwa Lirola kwa OM, atakuwa Marseille leo. C

… Na mazungumzo kati ya Zouma na West Ham, k**a ilivyoripotiwa jana. Hakuna zabuni kutoka Tottenham .

Fainali ya Ligi ya Mabingwa itakuwa Porto, Estadio do Dragão - rasmi na kuthibitishwa na UEFA k**a inavyotarajiwa.  UC  ...
13/05/2021

Fainali ya Ligi ya Mabingwa itakuwa Porto, Estadio do Dragão - rasmi na kuthibitishwa na UEFA k**a inavyotarajiwa. UC

AJIFUNGUA WATOTO TISA NCHINI MOROCCO: Mwanamke wa Mali amefanikiwa kujifungua vichanga tisa baada ya watoa huduma ya afy...
05/05/2021

AJIFUNGUA WATOTO TISA NCHINI MOROCCO: Mwanamke wa Mali amefanikiwa kujifungua vichanga tisa baada ya watoa huduma ya afya kushindwa kuwaona watoto wawili katika vipimo vya awali na kumweleza kwamba anatarajiwa kujifungua watoto saba na hivyo kuweka rekodi mpya.

Halima Cisse, mwenye miaka 25, na watoto wake watano wa k**e na wa kiume wanne wanaendelea ‘vizuri’ baada ya kuzaliwa kwa njia ya upasuaji nchini Morocco.

Iwapo watoto wote tisa wataishi, basi Halima Cisse atakuwa amevunja rekodi ya sasa inayoshikiliwa na Nadya Suleman wa Marekani ya mwaka 2009 ambaye alijifungua watoto wanane ambao bado wanaishi mpaka sasa.

Cisse alisafirishwa kutoka taifa hilo maskini la kaskazini mwa Afrika hadi Morocco kuhakikisha watoto hao wanazaliwa salama baada ya ujauzito wake kuvutia baadhi ya viongozi wa mataifa ya Afrika Magharibi.

Kwa upande wa Wizara ya Afya ya Morocco kupitia msemaji wake, Rachid Koudhari amesema hafahamu ni kwa namna gani watoto hao pacha walizaliwa katika moja ya hospitali yao nchini humo.

Lakini katika taarifa ya Wizara ya Afya ya Mali, kwa niaba ya Waziri wake, Fanta Siby imesema, Cisse alijifungua watoto watano wa k**e na wanne wa kiume kwa njia ya upasuaji na kuongeza watoto wote na mama yao wanaendelea vizuri.

Waziri huyo amesema mama na watoto wanatarajiwa kurejea nyumbani baada ya wiki kadhaa.

Ndoa ya Tajiri wa Dunia Bill Gates na Belinda iliyodumu kwa miaka 27 na kupata Watoto watatu imetangazwa kufika mwisho n...
03/05/2021

Ndoa ya Tajiri wa Dunia Bill Gates na Belinda iliyodumu kwa miaka 27 na kupata Watoto watatu imetangazwa kufika mwisho na sasa kila mmoja anaanza maisha mapya baada ya kuachana.

Taarifa iliyotolewa leo imesema wawili hao wamefikia maamuzi ya kuvunja ndoa hiyo lakini wataendelea kushirikiana kwenye kazi zinazohusu foundation yao ambayo imekua ikitoa misaada kwa Nchi mbalimbali ikiwemo Tanzania.

Ndani ya miaka mitatu hii inakua ndoa ya Tajiri mwingine wa dunia kuvunjika ambapo talaka ya Tajiri Jeff Bezos ilitangazwa April 2019 wakiwa wamedumu kwa miaka 25 kwenye ndoa na kupata Watoto wanne.

Address


Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Tembo Tv posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Tembo Tv:

Shortcuts

  • Address
  • Alerts
  • Contact The Business
  • Claim ownership or report listing
  • Want your business to be the top-listed Media Company?

Share