King.Johns.Media

King.Johns.Media The page is about identifying the trending and talented Artist...coming MUSIC, LIFESTYLE & ART

Posted •  Hii ndio list ya ngoma kali 100 kwenye chati ya   🇹🇿 na hizi ni nyimbo 10 zinazofanya vizuri kwa sasa 🔥Bofya l...
08/06/2024

Posted • Hii ndio list ya ngoma kali 100 kwenye chati ya 🇹🇿 na hizi ni nyimbo 10 zinazofanya vizuri kwa sasa 🔥

Bofya link kwenye bio kusikiliza zote ⬆️

“ I could pay more than $1m for his verse” Central CEE talks as he lands in Nigeria for a music video shoot with Asake T...
08/06/2024

“ I could pay more than $1m for his verse” Central CEE talks as he lands in Nigeria for a music video shoot with Asake

The respect the Nigerian music industry is getting is crazy. Central CEE is currently the biggest artiste in the UK . He pays Asake for a verse and still flies to Nigeria for a video . You know why ?
Nigeria is topping the music industry now .

FACT: Diamond Platinumz has gained more subscribers on YouTube than any other Musician in Africa 🌍 Leave alone the overr...
08/06/2024

FACT: Diamond Platinumz has gained more subscribers on YouTube than any other Musician in Africa 🌍
Leave alone the overrated Nigerian artists like Rema, Davido , Asake and The so Called African Giant (Burna Boy). his closest competitor is Tyla from South Africa 🇿🇦
Diamond Platinumz is The King of African Music 🔥🔥, wapi likes zake❤️❤️

Mr. V vannyboy artist from Tanzania 🇹🇿   akiwa na Kenyan 🇰🇪nicki minaj😂 one of the curviest and prettiest actress in KEN...
07/06/2024

Mr. V vannyboy artist from Tanzania 🇹🇿 akiwa na Kenyan 🇰🇪nicki minaj😂 one of the curviest and prettiest actress in KENYA ☺️

Huyu mwanadada akigeuka Aiseey WANAUME LAZIMA TU WAVUNJE SHINGO😂..Unless we ni ka LGBTQ🤣

“Chris Brown’s “Hmmm” music video ft Davido is a pure miss, the song itself is truly terrible” - social media critìc, Da...
07/06/2024

“Chris Brown’s “Hmmm” music video ft Davido is a pure miss, the song itself is truly terrible” - social media critìc, Daniel Regha says....Haya sijui k**a wadau wanakubaliana na hii kauli that the music was completely terrible 🙅😳

Diamond Platnumz baada ya kuulizwa anazichukulia vipi tetesi kuwa Alikiba anataka kusaini baadhi ya wanahabari wake kuto...
06/06/2024

Diamond Platnumz baada ya kuulizwa anazichukulia vipi tetesi kuwa Alikiba anataka kusaini baadhi ya wanahabari wake kutoka Wasafi Media kwenda Crown Media alijibu haya...

Diamond Platnumz:

"Ukiona mtu ametoka sehemu moja kuenda kwingine basi atakuwa ameitiwa ofa nzuri, na hilo ni jambo zuri kwa sababu mimi napenda kuona mtu akipiga hatua nyingine na kujiendeleza maishani".

"Sioni shida mtu akitoka Wasafi na kujiunga na Crown".

Nandy na Alikiba wimbo wa "Dah" umefikisha 12 Million views baada ya miezi tatu.Hongera sana African Princess 🥳🎊
06/06/2024

Nandy na Alikiba wimbo wa "Dah" umefikisha 12 Million views baada ya miezi tatu.

Hongera sana African Princess 🥳🎊

Staa wa mziki "JayMelody" aliunguka kuwa kipindi yupo THT amefanya kazi ya kumuandika Nandy baadhi ya nyimbo bila kulipw...
06/06/2024

Staa wa mziki "JayMelody" aliunguka kuwa kipindi yupo THT amefanya kazi ya kumuandika Nandy baadhi ya nyimbo bila kulipwa chochote wala kupewa Heshima...
Akipiga story na JayMelody amesema "Nilimuandikia Nandy Hazipo,Halleluya bila kulipwa chochote"......

Harmonize ameachia Album rasmi 'Muziki wa Samia' yenye nyimbo 10.Wimbo mmoja amemshirikisha Awilo Longomba.
06/06/2024

Harmonize ameachia Album rasmi 'Muziki wa Samia' yenye nyimbo 10.

Wimbo mmoja amemshirikisha Awilo Longomba.

Mwamba,Bazuu🙌,kitingi cha stima 😂😂huyu hapa.Since 2008 mbaka sasa still unbeatable 🙆.15 yrs kwa industry unfadable🤣🤣.Bil...
06/06/2024

Mwamba,Bazuu🙌,kitingi cha stima 😂😂huyu hapa.
Since 2008 mbaka sasa still unbeatable 🙆.15 yrs kwa industry unfadable🤣🤣.Bila yeye Bongo Fleva No🙅sike KABISA.

APEWE MAUWA YAKE MANZE🌹🌹

Respect to SIMBA🦁LA MASIMBA DANGOTE🙌

Diamond Platnumz amefungaka kuwa yeye ana biashara nyingi zinazomlipa pesa nyingi zaidi ya muziki unavyomlipa.Diamond Pl...
06/06/2024

Diamond Platnumz amefungaka kuwa yeye ana biashara nyingi zinazomlipa pesa nyingi zaidi ya muziki unavyomlipa.

Diamond Platnumz:

"Mimi nina uwezo wa kuacha muziki kwa sababu Nina biashara nyingi zinazoniingizia pesa kuliko muziki".

"Nafanya muziki tu kwasababu ndio umeniletea hizo biashara".

MAMBO IMECHEMKA😱MARIOO AMEJAM🙆🥵Baada ya   kutoa wimbo wake wa Kunguru na Kuandika Caption iliyoashiria kuutangaza wimbo ...
06/06/2024

MAMBO IMECHEMKA😱MARIOO AMEJAM🙆🥵
Baada ya kutoa wimbo wake wa Kunguru na Kuandika Caption iliyoashiria kuutangaza wimbo wake mpya lakini ilitafsiriwa tofauti k**a kwamba amemjibubu @marioo_tz

akifanya mahojiano mbosso amejibu hakumaanisha chochote baada ya kuiona caption ya marioo alitamani kufuta ya kwake

MBOSSO ALIPOST WIMBO WAKE UKIONGOZWA KUTAFUTWA ukifuatiwa na disconnect NA KUANDIKA

'Ilikuwa ni suala na muda tu mimi kutoa wimbo'

BREAKING!!Burna Boy currently charges $1m for a show , that is 1 Billion Naira and that’s not all After you pay the $1m,...
04/06/2024

BREAKING!!

Burna Boy currently charges $1m for a show , that is 1 Billion Naira and that’s not all

After you pay the $1m, you make the following provisions

1) A 13 seater private Jet which is going to be investigated by Burna’s team to make sure it’s in good condition

2) A modern Bullet proof Van

3) There must be Igbo to take all the time he wants

4) 1 Executive Suit in a 5 star hotel , 2 Junior suit , 6 standard room heavily guarded .
5) Enough food for Odogwu and team . There must be fried rice and fried fish straight from the pool 12 bottles of clean water for Odogwu , All varieties of top class wine available.

If any of the Above is not available, Burns is not going . Remember he turned down a $5m cus he couldn’t smóke .

Indeed, Burna is big.

Mbosso Huwa Anatengeneza Ngoma Kali Halafu Anatulia Mashabiki Wanaimba Nayo Huwa Haangaiki Kuipigia Promo Nyingi Bali Am...
01/06/2024

Mbosso Huwa Anatengeneza Ngoma Kali Halafu Anatulia Mashabiki Wanaimba Nayo Huwa Haangaiki Kuipigia Promo Nyingi Bali Ameruhusu Mashabiki Wafurahie Na Kukubali Uwezo Wake Tu Wala Sio Promo Nyingi Na Kiki Sababu Anajua Muziki Mzuri Unapenya Hata Usipopiga Kelele.


Baada ya Ngoma mpya ya  DIAMOND PLATNUMZ.   kufanya Vizuri kila Kona Basi Kupitia kwenye IG (instagram) ya Diamond Amech...
01/06/2024

Baada ya Ngoma mpya ya DIAMOND PLATNUMZ. kufanya Vizuri kila Kona

Basi Kupitia kwenye IG (instagram) ya Diamond Amechapisha Video uku ikiwaonesha Wa NIGERIA wakitumia Nyimbo hiyo uku wakicheza na Kufurahi

Hivyo MOND baada ya kuona Video hiyo amefunguka kuwa,

" ILOVE YOU MORE TANZANIA, WALITUONEA SANA HAWA, NIKAWA NAWASOMA TU ... ASAIVI WAMEINGIA KWENYE MFUMO, TUMEWASHIKA PABAYA ... NA NITAHAKIKISHA TUNAWAPELEKEA MOTO MPAKA WAKIONA HII BENDERA POPOTE WAWE NA HESHIMA .. " ameandika Diamond Platnumz

Video ya Wa Nigeria wakicheza 'KOMASAVA' uku Wakitumia Madumu k**a Ngoma ... Tizama kwenye comment ..!

Unakipi cha kumshauri DIAMOND kuhusiana na Wa Nigeria ..? Dondosha comment..!


MAAJABU😱🙆... Msanii wa Afrobeat tokea nchini NIGERIA almaarufu k**a heisrema  amezua ngumzo baghala kwenye mtandao wa ja...
01/06/2024

MAAJABU😱🙆... Msanii wa Afrobeat tokea nchini NIGERIA almaarufu k**a heisrema amezua ngumzo baghala kwenye mtandao wa jamii.

Hii ni Baada ya kugundulika kuwa amefanya mabadiliko ya information kuhusu acc yake ya instagram. REMA ameifuta JINA LA MARVIN RECORD⏺️ kwenye Bio ya insta yake. Na isitoshe amezifuta picha zote alizopiga chini ya Marvin record 😳.
Shida ni gani wadau nini kinaendelea kati ya REMA na bosi wake Don Jazzy ??🤔

Sintofahamu ni gani wangwana? ama REMA anadai kujiuzulu😳🤔

Bifu kati ya W***y Paul na Diamond Platnumz bado linatokota baada ya Pozze kufichua kuwa kuna wakati alisafiri hadi nchi...
31/05/2024

Bifu kati ya W***y Paul na Diamond Platnumz bado linatokota baada ya Pozze kufichua kuwa kuna wakati alisafiri hadi nchini Tanzania kukamilisha mpango wa kufanya kolabo na Simba ,jambo ambalo halikufanyika hadi sasa .

Kupitia mahojiano na kituo kimoja cha habari jijini Nairobi, W***y Paul amesema kuwa alifanya kikao na usimamizi wa Wsafi pamoja na Diamond na waakubaliana kutengeneza nyimbombili ambapo Diamond angechagua moja na kuidondosha.

"Sijui kitu gani kilitokea kwa sababu mpango huo haukufaulu na bado sijapewa sababu na Diamond mwenyewe ama wasimamizi wa Wasafi."W***y Paul

W***y Paul kwa sasa anatamba na album yake mpya ambao ameshirikisha wasanii kutoka nje ya Kenya ikiwemo Tanzania lakini Diamond Platnumz hakupata nafasi katika kazi hiyo.

Kuhusu kukosekana kwa Star mkubwa wa Tanzania katika kazi yake,Pozze amesema nia yake ni kunadi mziki wa Kenya katika ngazi za kimataifa huku akisema kuwa wasanii wa Tanzania nchini wamejaa chuki.

Hii Ndio Ilikuwa Safari Ya Kwanza Marioo Kufika Nigeria Ambapo Diamond Platnumz Alimchukua Na Kwenda Nae Kwenye Hafla Ya...
31/05/2024

Hii Ndio Ilikuwa Safari Ya Kwanza Marioo Kufika Nigeria Ambapo Diamond Platnumz Alimchukua Na Kwenda Nae Kwenye Hafla Ya Ugawaji Tuzo Za Sound City Mwaka 2019 Ili Akajifunze Vitu Mbalimbali Katika Maswala Ya Muziki Nje Ya Tanzania.

Address

Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when King.Johns.Media posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to King.Johns.Media:

Videos

Share