
22/07/2025
Alimtabiria dogo Paten miezi miwili tu kwenye game... kumbe mwenyewe hakuivuka hata siku mbili kazini! 😅
Life huwa halina script bro — ni scene moja tu, unageuziwa camera 📸
Ulimtazama dogo Paten kwa jicho la mashaka, ukamsahau Mungu hutoa timing ya ajabu.
Leo una pause, yeye anasonga — hivyo ndivyo maisha yalivyo.
FUNZO 📌
Usimsemee mwisho wa mtu kwa sauti ya juu hujui mwanzo wako utasikika kwa kimya kikubwa.”
Maisha hubadilika haraka. Leo ni wao, kesho ni wewe. 🙏