Kiwalani TIMES

Kiwalani TIMES Ukurasa namba moja wa kupata habari za burudani,michezo,Fashion,mitindo ya maisha na matukio mbalimb

K**A UMEZOEA FACEBOOK,INSTAGRAM,SNAPCHAT,TIKTOK NA TWITTER TU BASI UPO NYUMA YA MUDA Duniani kuna mtandao wa kijamii mpy...
05/06/2021

K**A UMEZOEA FACEBOOK,INSTAGRAM,SNAPCHAT,TIKTOK NA TWITTER TU BASI UPO NYUMA YA MUDA

Duniani kuna mtandao wa kijamii mpya unaojulikana k**a "Club-house".
Upekee wa mtandao huu ni kuwa unawawezesha watumiaji kupiga stori moja kwa moja bila kurekodi sauti,watu wote wanaweza kuongea kwa wakati mmoja na kujihisi k**a wapo sehemu wanapiga stori.

Ila sasa mtandao huu ni tofauti na mingine,ili uweze kuanza kutumia mtandao huu ni lazima upate mwaliko kutoka kwa mmojawapo wa watumiaji wa mtandao huu (Muulize rafiki yako k**a ameshaanza kuutumia mtandao huu 😃😃)

Ni muhimu kujua kuutumia mtandao wa Clubhouse kwani dunia inapoelekea sasa majadiliano na stori nyingi zitakuwa zinafanyika kupitia mtandao huu kwa mfano matajiri wakubwa Afrika na duniani,wanatumia mtandao huu kuongea na vijana.

K**a unataka kuanza kutumia mtandao huu ili kwenda na fursa zinazopatikana huko jiunge na group letu la whatsapp na huko tutatoa maelezo zaidi kwa wale watakaopenda tuwaunganishe kuanza kutumia mtandao wa Club-house.

Wengi wa wakazi wa muda mrefu wa kiwalani wamesoma katika mojawapo ya shule hizi za msingi.Tuambie kitu kimoja unachokum...
16/05/2021

Wengi wa wakazi wa muda mrefu wa kiwalani wamesoma katika mojawapo ya shule hizi za msingi.

Tuambie kitu kimoja unachokumbuka kwenye shule ya msingi uliyosoma

Una wazo la biashara au una biashara tayari ?Ijue fursa hii inayoweza kukupatia mtaji wa Dola za kimarekani 5000 (Milion...
21/02/2021

Una wazo la biashara au una biashara tayari ?

Ijue fursa hii inayoweza kukupatia mtaji wa Dola za kimarekani 5000 (Milioni 12 za kitanzania) kwa ajili ya kulitimiza wazo lako au kukuza biashara yako

Fursa hii tutaielezea zaidi kwenye group letu la whatsapp.
Mtag kijana mwenzako wa kiwalani ambaye unadhani fursa hii itamhusu zaidi.

Kujiunga kwenye group gusa link iliyopo kwenye bio yetu

K**a wewe ni mzaliwa wa kiwalani na ulikuepo hata kabla ya barabara za lami,hapa ni wapi ?Tuambie hapo chini kwenye kome...
20/02/2021

K**a wewe ni mzaliwa wa kiwalani na ulikuepo hata kabla ya barabara za lami,hapa ni wapi ?

Tuambie hapo chini kwenye komenti

ZIFAHAMU BRANDS(NEMBO) ZA NGUO ZILIZOANZISHWA NA VIJANA WA KIWALANIInawezekana umezoea kuvaa nguo zenye nembo ya Gucci,Y...
13/04/2020

ZIFAHAMU BRANDS(NEMBO) ZA NGUO ZILIZOANZISHWA NA VIJANA WA KIWALANI

Inawezekana umezoea kuvaa nguo zenye nembo ya Gucci,YSL,Born to shine au African Boy lakini uliwahi kufahamu kuwa kuna brands za nguo zilizoanzishwa na vijana wa kiwalani na zinafanya vizuri sana kwenye soko la nguo.Zifuatazo ni brands za nguo zilizoanzishwa na vijana wa kiwalani

● HIGH LIFE CLOTHING LINE (Instagram:)
Hii ni brand ya nguo iliyoanzishwa na kijana aitwaye Makungwa ambaye unaweza kumpata facebook kwa jina la

● MAYBE LATER OR NEVER (MLN CLOTHING LINE)
Instagram:
Hii ni brand ya nguo iliyoanzishwa na kijana ambaye anajulikana kwa jina la Sir killer mc,jina ambalo analitumia pia kwenye mtandao wa facebook

● FACE OFF CLOTHING LINE (Instagram:)
Hii ni brand ya nguo iliyoanzishwa na Vijana wawili ambao wanajulikana kwa majina ya sterano na Young Chide

● GAME CHANGER CLOTHING LINE
Hii ni brand ya nguo iliyoanzishwa na kijana aitwaye Hamad Omari ambaye facebook anajulikana pia kwa jina la omary

● ADDICTED TO JESUS CLOTHING LINE (Instagram:)
Hii ni brand ya kikristu iliyoanzishwa na kijana aitwaye Joram Simon ambaye unaweza kumpata facebook kwa jina hilo hilo pia.

K**a kuna brand nyingine ya nguo iliyoanzishwa na kijana wa kiwalani tafadhali tuambie kwenye komenti kwa kuandika jina la hiyo brand au mwanzilishi wake au vyote kwa pamoja ili watu wapate kuijua zaidi

Address

Dar Es Salaam
255

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Kiwalani TIMES posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share