
08/04/2025
โ๐ปReal Madrid ni k**a vile hawakutaka kabisa Arsenal kupita ndani na ndio maana ule muundo wao wa ulinzi wa 4-4-2. Jude na Rodrygo wanakabia ndani zaidi na kuacha space ya pembeni . Ni jinsi gani Arsenal walifanikiwa dhidi ya muundo huo ? ( Sababu mbili : Moja Arsenal wenyewe , mbili ni watu wawili wa mbele wa Real Madrid ) kivipi ?
1: Vini na Mbappe ndio walikuwa juu lakini sasa ni k**a vile hawapo uwanjani bila mpira : hawaweki presha kwenye mpira dhidi ya Saliba na Kiwior na wala hawashuki chini haraka k*mnyima Partey uhuru wa kupokea pasi
2: Twende kwa Arsenal sasa : Position ya Skelly na Timber ilikuwa muhimu sana kunyumbulisha block ya Real , walikuwa wanapokelea mpira pembeni ya Jude na Rodrygo ambao walikuwa wanakabia ndani ( na ndio space ilipo pembeni ya hao wawili, maana yake nafasi ipo ya kusogea na mpira mbele - progression )
3: Majuk*mu ya wingers wao ( Saka na Martinelli ) kujitenga 1v1 dhidi ya Fede na Alaba hii inafanya kuitanua safu ya ulinzi ya Real na kufungua space baina ya Asencio na Fede & Rudiger na Alaba kwa Rice na Odegaard kuzishambulia .
โ๐ป Naomba nikueleze sumu nyingine ya Arsenal leo ni nini na wakina nani ? Partey na Merino positions zao : Partey anasimama nyuma ya mstari wa Vini na Mbappe wakati Merino nyuma ya Camavinga na Modric hii inafanya nini ? Inatengeneza sintofahamu kwa muda gani na wapi wanatakiwa kukabia juu au kushuka chini kwa mstari wa Camavinga + Modric na Asencio + Rudiger ( hii ilisaidia Arsenal kupata spaces na kuwa na spare Man kwenye kila kitendo cha mpira )
โ๐ปReal Madrid wazuri sana kwenye combination play lakini inahitaji mpinzani asinzie kwenye nafasi yake kiulinzi na Arsenal walikuwa bora kuzuia hasa nje ya penati box lao .
NOTE
1: Courtois kapunguza sana idadi ya magoli " Jini lile "
2: Skelly na Timber wamekabiliana vizuri Vs Vini + Rodrygo
3: Partey ๐ฅ๐ฅ utulivu na passing game yake
4: Finishing ya Merino k**a TEKA ๐ฅ
5: Saka Saka hapo hata sio fit 100% ngumu sana k*mnyamazisha๐ฅhuyu faulo zote mbili kutoka kwake
6: RICE.Zile ndio ยฃ100M ๐ฅ. Kipa aina ya Courtois ndio anafungwa vile. Zile freekicks hazizuiliki hata kidogo.
FT: Arsenal 3-0 Real Madrid.
Don't FORGET TO SHARE ๐ฏ