Waka.win

Waka.win Its your time to shine! We at Waka want to help you find your shine!

🚨PEPSI & MIRINDA COMPETITION EXTENDEDβœ… The Pepsi and Mirinda Commercial Model competition is still ON!                  ...
28/02/2025

🚨PEPSI & MIRINDA COMPETITION EXTENDED

βœ… The Pepsi and Mirinda Commercial Model competition is still ON! βœ… You now have until March 7 to VOTE for your favorite! βœ… No more uploadsβ€”just cast your votes on the WAKA APP! πŸ“²

Do you shine... or Can you Outshine?
17/01/2025

Do you shine... or Can you Outshine?

Wanafamilia wa Waka huyu ndo mshindi wetu  aliyenyakua 200,000 Tsh kwa kuonyesha vazi kali! Usikose nafasi yako kushinda...
15/01/2025

Wanafamilia wa Waka huyu ndo mshindi wetu aliyenyakua 200,000 Tsh kwa kuonyesha vazi kali!

Usikose nafasi yako kushinda, pakia picha au video yako kwenye Waka.win App na uingie kwenye shindano la Pepsi au Mirinda Commericial Model kushinda hadi 1000,000 Tsh kabla ya 28 Feb 2025!

Unataka kuwa Commercial Model wa Mirinda? 🀩Unataka kuwa model wa Mirinda na kushinda 500,000 TSH? Hii ndio nafasi yako y...
02/01/2025

Unataka kuwa Commercial Model wa Mirinda? 🀩

Unataka kuwa model wa Mirinda na kushinda 500,000 TSH? Hii ndio nafasi yako ya kung'aa! 🌟

Jinsi ya kushiriki:
1️⃣ Ingia Playstore na pakua App ya Waka.Win.
2️⃣ Follow Instagram pages za πŸ‘‰ .win na .
3️⃣ Posti picha ya mwili wako mzima au video (sekunde 30 max) ukionyesha mapozi yako πŸ”₯.
4️⃣ Posti kwenye App ya Waka.Win na Instagram yako ukitumia hashtag .

πŸ† Zawadi Kubwa:
πŸ‘‰ Mkataba wa kuwa Mirinda Model wenye thamani ya 500,000 TSH (atachaguliwa na mteja "Client's Choice").
πŸ‘‰ 500,000 TSH kwa mshindi wa kwanza atayechaguliwa kupitia kura za watu!

πŸ—“ Shindano linaisha tarehe 28 Feb. Usikose!
Vigezo na Masharti kuzingatiwa.

🌟

Unataka kuwa Commercial Model wa Pepsi? 🀩Unataka kuwa model wa Pepsi na kushinda 500,000 TSH? Hii ndio nafasi yako ya ku...
02/01/2025

Unataka kuwa Commercial Model wa Pepsi? 🀩

Unataka kuwa model wa Pepsi na kushinda 500,000 TSH? Hii ndio nafasi yako ya kung'aa! 🌟

Jinsi ya kushiriki:
1️⃣ Ingia Playstore na pakua App ya Waka.Win.
2️⃣ Follow Instagram pages za πŸ‘‰ .win na
3️⃣ Posti picha ya mwili wako mzima au video (sekunde 30 max) ukionyesha mapozi yako πŸ”₯.
4️⃣ Posti kwenye App ya Waka.Win na Instagram yako ukitumia hashtag .

πŸ† Zawadi Kubwa:
πŸ‘‰ Mkataba wa kuwa Pepsi Model wenye thamani ya 500,000 TSH (atachaguliwa na mteja "Client's Choice").
πŸ‘‰ 500,000 TSH kwa mshindi wa kwanza atayechaguliwa kupitia kura za watu!

πŸ—“ Shindano linaisha tarehe 28 Feb. Usikose!
Vigezo na Masharti kuzingatiwa.

🌟

Shine your Brightest with Waka!
25/12/2024

Shine your Brightest with Waka!

Ukipendeza, kila kitu kinapendeza! Tuonyeshe ukali wako kwenye kutupia upate 200,000 Tzs! Pakua Waka App ujiunge leo BUR...
05/12/2024

Ukipendeza, kila kitu kinapendeza! Tuonyeshe ukali wako kwenye kutupia upate 200,000 Tzs!

Pakua Waka App ujiunge leo BURE kabisa!

Vibe ya Tarangire! Huku haturuki tu, tunapaa k**a ndege ✈️! Leta mzuka wako kwenye Waka na uonyeshe vibe yako. Jiunge bu...
18/11/2024

Vibe ya Tarangire! Huku haturuki tu, tunapaa k**a ndege ✈️! Leta mzuka wako kwenye Waka na uonyeshe vibe yako. Jiunge bure, category inaisha tarehe 30 Novemba!

Waka app mpya ipo hewani! πŸš€  Jukwaa limewaka, ni muda wako wa kung'aa!Hatua 3 za kuanza:1. Pakua/Update Waka App - Pata ...
11/11/2024

Waka app mpya ipo hewani! πŸš€ Jukwaa limewaka, ni muda wako wa kung'aa!

Hatua 3 za kuanza:

1. Pakua/Update Waka App - Pata toleo jipya.
2. Thibitisha kwa OTP - Linda akaunti yako kwa namba ya simu au email.
3. Post na Ushinde - Onyesha kipaji chako kwa zawadi!

Maingizo ya  shindano la  :Most Artistic" ya kuwania 400,000 TSH ndo haya hapa. Kumbuka weka Picha. michoro au kipaji ch...
06/11/2024

Maingizo ya shindano la :Most Artistic" ya kuwania 400,000 TSH ndo haya hapa. Kumbuka weka Picha. michoro au kipaji chochote kwenye shindano ULIYOFANYA WEWE MWENYEWE.

Mrs  Waka ameshinda 200,000 TSH! πŸŽ‰πŸŽŠ Hongera sana kwa  kwa ushindi huu mkubwa! πŸ† Usikose kuingia kwenye makundi yetu bila...
05/11/2024

Mrs Waka ameshinda 200,000 TSH! πŸŽ‰πŸŽŠ Hongera sana kwa kwa ushindi huu mkubwa! πŸ† Usikose kuingia kwenye makundi yetu bila malipo, na hakikisha unaomba marafiki zako kupiga kura. πŸ™ŒπŸ’Έ .

****

Mrs. Waka has won 200,000 TSH! πŸŽ‰πŸŽŠ Congratulations to on this amazing win! πŸ† Join our categories for free and make sure to ask your friends to vote. πŸ™ŒπŸ’Έ

Tunaomba radhi kwa usumbufu. Tunaiboresha Waka! Ipo kwenye matengenezo kwa sasa, tafadhali kuwa na subira. Asante kwa us...
05/11/2024

Tunaomba radhi kwa usumbufu. Tunaiboresha Waka! Ipo kwenye matengenezo kwa sasa, tafadhali kuwa na subira. Asante kwa ushirikiano wenu.

Address

Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 08:00 - 17:00
Tuesday 08:00 - 17:00
Wednesday 08:00 - 17:00
Thursday 08:00 - 17:00
Friday 08:00 - 17:00

Telephone

+255767114451

Website

https://play.google.com/store/apps/details?id=win.waka.viewer

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Waka.win posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Waka.win:

Share

Category