
19/02/2024
JE WAJUA.....🤤
BEKI wa Manchester City, Manuel Akanji katika bega lake la Kushoto amechora tattoo ya nembo ya timu ya Taifa ya Negeria Super Eagle 🦅 🇳🇬.
Baba yake Akanji ni Mnaigeria lakini beki huyo alizaliwa Uswisi huku akiamua Kulitumikia Taifa la Uswisi badala ya Nigeria ambalo ndio asili ya kwao.