Ubuyu midia habar za ulimwengu

Ubuyu midia habar za ulimwengu Yanga fans

23/06/2025
Kuna watu wanatamani nawenyewe wapate tetesi zakununuliwa wachezaji wawo lakini hakuna make wachezaji wawo niwabaya hawa...
28/05/2025

Kuna watu wanatamani nawenyewe wapate tetesi zakununuliwa wachezaji wawo lakini hakuna make wachezaji wawo niwabaya hawana kiwango kizuli angalia wenzenu mabiiii na mabiiii yanavo somaaa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Hili nijambo jema k**a viongozi wa young Africans sports kwakua munatambua mpila siyo uwadui πŸ™πŸ™πŸ™πŸ’›πŸ’›πŸ’›πŸ’šπŸ’šπŸ’š
28/05/2025

Hili nijambo jema k**a viongozi wa young Africans sports kwakua munatambua mpila siyo uwadui πŸ™πŸ™πŸ™πŸ’›πŸ’›πŸ’›πŸ’šπŸ’šπŸ’š

,πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
02/04/2025

,πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯

Rasmi leo Chama Cha Soka cha vilabu Afrika [ACA] chini ya Mwenyekiti wake Eng. Hersi Said kimesaini Mkataba wa ushirikia...
11/03/2025

Rasmi leo Chama Cha Soka cha vilabu Afrika [ACA] chini ya Mwenyekiti wake Eng. Hersi Said kimesaini Mkataba wa ushirikiano na Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika [CAF]. Hafla hii imefanyika kwenye mji wa Cairo, Misri na kuhudhuriwa na Viongozi wa juu wa Taasisi hizi mbili, Eng Hersi na Rais wa CAF, Dkt. Patrice Motsepe.

Pongezi kwa Rais wetu Eng. Hersi Said kwa hatua nyingine kubwaπŸ‘πŸΎ


Wananchi, Nyie ni Mashabiki Bora sana. Kwa wote waliosafiri kutoka Mbali, Kwa walionunua Tiketi, kwa wafanyabiashara na ...
08/03/2025

Wananchi, Nyie ni Mashabiki Bora sana. Kwa wote waliosafiri kutoka Mbali, Kwa walionunua Tiketi, kwa wafanyabiashara na kwa wote Mliofanya Duwaa Ya Ushindi Tunawapa pole sana kwa Kilichotokea. Kila wakati tupo Tayari kuitumikia Nembo Hii na kuhakikisha mnapata furaha. Asanteni kwa support yenu WananchiπŸ”°πŸ’š

08/03/2025
πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ‘πŸ‘
24/02/2025

πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ‘πŸ‘

yanga bingwaaaaa πŸ‘πŸ‘πŸ‘
24/02/2025

yanga bingwaaaaa πŸ‘πŸ‘πŸ‘

24/02/2025

huko ubuwa vipi tena 🀣🀣🀣🀣🀣

Address

Dar Es Salaam

Telephone

+255742496777

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Ubuyu midia habar za ulimwengu posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share