24/07/2023
Ule Muda uliokuwa unasubiriwa Kwa Hamu na Shauku Kubwa Umefika sasa, Ni Uzinduzi Wa Sauti za Kumoyo Ep siku ya Ijumaa ya Tarehe 28.7.2023 kuanzia saa 12 jioni hadi saa4 Usiku
Burudani ya live Kwaajili ya Wageni Waalikwa katika Ukumbi wa Makumbusho Ya Taifa (Posta, Dar es salaam)
Hii Si Ya kukosa, Hakuna Kiingilio ————————————————
Mradi huu wa SAUTI ZA KUMOYO umefadhiliwa na ubalozi wa na
Kupitia FEEL FREE Grants inayotolewa na
Ukitekelezwa na Uswazi Born Talents kwa kushirikiana na Baraza la Sanaa Tanzania Basata Tanzania .tanzania
na
"