YAZAH GROUP

YAZAH GROUP Spin Media is regestered Media agency under Yazah Group Limited deals with Online TV, Media Consultant, Magazine Production and campaign..

23/01/2018

Home Spin Sports Hatimaye Nabii Tito amekamatwa na Jeshi la Polisi. Spin SportsHatimaye Nabii Tito amekamatwa na Jeshi la Polisi. By JOHN MALIKI - Jan 23, 2018 2 SHARE Facebook Twitter Jeshi la Polisi mkoani Dodoma, Linamshikilia kwa mahojiano, Tito Onesmo Machibya ‘Nabii Tito’ ambaye amekuwa ak...

Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi “Sugu” leo Januari 22, 2018 atafikishwa tena kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi Mbey...
22/01/2018

Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi “Sugu” leo Januari 22, 2018 atafikishwa tena kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi Mbeya kusomewa shtaka lake la “kumfedhehesha Rais” kutokana na matamshi yake aliyoyatoa kwenye mkutano wa hadhara alioufanya December 30, 2017.

Licha ya kushindwa kuhudhuria hafla ya utoaji wa tuzo za SAG kutokana na kusumbulia na tataizo la saratani ya matiti, mu...
22/01/2018

Licha ya kushindwa kuhudhuria hafla ya utoaji wa tuzo za SAG kutokana na kusumbulia na tataizo la saratani ya matiti, muigizaji wa k**e wa Marekani Julia Louis-Dreyfus amefanikiwa kutwaa tuzo 2 za SAG na kumfanya kuwa muigazji mwenye tuzo nyingi zaidi za SAG akiwa tayari amejikusanyia tuzo 9

Zaidi soma, www.spintanzania.co.tz

Mkuu wa Wilaya ya Kibaha, Asumpter Mshama ameamuru walimu wakuu wawili wa shule za msingi, Miembesaba na Jitegemee kushu...
22/01/2018

Mkuu wa Wilaya ya Kibaha, Asumpter Mshama ameamuru walimu wakuu wawili wa shule za msingi, Miembesaba na Jitegemee kushushwa vyeo na kuwa walimu wa kawaida kutokana na kosa la kuchangisha michango wazazi kwa ajili ya mitihani na masomo ya ziada.

Soma zaidi, www.spintanzania.co.tz

Rais Mteule wa Liberia, George Weah anatarajia kuapishwa hii leo Jumatatu, Januari 22, 2018 huku Raia wa Liberia wakisub...
22/01/2018

Rais Mteule wa Liberia, George Weah anatarajia kuapishwa hii leo Jumatatu, Januari 22, 2018 huku Raia wa Liberia wakisubiria kwa hamu tukio hilo ambapo wengi wao wamekesha katika uwanja wa mpira wa taifa, mahala ambapo leo historia ya mwanasoka huyo inajiandika.

22/01/2018

Home Top Stories Magazeti ya leo Jumatatu, Januari 22, 2018 Top StoriesMagazeti ya leo Jumatatu, Januari 22, 2018 By JOHN MALIKI - Jan 22, 2018 2 SHARE Facebook Twitter SHARE Facebook Twitter tweet Previous articleHuyu ndiye Mbunge aliyesema akihama chama wananchi wakachome nyumba yake Moto. JOHN MA...

Klabu ya Arsenal imesema imejitoa kwenye mbio za kumnasa nyota wa Bordeaux, Malcom Oliveira mwezi huu wa Januari. Arsena...
19/01/2018

Klabu ya Arsenal imesema imejitoa kwenye mbio za kumnasa nyota wa Bordeaux, Malcom Oliveira mwezi huu wa Januari. Arsenal imesema haiko tayari kutoa kitita cha Pauni Milioni 44 kiasi ambacho klabu yake inataka ili kumuachia kinda huyo mwenye umri wa miaka 20

Klabu ya Arsenal imesema imejitoa kwenye mbio za kumnasa nyota wa Bordeaux, Malcom Oliveira mwezi huu wa Januari. Arsena...
19/01/2018

Klabu ya Arsenal imesema imejitoa kwenye mbio za kumnasa nyota wa Bordeaux, Malcom Oliveira mwezi huu wa Januari. Arsenal imesema haiko tayari kutoa kitita cha Pauni Milioni 44 kiasi ambacho klabu yake inataka ili kumuachia kinda huyo mwenye umri wa miaka 20


Ilivyokuwa leo kwenye utambulisho wa Kocha mkuu wa Simba pamoja na kocha wa Viungo
19/01/2018

Ilivyokuwa leo kwenye utambulisho wa Kocha mkuu wa Simba pamoja na kocha wa Viungo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt.John Pombe Magufuli amewaagiza waziri wa ujenzi, uchukuzi na mawasliano...
19/01/2018

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt.John Pombe Magufuli amewaagiza waziri wa ujenzi, uchukuzi na mawasliano Prof.Makame Mbarawa Mnyaa na waziri wa ujenzi, mawasiliano na usafirishaji wa Zanzibar Balozi Ali Abeid Karume kusitisha usajili wa meli mpya.

Mwandada Amena Khan raia wa Uingereza amevunja rekodi ya kuwa mwanamke wa kwanza aliyevalia Hijabu kufanya tangazo la ny...
19/01/2018

Mwandada Amena Khan raia wa Uingereza amevunja rekodi ya kuwa mwanamke wa kwanza aliyevalia Hijabu kufanya tangazo la nywele za kampuni ya urembo ya L'Oreal Paris ya nchini Ufaransa.

Nahodha wa kikosi cha Pep Guardiola, raia wa Brazil, Fernando Luiz Roza "Fernandinho" amesaini mkataba mpya wa miaka 2 n...
19/01/2018

Nahodha wa kikosi cha Pep Guardiola, raia wa Brazil, Fernando Luiz Roza "Fernandinho" amesaini mkataba mpya wa miaka 2 na klabu yake hiyo mara baada ya mkataba wake wa awali kuwa unafika ukingoni mwishoni mwa msimu huu.

Address

Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when YAZAH GROUP posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to YAZAH GROUP:

Share