
13/10/2025
🚨✍️Kama Ivory coast itashinda mchezo wake wa kesho dhidi ya Kenya bas watafuzu moja kwa moja kombe la dunia mwakani. Hivyo basi kunauwezekano mkubwa tukapata mwakilishi au mchezaji kutoka NBC premiere league endapo kocha wa Ivory Coast atamwamini Pacome na kumpa nafasi.