ANSI ROSE News

ANSI ROSE News Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from ANSI ROSE News, Media/News Company, Ilala, Dar es salaam, Dar es Salaam.

Irani yathibitisha kuuwa wamarekani 80 kwa makombora
08/01/2020

Irani yathibitisha kuuwa wamarekani 80 kwa makombora

Mdogo wa marehemu stive kanumba Seth Bosco amefariki dunia usiku wa kuamkia Leo nyumbani kwao kimara baada ya kuugua kwa...
07/12/2019

Mdogo wa marehemu stive kanumba Seth Bosco amefariki dunia usiku wa kuamkia Leo nyumbani kwao kimara baada ya kuugua kwa muda mrefu.

Magazeti ya leo
22/11/2019

Magazeti ya leo

Mwenyekiti wa CUF- taifa proof. Lipumba amesema ni Jambo he kwa chuo kikuu Cha UDOM kumtunikia shahada ya heshima Rais m...
21/11/2019

Mwenyekiti wa CUF- taifa proof. Lipumba amesema ni Jambo he kwa chuo kikuu Cha UDOM kumtunikia shahada ya heshima Rais magufuli, lakini ameviomba vyuo vikuu kuwatazama na watu wa vyama vya upinzani wakati wa utoaji wa shahada hizo.

Mkazi wa Kijiji Cha chela msalala mkoani shinyanga buluba jilasa mwenye umri wa miyaka 70 amevamiwa na fisi na kushambul...
21/11/2019

Mkazi wa Kijiji Cha chela msalala mkoani shinyanga buluba jilasa mwenye umri wa miyaka 70 amevamiwa na fisi na kushambuliwa sehemu mbalimbali za mwili wake. Uvamizi uo ulitokea majira ya saa nne usiku akiwa amelala fisi alivunja mlango na kuanza kumshambulia kitandani.

03/11/2019

Kifua kikuu Ni ugonjwa unaosambazwa kwa njia ya hewa kutoka kwa mtu aliye na maambukizi ya kifua kikuu kwenda kwa mtu asiye na maambukizi, yaweza kuwa kwa chafya au kukohoa, na kila tone moja litokalo laweza kuzalisha mgonjwa mpya wa kifua kikuu.

"Usimtenge Ila kuwa makini"

27/10/2019

Raisi wa marekani Dornard Trump amesema kiongozi wa kundi la Dora ya kiislam Bakar Bagdadi amejiuwa kwa kujilipua na mabomu baada ya kukamatwa na kikosi maalumu Cha marekani

26/10/2019

Msemaji mkuu wa serekali dkt Hassan Abbas amesema kuwa ndege mpya ya Tanzania itawasili Leo majira ya tisa za arasili na hivyo kupelekea kufikisha idadi ya ndege Saba zinazomilikiwa na Air Tanzania.

Address

Ilala, Dar Es Salaam
Dar Es Salaam
222

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when ANSI ROSE News posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share