HATUA TV

HATUA TV Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from HATUA TV, Digital creator, Dar es salaam, .

Karibu HATUA TV kwa habari, burudani na matukio mbalimbali yanayojitokeza Duniani kote.
▪︎ For Advertisment, Business Conversations and Tip Contact us +255797882509

26/12/2025

Unajua k**a janaba huchangia nuksi na mikosi kwenye maisha yako?? 😅
Mpigie sasa kwa namba 0748869733 / 0659869734 au fika ofisini kwake Mbagala Kizuian barabara ya kwenda jeshini.

Kindly follow

26/12/2025

Video kamili tayari tumekuwekea YouTube ya HATUA TV. Kwa msaada zaidi, Mpigie sasa kwa namba 0748869733 / 0659869734 au fika ofisini kwake Mbagala Kizuian barabara ya kwenda jeshini.

Kindly follow

26/12/2025

Kuna familia ama koo nyingi ambazo zimepata madhara makubwa kutokana na mikataba ya kimizimu inayozikabili koo hizo. Video kamili tayari tumekuwekea YouTube ya HATUA TV.
Kwa msaada zaidi; mpigie sasa kwa namba 0748869733 / 0659869734 au fika ofisini kwake Mbagala Kizuian barabara ya kwenda jeshini.

Kindly follow

21/12/2025

Tatizo la kukosa usingizi ni janga linalowasumbua watu wengi sana kwa nyakati hizi. Hii inatokana na sababu mbalimbali zikijumuishwa na mwili, saikolojia na mengineyo. ameeleza kitaalamu na kwa kina zaidi sababu za kukosa usingizi na namna ya kudhibiti tatizo hilo kirahisi zaidi ukiwa nyumbani kwako.

Mpigie sasa kwa namba 0748869733 / 0659869734 au fika ofisini kwake Mbagala Kizuian barabara ya kwenda jeshini.

Kindly follow

19/12/2025

Unaweza kufungua rizki zilizofungwa kwenye maisha yako kwa kutumia jina lako. Kutana na Sheik Sabas, bingwa wa Dua za Kibingwa kamwe hautakuwa k**a ulivyokuwa awali. Video zake kamili tumekuwekea YouTube ya HATUA TV.

Kwa msaada zaidi; wasilia sasa na nguli wa Dua za Kibingwa Sheikh Sabas kwa simu namba 0654861386


19/12/2025

Dua nyingi zinafanyika na watu kweli wanasaidiwa, lakini kuna wale ambao hawasaidiki na dua hizo.

Sasa habari njema kwako wewe uliyeteseka kwa muda mrefu; Sheik Sabas anakuletea Ukumbi wa Dua za Kibingwa. Hizi ni dua maalumu zenye maandalizi makubwa na ya aina yake kwaajili ya kuharibu kila aina ya uharibifu uliyopandwa kwenye maisha yako.

Ukikutana na Sheikh Sabas na kufanyiwa Dua ya Kibingwa, ni sawa na kuyakatia Rufaa matatizo yako yote na Inshaallah M/Mungu atakufanyia mlango mpya.

Kwa msaada zaidi; wasilia sasa na nguli wa Dua za Kibingwa Sheikh Sabas kwa simu namba 0654861386

Usisahau Kufollow HATUA TV kwa taarifa na habari zaidi.

19/12/2025

Yawezekana wengi wetu tayari tumeshakuwa na mashambulio ama tumeshaathiriwa na tezi dume pasipokujua. Lakini leo; Bingwa na mtaalamu wa tiba amekuandalia elimu tosha kuhusu tezi dume kwa ujumla wake, dalili zake, athari na namna rahisi ya kutibu bila kufanya upasuaji.

Mpigie sasa kwa namba 0748869733 / 0659869734 au fika ofisini kwake Mbagala Kizuian barabara ya kwenda jeshini.

Kindly follow

15/12/2025

Video kamili tumekuwekea YouTube ya HATUA TV.
Kwa mawasiliano zaidi, piga simu namba 0621 714089

FOLLOW HATUA TV

15/12/2025

Wasiana sasa na kwa namba za simu 0621 714089 ili uweze kupata maelezo muhimu zaidi ya namna ya kufika kwenye Dua tar 19/12/2025.

Folow

15/12/2025

Hii haijawahi kutokea Tanzania hasa katika jiji kuu la kibiashara Dar es Salaam; anautangazia na kuukaribisha umma wa Tanzania na nje ya mipaka ya Tanzania katika mkesha Dua kubwa ya kufungia mwaka utakaofanyika Mtoni Kwa Aziz Ally, Wilaya ya Temeke jijini Dar es Salaam.

Kwa taarifa na maelezo zaidi wasiliana na kwa namba 0621 714089

Kindly; Follow

13/12/2025

Moyo wa shukrani ni jambo jema sana. Kijana aliyenyimwa mke kisa ufupi, awashukuru wote waliompa pole na masheikh waliomuombea dua.

Video kamili tumekuwekea YouTube ya HATUA TV
Please, follow

13/12/2025

Utu wa mtu upo machoni pa mtu, umuonae wanini, wenzio wanawaza watampata lini. Mwamba kapata chuma kipya 😃😃

Kwa matibabu, Dua na ushauri, mpigie sasa kwa namba 0748869733 / 0659869734 au fika ofisini kwake Mbagala Kizuian barabara ya kwenda jeshini.

Kindly follow

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when HATUA TV posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to HATUA TV:

  • Want your business to be the top-listed Media Company?

Share