Right sport

Right sport tαnzαníα sportsman report

Unauzungumziaje usajili wa KDH?Wanangu wa darajani sasa
16/08/2024

Unauzungumziaje usajili wa KDH?
Wanangu wa darajani sasa

Viingilio vya mchezo wa kwanza wa Ligi Kuu 2024/25 dhidi ya Tabora United.Tumia Simba Bando kupata dakika za kupiga, sms...
16/08/2024

Viingilio vya mchezo wa kwanza wa Ligi Kuu 2024/25 dhidi ya Tabora United.

Tumia Simba Bando kupata dakika za kupiga, sms na data. Kujiunga piga *149*01 # > 8> 1.
Credit simba sc

16/08/2024

𝐖𝐄𝐊𝐀 𝐍𝐈𝐀 𝐓𝐔𝐀𝐍𝐙𝐄 𝐒𝐈𝐊𝐔 𝐊𝐖𝐀 𝐊𝐔𝐌𝐓𝐀𝐍𝐆𝐔𝐋𝐈𝐙𝐀 𝐌𝐔𝐍𝐆𝐔

Mwenyezi Mungu tunashukuru kwa kutupa nafasi nyingine muhimu ya Kuiona siku ya leo na kuvuta Pumzi yako, Tunajua si kwa ujanja wetu bali ni mapenzi yako

Mungu, tunaomba baraka zitawale miongoni mwetu, Ulinzi wako uwe ni silaha yetu na matendo yetu katika siku nzima yawe yenye kukupendeza

Mungu tunajikabidhi kwako na tunaamini leo yetu ni bora kuliko jana.

Amen🙏
@followers

PREMIER LEAGUE 🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿 IMERUDI RASMI WEKA UTABIRI WAKO WA TOP 4 YA MSIMU HUU⤵️
16/08/2024

PREMIER LEAGUE 🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿 IMERUDI RASMI WEKA UTABIRI WAKO WA TOP 4 YA MSIMU HUU⤵️

💢 HABARI KUHUSU MANULA KURUDI KAMBINI"Aishi Manula bado ni mchezaji halali wa Simba Sports, Unavyosema dirisha limefungw...
16/08/2024

💢 HABARI KUHUSU MANULA KURUDI KAMBINI

"Aishi Manula bado ni mchezaji halali wa Simba Sports, Unavyosema dirisha limefungwa na amekosa Timu unakosea, Kwenye mifumo ya Usajili TMS na sehemu zingine zote Manula yupo k**a mchezaji wa Simba na hajawahi kutolewa"

"Na leseni yake ya kuitumikia Simba Msimu huu imeshatoka na muda wowote kutoka sasa mtamuona Aishi Manula kambini tayari kuitumikia Simba yake"

🗣️Ahmed Ally
🔴Meneja wa habari na mawasiliano Simba SC akizungumza na Crown Sports

Something
16/08/2024

Something

Lionel Messi amefunga bao la 8️⃣0️⃣0️⃣ katika ngazi ya vilabu na timu ya Taifa ya Argentina 🇦🇷😂 Haikuwa rahisi hii leo d...
24/03/2023

Lionel Messi amefunga bao la 8️⃣0️⃣0️⃣ katika ngazi ya vilabu na timu ya Taifa ya Argentina 🇦🇷

😂 Haikuwa rahisi hii leo dhidi ya Panama 🇵🇦 kupata bao lenye historia kubwa kwake, mechi ilikuwa ni zaidi ya Kirafiki.

HISIA KALI 😢 Golikipa wa timu ya Taifa ya Argentina 🇦🇷 Emiliano Martinez amemwaga machozi wakati mashabiki wa timu hiyo ...
24/03/2023

HISIA KALI 😢

Golikipa wa timu ya Taifa ya Argentina 🇦🇷 Emiliano Martinez amemwaga machozi wakati mashabiki wa timu hiyo wakiwashangilia wakati wakiimba wimbo wao wa Taifa katika mchezo wa kwanza wa nyumbani dhidi ya Panama 🇵🇦 tangu watwae ubingwa wa Kombe la Dunia 2022.

Mechi yao ijayo ya Kirafiki ni dhidi ya Curaçao 🇨🇼 ambayo nayo watacheza katika uwanja wao wa nyumbani.

sports

CHIPOLOPOLO HAKUNA KULALA 🔥Baada ya ushindi wa mabao 3️⃣ ➖ 1️⃣ dhidi ya Lesotho 🇱🇸 hapo jana, kikosi cha timu ya Taifa y...
24/03/2023

CHIPOLOPOLO HAKUNA KULALA 🔥

Baada ya ushindi wa mabao 3️⃣ ➖ 1️⃣ dhidi ya Lesotho 🇱🇸 hapo jana, kikosi cha timu ya Taifa ya Zambia 🇿🇲 maarufu k**a Chipolopolo kimetua jijini Johannesburg usiku huu kwaajili ya mchezo wa Marudiano wa kuwania tiketi ya kushiriki Michuano ya AFCON 2023.

Zambia 🇿🇲 itakuwa ugenini dhidi ya Lesotho 🇱🇸 Jumapili hii Machi 26.

Address

Dar Es Salaam
7882773

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Right sport posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share