Chris. kaka wa thamani

Chris. kaka wa thamani Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Chris. kaka wa thamani, Broadcasting & media production company, beach resort mbezi, Dar es Salaam.

14/09/2025

Je unaweza ukamfanyia unyama huu mwenzako wa kubadilisha viungo vya mwili wake na kuwa vya mnyama Yaani kwatoo kwa sababu ya kuifurahisha nafsi yako k**a sio chanzo cha unyama mkubwa ..
Tuombe Mungu ageuze roho zetu kwa kuoneana huruma na kupendana piaa .

31/08/2025

Wanyama wa kufugwa nao wanasaidia sana kwenye mazingira kupambana na adui. Nambie mnyama wako unayemuhusudu aliyewahi kukufanyia mambo makubwa ya kufukuza viumbe hatar kwenye nyumba yako ..

21/08/2025

Enjoy Siri ya kusaidia wengine bila kujali dhuluma za maisha yako unayojitolea .

08/08/2025

Je unaweza hili ukiwa na kundi lako huko porini !?? Tuendelee kuwaona wamasai k**a wawindaji wakubwa au hata makabila mengine yanaweza kufukuza Simba bila shidaa!? Njoo na maoni yako Tutayasoma ndani ya kipindi jirani .

30/07/2025

Ewe dereva ilishawahi kukupata hii kwenye kazi yako . Abiria kusimamisha gari pasipo shida na baadae huyooo anasepa kabisaa .
Hatua gani ichukuliwe kwa abiria wa namna hii.
Karibu kwa maoni piaa.💥

24/07/2025

Mara baada ya Mkuu wa Mkoa kuliona hili la Mwendokas hatimae amekuja kuleta suluhu .!!je wananchi wataelewa dhumuni la usafiri na kutunza magari ili yasiharibike au bado magari yazidi kuwa madogo kwa sababu ya ongezeko la watu !??
Karibu kwa maoni .

20/07/2025

Je ni kweli kwamba mikojo ya wanyama Huwa ni dawa !?? Mfano hapo kwenye picha mfugaji akiegesha kichwa chake na ng'ombe akimkojolea kichwani .
Karibu na maoni yako yatasoma vema.

17/07/2025

Wengi husema mtoto kucheza na nyoka hawezi kupata madhara .je kwako mdau Kuna nguvu gani ipo kati ya nyoka na mtoto mpka Hali inakuwa hivi ilivyoo .!? Tutasoma na ujumbe wako murua .

13/07/2025

Dominika ikawe ya heri kwako .

10/07/2025

Je baadhi ya Mila na desturi zinazoweza kuhatarisha maisha ya watu ziendelee au zipuuzwe !! Maana wengine huatarisha maisha Yao kwa mambo ya sifa za aina hiyoo piaa .!??
Karibu mdau wa Redio na Television tufahamishane hili kwa ujumbe wako nitakaousoma hewani !!

06/07/2025

Hata nchi za wenzetu pia wapo waporaji wajanja sana ila Cha msingi usiishike simu wakati upo kwenye dirisha la gari au kwenye folen itakuwa si Mali yako .
Tufanyeje ili Hali na Tabia hizi ziishe .
Maoni yako ni muhimu kupitia Tv na Redio.

02/07/2025

Upepo mkali na kimbunga ndani ya Alabama umesababisha watu wengi kupoteza makazi na baadhi kufariki .. Hali hii hutokea mara kwa mara katika nchi za wenzetu na bado wao husimama Tena kwa kujenga miundombinu .!!?
Je African inapaswa kujikinga kwa njia gani!?
Karibu kwa maoni kupitia Redio Tumaini. Tv Tumaini

Address

Beach Resort Mbezi
Dar Es Salaam

Telephone

+255688485558

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Chris. kaka wa thamani posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share