juma mkwasi

juma mkwasi Kwa habari motomoto za michezo

🚨 DONE DEALChristophe Galtier ametengazwa kuwa kocha mpya wa klabu ya PSG. Galtier anachukua nafasi ya Mauricio Pochetin...
05/07/2022

🚨 DONE DEAL

Christophe Galtier ametengazwa kuwa kocha mpya wa klabu ya PSG. Galtier anachukua nafasi ya Mauricio Pochetino aliyetimuliwa.

- Medie Kagere 🇷🇼 ameambiwa na viongozi wa Simba Sc kwamba hawana mpango naye kwa msimu ujao. - He is now a free agent.
05/07/2022

- Medie Kagere 🇷🇼 ameambiwa na viongozi wa Simba Sc kwamba hawana mpango naye kwa msimu ujao.

- He is now a free agent.

Sky Sports |Christian Eriksen amekubali kujiunga na Manchester United kwa mkataba wa miaka mitatu.
05/07/2022

Sky Sports |

Christian Eriksen amekubali kujiunga na Manchester United kwa mkataba wa miaka mitatu.

Mtoto karudi nyumbani, Bernard Morrison ni MWANANCHI kwa mara nyingine 🔰💥Mabingwa wa ligi kuu Tanzania bara 🇹🇿 Young Afr...
05/07/2022

Mtoto karudi nyumbani, Bernard Morrison ni MWANANCHI kwa mara nyingine 🔰💥

Mabingwa wa ligi kuu Tanzania bara 🇹🇿 Young Africans SC wamemtambulisha rasmi, kiungo mshambuliaji Bernard Morrison 🇬🇭

Amesaini mkataba wa miaka miwili.

PRE SEASON 2022/23:📸MANCHESTER UNITED🔴🔴.-Michezo yote ya Kujiandaa na msimu 2022/23 ya  itaruka Live kupitia MUTV ndani ...
05/07/2022

PRE SEASON 2022/23:
📸MANCHESTER UNITED🔴🔴.
-Michezo yote ya Kujiandaa na msimu 2022/23 ya itaruka Live kupitia MUTV ndani ya Startimes.
Usikose..!

Tazama MUTV kupitia Startimes >>Dishi #252 na Antena #264

Deal done
05/07/2022

Deal done

vipi unakubaliana na Zakazakazi

Address

Dar Es Salaam
9919

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when juma mkwasi posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to juma mkwasi:

Share