Mhana TZ

Mhana TZ Mhana TZ | Comedy • Meme • Sports
Burudani safi, habari za michezo na vichekesho vya uhakika. Stay connected, stay entertained 🔥⚽️

0682075410

25/03/2026

Usiku Mwema

22/03/2026

Good Morning

08/03/2026

Tuko pamoja

06/03/2026

Niacheni tu wanangu

04/03/2026

Liverpool is High ゚viralシalシ ゚viralシ

04/03/2026

Ila Watanzania bhana
Kuna jamaa hapa Mtaani kwetu ni Malaya kinoma anajiita Iran
Mshambuliaji
⚠️⚠️🤣

Hii ni Nyama ya Ngozi ya Ng'ombe sana sana Ngozi ya Kichwa wengine huzibanika na kuzotolea Manyoa ili ziwe safi na kizip...
04/03/2026

Hii ni Nyama ya Ngozi ya Ng'ombe sana sana Ngozi ya Kichwa wengine huzibanika na kuzotolea Manyoa ili ziwe safi na kizipika Supu sio k**a vile wengine mnavyofikria

Kilichotokea hapo ni kwamba walishindwa kulikwangua Vizuri nankuiweka katika hali ya usafi zaidi ndio maa a imekuwa na muonekano huo wa kutisha walaji ⚠️⚠️
Sasa watu Comment zao balaa 🤣🤣🫵

04/03/2026

Iran ni Mwanaume anaepambania Heshima ndani kwake

04/03/2026

Iran hana mpango wa kuacha Vita kabisa
⚠️⚠️
Maana kila siku anapigwa na kupiga

Je Allan Okello na Boka  wanaweza kuwa na Msaada zaidi ya huu wasasa Jibu kwangu ni NDIO kubwa Japo ukweli ni Mchungu il...
04/03/2026

Je Allan Okello na Boka wanaweza kuwa na Msaada zaidi ya huu wasasa Jibu kwangu ni NDIO kubwa

Japo ukweli ni Mchungu ila inatakiwa tuseme tu ili wanaopigana wapigane wanao tulia watulie wale Nyama wanyamaze kistaarabu eeh bhanaa eeh light k**a Mimi ningelikuwa Kocha wa Yanga Sports Club leo hii ningekuwa na maamuzi magumu kutokana na situation iliopo

Kwa Sasa Timu imekumbwa na Majeraha Mengi na tena kwa wachezaji muhimu sana k**a vile Pacome,Mzize na Job japo niwengi zaidi ya hao ila Mawazo yangu ni yapi mpaka nimeandika Leo tena

Mawazo yangu ni haya Allan Okello ni Mchezaji kwanza tukubali kuwa Okello sio Mzeji anayeweza battle yani kupambana na Wachezaji wengine kuwania Mpira either kuwanyanganya au kuulinda kwa usahihi hivyo basi Okello Moja kwa Moja anapoteza Sifa ya kuwa Winga

Pili Allan Okello kwa sababu sio Mkabaji Mzuri na pia sio mchezaji anaependa kuguswa wala kukaba sana mie ningebadirishia Majukumu kwa kumchezesha namba 10 na sio Winga kwa sababu sifa ya Namba 10 wengi sio wakabaji wala wapenda kugusana ila niwazuri kumiliki Mipira kwa sababu ya uwezo wao mkubwa ya kupunguza Adui na kutoa Pasi zenye Madhara makubwa kwa Adui hivyo basi hata ukiangalia Touch nzuri alizofanya Okello utagundua kafanya akiwa anacheza eneo la namba 10 na sio Winga 7 au 11

Haya twende kwa Boka bhana Boka ni Mchezaji Mzuri sana kwenye Kupandisha Timu kutoka katika eneo lake la 3 kwenda 11 hapa huwa na Kasi sana pia ni mzuri kwenye kutengeneza Pasi za mwisho pia kufunga Sometimes napia nimefutilia uwezo wake nikaona kuwa Boka pia tukimsogeza namba 11 pale anaweza kutoa kitu kuliko hao tunaosema ni namba 11 halisia hivi sasa ukiangalia katika Timu yetu kwa Sasa hakuna Winga namba 11 anaweza kufanya k**a Boka huo ndio ukweli

Kwa hivyo basi ningempatia Boka nafasi ya Majaribio k**a Winga angalau kwa Games Mbili nione ataniofa nini

Ngoja niishie hapo kwa Sasa nitakuja na Mambo mengine baadae kuhusu Kocha wenu 🤣🤣⚠️

🏃🏃

Address

Mwanza
16112

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mhana TZ posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Mhana TZ:

Share