08/10/2026
Msanii wa muziki wa bongo fleva Tid ameweka wazi kuwa siri ya mafanikio yake kwenye maisha ni kuwa anafanya mazoezi sana ,anakunywa maji na hajavunja amri ya sita kwa miezi 6.
''Nalala mapema nakunywa maji mengi sijafanya s8x kwa miezi sita sasa ''Amesema -Tid