Fodenga Studio

Fodenga Studio Newz and entertainment in the World

Happy Birthday to me! I'm better than yesterday and stronger than before, I feel grace upon me πŸ₯°πŸ˜.... πŸ‘‘
09/07/2024

Happy Birthday to me! I'm better than yesterday and stronger than before, I feel grace upon me πŸ₯°πŸ˜....

πŸ‘‘

Ilikuwa ni furaha kubwa sana kwangu na nafasi adhimu kutokea kwenye maisha yangu kupata nafasi ya kuongea na mkongwe kwe...
23/05/2024

Ilikuwa ni furaha kubwa sana kwangu na nafasi adhimu kutokea kwenye maisha yangu kupata nafasi ya kuongea na mkongwe kwenye tasnia ya filamu Tanzania, Mzee Chilo
Nimejifunza mengi sana na siku hii sikujua kuisahau kamwe Asante Baba.

Happy Mother's Day πŸ’ to you my queen βœŠπŸΎπŸ€— my fighter πŸ’ž I love you with all my heart ❀️....... πŸ™ Wewe ni zaidi ya Kila kit...
12/05/2024

Happy Mother's Day πŸ’ to you my queen βœŠπŸΎπŸ€— my fighter πŸ’ž I love you with all my heart ❀️....... πŸ™ Wewe ni zaidi ya Kila kitu maishani mwangu nakupenda sana mama angu nakuombea Mungu azidi kukupa uhai na uzima tele uje kula matunda ya mwanao βœπŸΎβœŠπŸΎπŸ€‘......

βœ… 'sDays

Zingatia sana kujikubali kwenye maisha yako kwa sababu hakuna anaejali kuhusu wewe, kuhusu chochote kile tunza sana moyo...
13/03/2024

Zingatia sana kujikubali kwenye maisha yako kwa sababu hakuna anaejali kuhusu wewe, kuhusu chochote kile tunza sana moyo wako, your not that cheaper πŸ₯΅

The last day of the end of year I spend with my family πŸ’•, this is woow to me thanks GodI wish you guys happy New Year 🎊 ...
31/12/2023

The last day of the end of year I spend with my family πŸ’•, this is woow to me thanks God

I wish you guys happy New Year 🎊

Hakuna sababu ya kujichukia na kujidharau hasa ukijua unafanya nn kwenye maisha yako,   and Smart πŸ€žπŸ”’β€οΈ
24/12/2023

Hakuna sababu ya kujichukia na kujidharau hasa ukijua unafanya nn kwenye maisha yako, and Smart πŸ€žπŸ”’β€οΈ

Punguza Malalamiko Kwa Mungu wakati wa kusali, Jifunze  kumshukuru Mungu kila wakati, jifunze kusema asante.Nae atakuony...
10/09/2023

Punguza Malalamiko Kwa Mungu wakati wa kusali, Jifunze kumshukuru Mungu kila wakati, jifunze kusema asante.
Nae atakuonyesha na kukupa Mengi mema maishani mwako.

Habari Kaka, Naitwa Danford kutoka CineBox sisi tunahusika na kutoa taarifa za Filamu Tanzania Hongera Kwa Tamthilia Yak...
27/07/2023

Habari Kaka, Naitwa Danford kutoka CineBox sisi tunahusika na kutoa taarifa za Filamu Tanzania Hongera Kwa Tamthilia Yako mpya ya Mtaa wa KazaMoyo.

πŸ‘‘

Address

Dar Es Salaam
Dar Es Salaam

Telephone

+255719230102

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Fodenga Studio posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share