Rascol Medy

Rascol Medy 🎭 Content Creator
🌍 Entertainment | Lifestyle
🔥 Real content, real vibes
✅ Follow to be part of the family🔥
(2)

Neno moja kwa Wagwani🫵
10/08/2026

Neno moja kwa Wagwani🫵

11/07/2026

Dokta salome na yutiai 😂😂😂😂

Niite Baba Baba ❤️
27/06/2026

Niite Baba Baba ❤️

Sura Ya Tatu Msatari Wa Pili - Kwa Mungu Hakupikwi.😂
26/06/2026

Sura Ya Tatu Msatari Wa Pili - Kwa Mungu Hakupikwi.😂

Washiriki wa series yetu ya “KONDA” 😂❤️❤️
23/06/2026

Washiriki wa series yetu ya “KONDA” 😂❤️❤️

Hii account ni yetu sote, MIMI NA NYIE MASHABIKI❤️. Ila Kilichotukuta ni hiki.“Facebook wanasema mimeenda kinyume na ser...
22/06/2026

Hii account ni yetu sote, MIMI NA NYIE MASHABIKI❤️. Ila Kilichotukuta ni hiki.

“Facebook wanasema mimeenda kinyume na sera zao walizo ziweka hivyo imepeleka kuonekana mimefanya makosa jambo ambalo sio kweli kwasababu video nimezichunguza hakuna ambayo imeenda njee na sheria zao”

-Hilo ni pigo kubwa kwangu. Nimelazimika kufungua account nyingine ya facebook inayoitwa RascolMedy Tv .

-Mpaka sasa tumewaomba facebook watufungulie account yetu,hivyo wakifungua tutaendelea kupost.

-Nakuomba sana ndugu yangu uendelee kunisapoti kwenye hio account yangu mpya kwa kunifollow na kuangalia kazi zetu tunazo zipost humo.

🙏🙏🙏🙏Bila wewe shabiki mimi si chochote.

Usikose Kuangalia Tamthilia Yetu Inaitwa “KONDA” Kupitia Ukurasa wetu wa Facebook Unaoitwa 👇👇👇RascolMedy Tv
21/06/2026

Usikose Kuangalia Tamthilia Yetu Inaitwa “KONDA” Kupitia Ukurasa wetu wa Facebook Unaoitwa 👇👇👇
RascolMedy Tv

18/06/2026

Majibu ya salome baada ya kuskia ndoa 😂😂😂

18/06/2026

Salome akabidhiwa kwa rascol, tamko hilo amelitoa kaka wa salome k**a muwakilishi wa familia,asitokee mtu akaleta uchonganishi 🤫🤫🤫🤫

18/06/2026

Kabla ya salome kuvurugwa 🤫🤫🤫🤫

Address

Dar Es Salaam

Telephone

+255654032465

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Rascol Medy posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Rascol Medy:

Shortcuts

Share