CRAZY BLIND

CRAZY BLIND Advocate for the weak/There is no war which is Fair/Mindset change is the First key to Success..

Do your Best it’s Greatest.
15/10/2019

Do your Best it’s Greatest.

About | Contact Us | Terms of Use | Earnings Disclaimer | Refund Policy | GDPR Rights | Privacy Policy | Legal & Policies

06/10/2019

Wee Unahisi Ni nini Hada Njia Sahihi ya Mafanikio au Kuto Fanikiwa,Je Mausiano ya Kweli Kati yako na Mungu au Ufahamu Mdogo na Upana wa Ulimwengu Wetu Huu !!!
Fanya Ku Like Tukutane Next Week.

04/10/2019

Niaje Mazee Vipi pande zako hali ipo Je Time hii 👋.

Umbrella can’t stop the rain but can make us stand in Rain,Confidence May not bring success but gives us power to face A...
10/09/2019

Umbrella can’t stop the rain but can make us stand in Rain,Confidence May not bring success but gives us power to face Any Challenge in our life..

Ebu Tu Chukuwe Muda Mchache Tu Kufikirri hii Kitu ! mi sielewi Japo Ni Ngumu Kupinga Matokeo ya JAH, Nipo Amini mimi ni ...
09/09/2019

Ebu Tu Chukuwe Muda Mchache Tu Kufikirri hii Kitu ! mi sielewi Japo Ni Ngumu Kupinga Matokeo ya JAH, Nipo Amini mimi ni Ule Ubabe Unaona Mfanya Mtu Kuongea Ukweli pia Kuacha Alama Ya Kumbukumbu Ni Zaidi ya Historia, Leo Robert Mugabe Amekuta Huko Mlipo Mashijaa Na Haki na Ukweli, Ivi Ukapewa Chance Nyingine na Sir God ili Japo Kwa Wiki Moja Tu Amrudishe Kiongozi Umoja Je Ni Yupi Ungempa Hiyo na Fasi Tena Kati ya Hawa Mashuja Wetu !!..

Habari za Saa Hizi Ndugu wa Pendwa wa Crazy Blind Na Tumai Nyote ni Wazima Wa Afya,     Kwa Taarifa Tulizo nazo Sasa Tum...
06/09/2019

Habari za Saa Hizi Ndugu wa Pendwa wa Crazy Blind Na Tumai Nyote ni Wazima Wa Afya,
Kwa Taarifa Tulizo nazo Sasa Tumempoteza Rais Wa Kwanza Wa Zimbabwe 🇿🇼 Robert Mugabe,Ndugu Mmoja Wa Familia ya Robert Mugabe Amezibitisha Kicho Chake Huku siku kazaa Alikuwa Inchini Singapore 🇸🇬 Kwa Matibabu R.I.P Mh Robert Mugabe ..

06/09/2019

Lol 😂

06/09/2019

South Africa Ni nini Mmefanya !!
Mimi binafsi Hii ni Mara Ya Tatu Mnafanya Madudu yeni Kwa Wa Afrika Wenzenu Bila Kijibiwa Na Inch yeyote ya Afrika, Mmeshindwa Kuwa Timuwa Hao Wa Zangu mnadili na Maskini Wenzenu !!!
Imekuwa Too Much, Wa Zambia na Wacongo DRC Wameanuwa Kukuonyesheni Kuwa Kuwa Na wenyewe Wana Kwao, Mnefanya nini Sasa Afrika Nzima Wakiamua Kulikoroga Wazulu Mtapona Kweli!!!! Acha Utoto Nyie Afrika ni Moja na Vita yetu ni ya Mzugu Sio Sisi Kwa Sisi Mazee ...

Niaje Mazee I hope Nyote ni Wazima wa Afya Ma people Tunajitaidi Kufanya Tafiti Zetu ili Tu kuwaletea Mastory ya Uakika ...
06/09/2019

Niaje Mazee I hope Nyote ni Wazima wa Afya Ma people Tunajitaidi Kufanya Tafiti Zetu ili Tu kuwaletea Mastory ya Uakika na ya Faidi kwetu K**a WaAfrika Halisi, Matumaini yangu Mwanzoni Mwa Week Tunayo Anza Tutakua na Makuu Zaidi, Tuendelee Tu Kuwashukuru kwa Pamoja na Mchango wenu Kwa Ujumla..

Back to your Roots                        Think Different Habari za Kutwa Ndugu wa Pendwa wa Crazy Blind// Na Tumai Huu ...
28/08/2019

Back to your Roots
Think Different

Habari za Kutwa Ndugu wa Pendwa wa Crazy Blind// Na Tumai Huu Wazima wa Afya na Kwa Wale walio Tofauti ki Afya Basi Mungu na Awazidishie Afya Njema ili Sote Tujumuike Kwenye Harakati zetu za Kila Siku, Basi Nijaribu Kuwa Alika ili Sote Tuchangie kwa Hili Hususan Sisi Tuoko Tayari Ugaibuni na Kwa wale nao Tarajia Kuingia Ugaibuni Kwa Muda Wowote,
Ni Kweli Kwamba Hii Haina Ubishi Kuwa Hamna Njia Sahihi na Maalum katika Kuakikisha Tuna Rudi Kwa Asili yetu, Pia Tunapo Zungumzia Back to your Roots Haimaanishi Kuwa Sisi Sote Tuopo Ugaibuni Turidi Afrika Sasa Hapana, Bali Tunajaribu Kuendelea Kufanya Tafiti Ni Jinsi Gani Tunaweza Kuirudia Asili yetu Sisi K**a Wa Afrika Japo Ni Wazi Kuwa Huwezi Kujisifu Kuwa Wewe ni Yule Kati ya Watu Ambao Bado Wana Izingatia Asili Yao Afuu Unaishi Ugenini!
Na Maanisha Kuwa Ualisia wa Asili yako ni Ile Sehem Ambayo ni Chimbuko la Mizizi ya Ukoo,Jamii na Asili yako,
Basi Tusipoteze Sana Muda Tujaribu Kurudi Kwa Mada yatu Ambayo ni Back to your Roots, Ni mejaribu Kufanya Tafiti Kwa Hili Jambo Majibu yana Utata kidogo Japo Baazi ya Viongozi Wetu wa Kale walijaribu Kuliona Hili Kwa Mapana Zaidi, Na Ikafikia Baazi ya Inch Kutowa Hekari Zaidi ya 500 Elfu Na Kuwatangazia Wa Afrika walio Kuwa Utumwani Pande za Jamaica na usa Huku wa Kisisitizwa Kuwa Haijalishi Wewe Umetoka wapi au kabila Gani, Ukijisikia Kurudi Afrika Njoo Utapewa Sehem ya Kuishi na Maisha Yata Endelea Vizuri, Ni Kweli Baazi Walirudi pande za Egypt,Guinea na Zimbabwe Japo Maisha Yalikuwa Magumu Kwa Kiasi Chake Ukizingatia Hawa Nguruwe hawawezi Kamwe Kumruhusu Mtu yoyote Kurudi Nyumbani Kwa Amani Huku Akikusanya Chake kidogo Alicho Kivuna Utumwani, Maisha yalikuwa Mabaya ikafikia Hatua Baazi Yao wali Kufa Na Wengine Waliamua Kurudi Tena Ugaibuni Na Kwa Wale Wachache walio Kubali Matokeo Hadi Sasa Kizazi chao Kina Thimulia Ujasili wa Wazee wao,
Kwa Upeo Wangu Ebu Tujaribu Kutafuta Mizizi wa Fitina Uko wapi ?
Maana Miaka inazidi Kusogea Je Hatujapata Ufumbuzi Bado ? Je Elemu Ndo Bado inatuaminishi Kuwa Hatuwezi ? Kwa nini Wao Wana Endelea Kumuomba Mungu wa Mababu zao Na Sisi Tuna Shuudia Makuu Yao !! Ni nini Hasa Tunacho Kisubiria, Nilikutana Na Sentesi Moja Inayo Sema Kuwa(Muafrika Ukitaka Asijuwe Kitu Basi Andika Vitabu na Ujaze Maktaba) Hawa Jamaa Wana Amini Ni Ngumu sana Muafrika Kuchukua Muda Mchache na Kujisomea Vitabu, Swali K**a Kweli ni Ngumu Kusoma Vitabu Muda wa Kufanya Utafiki Na Kujiuliza Kwanini Mimi Utapatikana Kweli !!!
Mimi Na Amini na Fasi Bado ipo ni Sisi kujielewa na Kujiuliza Kwa nini Muafrika,
Ni kukumbushe Tu China ni Inch Ambayo Kwa Sasa inakimbiza Kiuchumi Duniani na Watu wengi Sana ila China Haikupoteza Asili yake Kabisa,
Ni Kuwa Makini na Tayari Kwa Kila Kitu au Mabadiliko yetu kwani Bila Kuthubutu Hatu kata Huuu Mzizi wa Fitina Pia hii Ndo Sehem ya Kwanza ya Back to your Roots Japo ipo Kimabano Sana ila Sehem Zifuatazo Tutajaribu Kutowa Tafsiri Kwa Mapana na Muda Ulio Tumika Kwa Matukio na Mifano yetu,Kubwa Zaidi ni Kumalazi Hilo linalo Tuzunguuka la Back to your Roots Na ni Manaeneo Gani Sahihi ya Kujivunia Kuwa Asili yako, Cha Kufanya Hapa LIKE page yetu ya Crazy Blind Pia Usisahau Ku Comment ili Tukusogezee Story za Muafrika na Ualisia wa Ugaibuni Kwa Wati, Kubwa Kuliko Isikose Sehem ifuatayo.


By Joh

Kwa Upeo wa Mtazamo Wangu hii Ndo Kubwa Kuliko yote ..
27/08/2019

Kwa Upeo wa Mtazamo Wangu hii Ndo Kubwa Kuliko yote ..

Address

233 W Boise Avenue Boise ID
Dar Es Salaam
83607

Telephone

+12087131298

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when CRAZY BLIND posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to CRAZY BLIND:

Share