Ngamia Media

Ngamia Media Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Ngamia Media, Media/News Company, Dar es Salaam.

https://youtu.be/b9u6TLeaX80Vituko vya Lady Gaga na mavazi yake ya ajabu
14/06/2023

https://youtu.be/b9u6TLeaX80

Vituko vya Lady Gaga na mavazi yake ya ajabu

Kwenye hii video nimeelezea vazi lililotengenezwa na nyama mbichi ya Ng'ombe Kuanzia gauni,Pochi,Kofia na viatu lililovaluwa na Mwanamuziki lady Gaga.Vazi hi...

Click hapa Kisha Bonyeza kitufe cha notify me Ili uwe wa kwanza kupata notification ya simulizi hii ya kusisimua.
08/06/2023

Click hapa Kisha Bonyeza kitufe cha notify me Ili uwe wa kwanza kupata notification ya simulizi hii ya kusisimua.

Sheria za nchi hii ya Tonga zinaweza kukuacha na Mashangao..! Kwanza tuijue Tonga kidogo halafu nikujuze Sheria yao ya kushangaza kwenye mazishi ya Mfalme wa...

https://youtu.be/Kbd8N1TTChUHey..There.! ๐Ÿ˜ŠHabari Yako bila shaka upo mzima, Wewe ni hodari Mwenyezi Mungu akulinde.Kweny...
08/06/2023

https://youtu.be/Kbd8N1TTChU

Hey..There.! ๐Ÿ˜ŠHabari Yako bila shaka upo mzima, Wewe ni hodari Mwenyezi Mungu akulinde.

Kwenye hii video nimekusogezea idadi ya watoto aliowaacha Bob Marley Gwiji wa muziki wa Lege Duniani

Mwamba huyuuu hapaaa๐Ÿ˜‚๐Ÿ™Œalikuwa na watoto 11 aliowapata na wanawake 7 tofauti na wote wanaishi kwa upendo k**a watoto wa mama mmoja.

Tufuatilie kwenye mitandao yetu ya kijamii Facebook,Instagram na TikTok

Usisahau kusubscribe, Kukomenti na Ku-share

Kwenye hii video nimekusogezea idadi ya watoto aliowaacha Bob Marley Gwiji wa muziki wa Lege DunianiMwamba alikuwa na watoto 11 aliowapata na wanawake 7 tofa...

Usilazimishe kupata vitu vizuri, lazimisha kuwa BORA SANA katika mambo yako: Nakuhakikishia ukilifanya hilo daima vitu v...
30/09/2022

Usilazimishe kupata vitu vizuri, lazimisha kuwa BORA SANA katika mambo yako:
Nakuhakikishia ukilifanya hilo daima vitu vizuri vitakufuata. -JooMsemaNaWatu-

Slow but sure.! ๐ŸŽš๏ธ๐Ÿ†
28/09/2022

Slow but sure.! ๐ŸŽš๏ธ๐Ÿ†

"Ni vigumu sana watu kuelewa unacho kifanya ila k**a wewe unaelewa unacho kifanya, fanya maana matokeo ndo yatawafanya w...
28/09/2022

"Ni vigumu sana watu kuelewa unacho kifanya ila k**a wewe unaelewa unacho kifanya, fanya maana matokeo ndo yatawafanya waelewe lengo lako, Iwe Mvua,Liwe Jua๐Ÿ†๐Ÿ˜".-JooMsemaNaWatu-

Hello.! Darling  thank you for being coolest and smart friend of mine I love you so much and I'm proud of you beautiful ...
28/09/2022

Hello.! Darling thank you for being coolest and smart friend of mine I love you so much and I'm proud of you beautiful and humble one๐Ÿ˜. Happy birthday to you๐ŸŽ‚๐ŸŽ‰I wish you all the best may God protect you uishi miaka mingi yenye kheri na baraka, Iwe kheri kwa kila hatua...NAKUPENDA GENIUS.๐Ÿฅฐ

27/09/2022

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Ngamia Media posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share