Zamo Tv

Zamo Tv Entertainment updates|sports central|
fresh stories|code+code|news flash|
WE ARE AVAILABLE YOUTUBE (zamo tv)
CONTACT US 0750619024
SISI NI WASHINDI

Tunawashukuru kwa dhati kwa kutufikisha followers 1,000! โค๏ธ๐Ÿค๐Ÿ’™ Kila follow, like, comment na support yenu imekuwa sehemu ...
18/09/2026

Tunawashukuru kwa dhati kwa kutufikisha followers 1,000! โค๏ธ๐Ÿค๐Ÿ’™ Kila follow, like, comment na support yenu imekuwa sehemu ya safari ya ZAMO TV. Hii ni account ya vipindi vyetu, na bado tuna mengi zaidi ya kuwaletea. Asanteni kwa kuwa sehemu ya safari hii.

18/09/2026

Vijana huu ushauri mmeufanyia kazi mpaka leo?!

Credits

18/09/2026

: Fahamu upande wa pili wa Bilionea Mohammed mbali na kuwa kinara wa biashara na uwekezaji Afrika, amewahi pia kuwa mtumishi wa wananchi akihudumu k**a Mbunge wa Jimbo la Singida Mjini kwa vipindi viwili kuanzia mwaka 2005 hadi 2015 alipoamua kustaafu siasa.

credits

18/09/2026

: haya hapa maneno ya tajiri mo dewge akiwa katika mahojiano katika kipindi cha mkasi,kabla hajawa mzamini wa simba.

credits

16/09/2026

Hivi mpaka sasa kuna mapinduzi yoyote yamefanyika kwenye suala la podcast za burudani hapa bongo toka enzi za na ya Salama Zalhata Jabir ?!

anauliza mdau BRUNO INNOCENT

16/09/2026

: Ni kweli kwamba sababu ya watanzania wengi kuwa na makengeza ni hii?! Huyu hapa mzee wa keupe Mamba Dudu Baya

Credits

16/09/2026

Emu tumskilize hapa Romelo ,kwa sadaka ya 500 naweza pata ghorofa kweli?! ๐Ÿ˜… au niwe siriaziiii

Song by Romelo

Mchambuzi wa muziki na mwanahabari anaefanya vizuri kwenye uchambuzi wa muziki kidunia Bounce Tz ambaye siku za hivi kar...
16/09/2026

Mchambuzi wa muziki na mwanahabari anaefanya vizuri kwenye uchambuzi wa muziki kidunia Bounce Tz ambaye siku za hivi karibuni ameweka mahusiano yake wazi kupitia mtandao wake wa instagram na bi dada l.y.n_b.a.e jambo ambalo wengi wamelifananisha na lile lililomkuta mwanamahudhui Kipenzi cha ๐ŸŽ“ siku za hapo nyuma.

Je ni sawa kwa baadhi ya watu maarufu kuweka mahusiano yao siri?!

16/09/2026

: je unaungana na mzee wa keupe Mamba Dudu Baya kwamba bapa inazuia magonjwa k**a maralia?

videocredits

16/09/2026

: tujikumbushe tarehe ya 11/8/2014 huyu hapa mwamba mzee wa keupe alipokuwa akifanya mahojiano na anatusanua jinsi gani vijana walikuwa waongo hususani kwenye suala la kutaka kuingia kwenye mahusiano na mtu uongo wa kizamani mfano anatuambia hapa alikuwa na marafiki zake wa tegeta waliokuwa pia na michezo hiyo gari inapita nzuri wanasema ya dingi yao,we kuweza watu wa zamani๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ mtaacha ndala Braza Mento DIRECTOR ROOSTER

credits kwao
jotedโœ BRUNO INNOCENT

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Zamo Tv posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category