27/10/2021
Leo hii Rayvanny ameandika maneno haya kwenye page yake ya Instagram.
"Muziki wetu unapoenda sio pabaya na utafika mbali tukiacha chuki na kuumia unapoona mwenzako anafanya vizuri ... Wenzetu mmoja wao akifanya vizuri wote wanamsapoti basi nasisi tufanye k**a wenzetu ili tufike mbali ..... NASAPOTI KILA ANAEFANYA VIZURI SABABU MMOJA AKIFANIKIWA IMEFANIKIWA INDUSTRY YETU LETS GO GLOBAL"
Huyu jamaa anasema tukiacha chuki muziki utaenda mbali, wakati yeye binafsi ana chuki za wazi wazi kwa Harmonize, Kipindi Harmo anaanza kupiga shows marekani, Rayvanny pia alikuwa anapost show zake za zamani akiperfome marekani, hii ni kuonesha tu kwamba Rayvanny hapendi maendeleo ya harmonize, na anajaribui kujilinganisha nae wakati ukweli Wanao wapenzi wa Muziki.
Anazungumzia kwamba mtu akifanya vizuri asapotiwe, huu ni unafiki mkubwa, yeye mwenyewe na WCB nzima haipendezwi na mafanikio ya Harmonize, kutwa kumpondea kuwa hajazi watu katika shows zake marekani, HARAFU LEO ANAANDIKA UPUUZI.
HUU UNAFIKI UTAISHA LINI, RAYVANNY ASIONE WATANZANIA NI MAZUZU, TUNAAKILI SANA ZAIDI YA ANAVYOFIKIRI.