Kalesa Star

Kalesa Star The home of Entertainment. Voiceovers, football analyst, story telling and Video Reactions.

17/01/2026

Wakati mwaka huu unaanza niliwambia kuwa huu mwaka utakua na vituko sana na matukio ya ajabu ajabu, haya sasa mambo yameanza kuiva kula chuma hicho 😂

17/01/2026

I got over 5,500 reactions on one of my posts last week! Thanks everyone for your support! 🎉

17/01/2026

Kuna wakati unamkatia tamaa anakuja na jambo zetu unamsapoti tena jamani huyu mzee hawezekani tena kiufupi kashindikana 😂

16/01/2026

Kocha wa simba hawataki hawa wacheziji kiwango chao hakiridhishi angalia kisha tia neno 😂

KOCHA HATAKI ABILIA KWENYE TIMU, HAWA WOTE HAWATAKI KABISA 👇Kocha Mkuu wa Simba amesisitiza kuwa hana mpango kabisa na n...
16/01/2026

KOCHA HATAKI ABILIA KWENYE TIMU, HAWA WOTE HAWATAKI KABISA 👇

Kocha Mkuu wa Simba amesisitiza kuwa hana mpango kabisa na nyota hawa👇
1. Budo Mutale.
2. Mukwala.
3. Mligo
4. Chamou Karaboue.

January hii Simba wanapambana kuwaondoa Wachezaji hao.

WEKA MAONI YAKO, vp kocha kazingua au kapiga kwenye mshono?

16/01/2026

Unaambiw k**a vichekesho vina mhusika mkuu au staa wa movie basi huyu whipa tz ndio staa wa comedy 😂 behind the scene

15/01/2026

K**a aliyosema yakitimia basi tujiandae kulia au kucheka maana inaoneka litakuwa tukio zeto kweli kweli anaitwa Prophet Rolinga

LIBASSE GUEYE NI MNYAMA Libasse Gueye Tayari yuko Bongo,mkataba wa miaka mitatu na Simba umesainiwa✅K**a nilivyoripoti L...
15/01/2026

LIBASSE GUEYE NI MNYAMA
Libasse Gueye Tayari yuko Bongo,mkataba wa miaka mitatu na Simba umesainiwa✅

K**a nilivyoripoti Libasse Gueye atacheza Simba✅

Soon atatambulishwa.

SIMBA WAMEAMUA KUVUNJA BENKI HII NI ZAIDI YA KUFURUBeki wa kushoto wa zamani wa Al hilal,Khadim Diaw (27) yuko Tanzania....
15/01/2026

SIMBA WAMEAMUA KUVUNJA BENKI HII NI ZAIDI YA KUFURU
Beki wa kushoto wa zamani wa Al hilal,Khadim Diaw (27) yuko Tanzania.

Beki huyo aliwasili jana ili kumalizana na Simba,Ila kuna mvutano kati ya viongozi wawili wa Simba.

Kiongozi mmoja ndo kampandisha ndege ili aje kusaini ila kiongozi mwingine anapinga usajili wake huku akidai mchezaji huyo hana nidhamu.

NB: Hapa beki wamepata, apo vp wanasimba

15/01/2026

Hii ni zaidi ya upendo, yaani katika kitu kimenifurahisha wiki hii basi ni hili suala la zuchu kumpa zawadi mama yake mzazi Khadija kopa

14/01/2026

Huu aliofanya Ibrahim bacca ni uhuni uliopitiliza sio jambo la kukalia kimya inatakiwa apewe adhabu kali ili iwe fundisho kwa wengine

13/01/2026

Huyu sasa ndio inatakiwa apewe heshima k**a baba wa kuchekesha bongo 😂

Address

Mbezi
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Kalesa Star posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share