06/12/2025
Pata muhtasari wa yale yaliyojiri kwenye Kalam Salaam Funga Mwaka.
Tamthiliya ya Aliyeonja Pepo iliigizwa jukwaani, ikaleta vicheko, burudani na utamaduni wa mwambao.
Tunawashukuru sana , Director Faustin, Germaine na , na wote mliohudhuria na kuburudishwa na tukio hili.
Tukutane tena mwaka ujao. Tunawatakia msimu mwema wa sikukuu!
Nakala za Aliyeonja Pepo na A Taste of Heaven (Tafsiri) zinapatikana . Karibuni Sana