Futbal Planet

Futbal Planet Futbal Planet Online Media. Follow us on All Digital Platforms. Football News all over the world

🚨 OFFICIAL Klabu ya Zamalek Wamemtangaza Kocha Mbelgiji Yannick Ferrera (44) Kuwa Kocha wao Mpya.
04/07/2025

🚨 OFFICIAL

Klabu ya Zamalek Wamemtangaza Kocha Mbelgiji Yannick Ferrera (44) Kuwa Kocha wao Mpya.

🚨 OFFICIAL & CONFIRMEDYANNICK FERRERA NI KOCHA MPYA WA ZAMALEK
04/07/2025

🚨 OFFICIAL & CONFIRMED

YANNICK FERRERA NI KOCHA MPYA WA ZAMALEK

🚨 JUSTIN; Klabu ya Zamalek ipo Kwenye mazungumzo Chanya na Kocha Mbelgiji Yannick Ferrera (44), kuna Matumaini Makubwa Makubaliano yakafikiwa hivi karibuni na Ferrera akawa kocha Mkuu wa Zamalek.

🚨 JUSTIN: Kinda wa Miaka 21, Joseph Amoah amejiunga na Klabu ya Asante Kotoko ya Ghana akitokea Legon City FC.Kinda huyo...
04/07/2025

🚨 JUSTIN: Kinda wa Miaka 21, Joseph Amoah amejiunga na Klabu ya Asante Kotoko ya Ghana akitokea Legon City FC.
Kinda huyo ambaye ni raia wa Ghana anamudu kucheza nafasi ya Kiungo Mshambuliaji na beki wa kushoto amesaini Mkataba wa Miaka minne na Klabu hiyo.

πŸš¨π—•π—₯π—˜π—”π—žπ—œπ—‘π—š: Kiungo wa zamani wa Klabu ya Arsenal, Mghana Thomas Partey ameshtakiwa kwa makosa matano ya ubakaji na moja l...
04/07/2025

πŸš¨π—•π—₯π—˜π—”π—žπ—œπ—‘π—š: Kiungo wa zamani wa Klabu ya Arsenal, Mghana Thomas Partey ameshtakiwa kwa makosa matano ya ubakaji na moja la unyanyasaji wa kingono kwa wanawake watatu tofauti tofauti.

Police wamesema makosa hayo yanaripotiwa kutokea kati ya mwaka 2021-2022. πŸ‘€ πŸ‡¬πŸ‡­

Polisi wamemshtaki Thomas Partey kwa makosa haya.

01. Makosa mawili ya ubakaji yanayohusiana na mwanamke mmoja.

02. Makosa matatu ya ubakaji yanayohusiana na mwanamke wa pili.

03. Kosa moja la unyanyasaji wa kijinsia inayohusiana na mwanamke wa tatu.

Uchunguzi kuhusu Partey ulianza tangu Mwezi Februari 2022.

KAMBARAGE kila mtu ni kambare..!!HT: STAND UNITED 1-1 FOUNTAIN GATE44β€™β€”βš½οΈ Joramy Mgeveke (OG)28β€™β€”βš½οΈ Haruna Tiote
04/07/2025

KAMBARAGE kila mtu ni kambare..!!
HT: STAND UNITED 1-1 FOUNTAIN GATE
44β€™β€”βš½οΈ Joramy Mgeveke (OG)

28β€™β€”βš½οΈ Haruna Tiote

πŸ“· Nahodha wa zamani wa Liverpool ambaye kwa sasa anakipiga Ajax, Jordan Henderson hii leo alifika nje ya Uwanja wa Alfie...
04/07/2025

πŸ“· Nahodha wa zamani wa Liverpool ambaye kwa sasa anakipiga Ajax, Jordan Henderson hii leo alifika nje ya Uwanja wa Alfield kwaajili ya kutoa heshima juu ya Msiba wa aliyekuwa Mshambuliaji wa Klabu hiyo, Diogo Jota ambao ulitokea hapo jana baada ya kupata ajali ya gari.
Pumnzika kwa amani, DIOGO πŸ•―οΈπŸ•ŠοΈ

πŸ“· Kocha wa Manchester United, Ruben Amorim amewasili Carrington tayari kwa kuanza Pre Season ikiwa ni maandalizi ya Msim...
04/07/2025

πŸ“· Kocha wa Manchester United, Ruben Amorim amewasili Carrington tayari kwa kuanza Pre Season ikiwa ni maandalizi ya Msimu mpya wa Mashindano akiwa na klabu yake ya Man United.

🚨JUSTIN; Klabu ya CS Sfaxien πŸ‡ΉπŸ‡³ Wako Kwenye mazungumzo Chanya na Kambi ya Mchezaji Travis Mutyaba πŸ‡ΊπŸ‡¬, CS Sfaxien wanapam...
04/07/2025

🚨JUSTIN; Klabu ya CS Sfaxien πŸ‡ΉπŸ‡³ Wako Kwenye mazungumzo Chanya na Kambi ya Mchezaji Travis Mutyaba πŸ‡ΊπŸ‡¬, CS Sfaxien wanapambana Kupata Saini ya Mchezaji huyo.

Travis aliwahi Kuwa Mchezaji wa SC Villa, Zamalek na Bordeaux ya Ufaransa.

Makubaliano yakifikiwa, Travis Mutyaba atajiunga na CS Sfaxien.

K**A ungepewa nafasi ya kumchagua RAIS wa TFF, Kura yako ingeenda kwa nani? TUMPATE RAIS wetu hapa hapa πŸ‘‡
04/07/2025

K**A ungepewa nafasi ya kumchagua RAIS wa TFF, Kura yako ingeenda kwa nani? TUMPATE RAIS wetu hapa hapa πŸ‘‡

WAKILI WA UCHAGUZI: TULIWAITA YANGA NA KARIA, YANGA WAKALA NYOYA..!"Kamati ilipokea pingamizi kutoka kwa Mtendaji Mkuu w...
04/07/2025

WAKILI WA UCHAGUZI: TULIWAITA YANGA NA KARIA, YANGA WAKALA NYOYA..!
"Kamati ilipokea pingamizi kutoka kwa Mtendaji Mkuu wa Yanga ambaye ndio alisaini barua ya pingamizi, Kamati inataka waje watu wawili, anaepinga na anaepingwa sisi Kamati ya Uchaguzi tunasimama k**a Mahak**a"

"Tuliwaita waje, Wallace Karia alikuja lakini Mtendaji Mkuu wa Yanga Andre Mtine hakuja na kanuni zinamtaka aliyeleta pingamizi aje mwenyewe sio kutuma wakili/mawakili"

"Kwa wale wasiojua kile kifungu cha uidhinishwaji β€˜endorsement’ kimenakiliwa kutoka FIFA neno kwa neno. Katiba ya TFF haiwezi kwenda kinyume na FIFA, Katiba ya CAF haiwezi kwenda kinyume na FIFA"

"Kwa hiyo niwaambie mawakili wakasome na sio kusoma tu bali wasome na waelewe na wasikurupuke"

- Wakili Kiomoni Kibamba, Mwenyekiti Kamati ya Uchaguzi wa TFF.

🚨 BREAKING NEWS..!!Rais wa Shirikisho la Mpira Nchini Tanzania (TFF), Wallace John Karia amesalia k**a mgombea pekee kwe...
04/07/2025

🚨 BREAKING NEWS..!!

Rais wa Shirikisho la Mpira Nchini Tanzania (TFF), Wallace John Karia amesalia k**a mgombea pekee kwenye nafasi ya Urais wa TFF kwenye Uchaguzi mkuu utakaofanyika Agosti 16, 2025 Jijini Tanga.
Kamati ya Uchaguzi ya TFF imesema wagombea wanne wa nafasi hiyo wamekosa vigezo (Endorsement) kwa mujibu wa kanuni za Uchaguzi hivyo Wallace Karia amepita kwenye mchujo wa awali baada ya kupata endorsement 46 kati ya 47.

Kwenye nafasi ya Kamati ya Utendaji ya TFF wamepita Wagombea 10 kati ya Wagombea 17 ambao walifika kwenye usaili wa awali.

Kwasasa Kamati ya Uchaguzi inasubiri kupokea Rufaa za wagombea ambao watakuwa wamekata Rufaa kwenye Kamati ya Rufaa ya Uchaguzi, Rufaa inapaswa ikatwe ndani ya siku 6.

MKE WA AZIZ KI, HAMISSA MOBETTO ASHINDANISHWA NA MKE WA RONALDO NA MESSI..!!Msanii na Mwanamitindo wa Tanzania Hamisa Mo...
04/07/2025

MKE WA AZIZ KI, HAMISSA MOBETTO ASHINDANISHWA NA MKE WA RONALDO NA MESSI..!!
Msanii na Mwanamitindo wa Tanzania Hamisa Mobetto ametokea kwenye orodha ya kimataifa ya Wanawake Maarufu wa Wachezaji wa Soka (WAGs) 10 Bora kwa idadi ya wafuasi wengi zaidi kwa robo ya pili ya mwaka 2025.

Katika Orodha hiyo Mpenzi wa Ronaldo πŸ”Ή : Mwanamitindo huyo mzaliwa wa Argentina na anayewakilisha Uhispania ameongeza uongozi wake k**a mwanamke anayeongoza kwa kuwa na wafuasi wengi zaidi miongoni mwa WAGs wa soka akiwa na wafuasi milioni 67.

πŸ”Ή (mke wa Messi) anashika nafasi ya pili, huku rodakazi mwenzake kutoka Argentina akifuatiwa na Mpenzi wa Messi milioni 40 na Hamisa Mobeto akiwa nafasi ya 8 k**a Mpenzi/mke wa Aziz Ki akiwa na milioni 12.

πŸ“ˆ Mbali na Georgina, waliopata ongezeko kubwa la wafuasi katika robo hii ya pili ni Antonela, Bruna (mpenzi wa Neymar), na Hamisa Mobetto kutoka Tanzania.

πŸ“‰ Wakati huohuo, baadhi ya WAGs waliona kupungua kwa wafuasi wao kwa kiwango kikubwa:
β€’ na kila mmoja alipoteza wafuasi 200,000
β€’ na walipoteza wafuasi 100,000 kila mmoja katika robo ya pili ya 2025.

1, - 67M followers
2, antonelaroccuzzo - 40M followers
3, β€” 37M followers
4, - 32.9M followers
5, - 18.9M followers
6, - 21.5M followers
7, - 13.8M followers
8, - 12.2M followers
9, - 11M followers
10, - 9.8M followers

NB: Hawa ni Wapenzi na wake wa Wachezaji wa mpira wa Miguu tu duniani wanaongoza kwa wafuasi (Followers) wengi Instagram.

Ripoti hii imetolewa na Jarida la GMSSTATS_HP.

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Futbal Planet posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Futbal Planet:

Share