17/01/2026
Unataka kulipwa na YouTube?
Anza kwa kutengeneza content.
Hatua ya kwanza:
Fikisha subscribers 1,000.
Hatua ya pili (muhimu zaidi):
Fikisha watch hours 4,000.
Ukikamilisha hayo,
unaomba YouTube Partnership Program.
YouTube itaangalia content yako.
Ikikubaliwa,
unaanza kulipwa kwa views.
Views nyingi = mapato zaidi.
YouTube ina mengi ya kujifunza.
Ukipata changamoto,
Joel Media tupo kukusaidia.
Joel Kadaga
Joel Media