25/05/2020
MAREKANI:idadi ya vifo marekani vyakaribia kufuka laki moja amabapo mpaka sasa ina vifo 99,300 na maambukizi kufikia 1,686,436 na wagonjwa waliopona yafikia 451,702
Huku uingereza ikiwa na vifo 36,793 na maambukizi yafikia 259,559 na itali ikiwa na vifo 32,785 na maambukizi yafikia 229,858