Matty amissi

Matty amissi VIPAJI VYA VIJANA NI UTAJIRI WA NCHI. https://wa.link/ox5u7f
(3)

NZIGIRE WA Rajul Malik  Asema kilicho tokea baada ya video kutoka,  mi nilikua nazani ni demu mmoja mshambaπŸ€”, kumbe ni p...
19/01/2026

NZIGIRE WA Rajul Malik Asema kilicho tokea baada ya video kutoka, mi nilikua nazani ni demu mmoja mshambaπŸ€”, kumbe ni pisi kali tena mtoto wa town kabisaπŸ€”πŸ€”

Kuna watu wanajua kuigiza kweli, huyu dada awekewe ulinzi. hichi ni kipaji chakulinda.

Sikiliza exclusive interview ya NZIGIRE WA RAJUL MALIK kwabure kabisa kupitia link hii

https://youtu.be/lOmIaRU2WYE?si=Afq_aFob21u_5w2N

Matty amissi πŸŽ™ πŸ‡¨πŸ‡©

Ilikua ni surprise   kumkuta Rajul Malik kwenye steji. Umempa max ngapi uyu dada kwa alivyo Act kwenye video ya  ? Hili ...
19/01/2026

Ilikua ni surprise kumkuta Rajul Malik kwenye steji.

Umempa max ngapi uyu dada kwa alivyo Act kwenye video ya ?

Hili swali, linahusu wapenzi wa mziki wa Kivu na East Congo, wewe bibi ya chura kaa pembeni 🀣

Rdv 18h, ku chaine ya SEJE MEDIA exclusive interview na NZIGIRE, utajua mengi kuhusu yeye.

Matty amissi πŸŽ™ πŸ‡¨πŸ‡©

"Kuko mwenye ata kuya pata hΓ©morroΓ―de mwa iyi kupima pima exploits za mwengine. ONA ginsi mwengine asha ji kanira kasind...
18/01/2026

"Kuko mwenye ata kuya pata hémorroïde mwa iyi kupima pima exploits za mwengine. ONA ginsi mwengine asha ji kanira kasindi. Aiko Kila muzzaa njo blague" 🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣

NIMECHEKA K**A SINA AKILI 🀣🀣 Swahili facile 🀝

Matty amissi πŸŽ™ πŸ‡¨πŸ‡©

18/01/2026

Tulipo Sema" Uvira ne tombera jamais" tulikua na maanisha.

18/01/2026
18/01/2026

Kitu kingine hichoooooo!!!πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ’ͺπŸ’ͺ
Mwaka huu vitisho ni vingi πŸŽ™πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ‡¨πŸ‡© Pf Shuja Officiel mwana kivu.

Matty amissi πŸŽ™ πŸ‡¨πŸ‡©

Mziki ni kazi ngumu mno, ambayo watu wanaifanya ili kufurahisha watu wengine ( fans), na hakuna kitu kigumu duniani k**a...
18/01/2026

Mziki ni kazi ngumu mno, ambayo watu wanaifanya ili kufurahisha watu wengine ( fans), na hakuna kitu kigumu duniani k**a kufurahisha watu.

Msanii Upcoming The Mingongo Official amechia video ya wimbo wake ambayo inafanya vizuri kwa sasa, na kupokelewa vizuri hata na wasanii wakubwa, INNOSS'B na Zara Williams wa Angola walionekana waki posti challenge ya wimbo ishara ya kua wamekubali kazi hii week moja kabla ya video ya wimbo kutoka. Video Ina siku 3, na kutokana na views, video hii inatazamwa kila baada ya saa moja na watu zaidi ya 535.
Ikiwa tu na siku tatu imetazamwa na watu 38.545

Baada ya yakuachia video, tulipo sambaza link, ikamfikia msanii Mkongwe wa Uvira mwenye makazi SOUTH AFRICA eagle alie toa negatif komenti kwaku andika:

" Amejitahidi sana ila sijaridhika na video queen aliye mtumia kwenye ngoma kali k**a hiyo" aliandika Eagle inbox kwangu. ( picha kwenye section commenty )

Kumbuka ANELKA ni mmoja wa wasanii walio beba project ya wimbo ulio tamba zaidi Kivu " KARIBU UVIRA" na amefanyikiwa kufanya collabo kadhaa na wasanii wa inje ya nchi toka Enzi hizo za 2013.

Mtazamo wako ni upi kwa alio Sema ANELKA, ni kweli video vixen ( queen video) haku stahili kwenye ngoma hii? ✍️✍️✍️✍️

Matty amissi πŸŽ™ πŸ‡¨πŸ‡©

  WA   MALIK  AME ONGEA KWENYE MIC YA SEJE MEDIA  πŸ€”πŸ€”πŸ€”Mi nilikua nazani ni demu fulani mshamba kweli kutokana na alivyo i...
17/01/2026

WA MALIK AME ONGEA KWENYE MIC YA SEJE MEDIA πŸ€”πŸ€”πŸ€”

Mi nilikua nazani ni demu fulani mshamba kweli kutokana na alivyo igiza vizuri kwenye wimbo wa wa Rajul Malik kumbe ni bonge la pisi. Kumbe nae pia ni msanii wa kuimba.

Exclusive interview pamoja nami kwenye kipindi na kesho hasubuhi kwenye youtube channel ya πŸ“½

Matty amissi πŸŽ™ πŸ‡¨πŸ‡©

17/01/2026

Dogo Browny na lichupa lipya hivi karibuni, (mlio wa gari) ambalo muda wowote lina dondoshwa.

Wapenzi wa Rap, tupo tayari? πŸ’ͺπŸ’ͺπŸ’ͺπŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯

Matty amissi πŸŽ™ πŸ‡¨πŸ‡©

16/01/2026

LEGEND IS BACK πŸ”₯πŸ”₯πŸŽ™πŸŽ™πŸ’ͺπŸ’ͺ
Wanao mfahamu naomba tuandike Jina lake kwenye komenti. ✍️✍️

Chupa linalo Kuja linaitwa WANGU.

Matty amissi πŸŽ™ πŸ‡¨πŸ‡©

BARUA YA WAZI KWA  Kitwera Twiga Ndugu, kazi yenu ya comedie mnaipeleka vizuri, hasa wewe (   WAKU EST ) na mwenzako   (...
15/01/2026

BARUA YA WAZI KWA Kitwera Twiga

Ndugu, kazi yenu ya comedie mnaipeleka vizuri, hasa wewe ( WAKU EST ) na mwenzako ( Akunaaaa! ), kivu inawatazama kwajicho la matumaini.

Nimepokea habari mbaya, yakua mwenzako Yohana katana sim yako ya kazi enye anatumiaka ku shoot comedi zake imepasuka, na kwasasa Hana gisi yaku endelea na kazi🀦🀦🀦, binafsi ninge penda uwe mstari ya mbele kumshika mwenzako mkono kwaku mchangia kwa aina yoyote, tunajua hali sio nzuri kwa sasa kwa watu wote, ila kila utakalo lifanya kwaku msaidia mwenzako itakua jambo kubwa Sana.

Naomba hata mtu anae soma hii, ikiwa nawewe una moyo waku saidia, tafadhali toa msaada kwa kijana ili Aendelee na ndoto yake. Kutoa sio hadi milioni, kidogo chako, ni kikubwa kwake.

Wasiliane nae:

MPESA: +243817141376
AIRTEL MONEY: +243993964556

Tusimsifie mtu pindi hayupo, tumjali anapo tuomba msaada.
πŸ™πŸ»πŸ™πŸ»πŸ™πŸ»

Matty amissi πŸŽ™ πŸ‡¨πŸ‡©

Address

Buza
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Matty amissi posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Matty amissi:

Share