jamaa_17

jamaa_17 | Meditation | Yoga | life and spiritual coach πŸ§˜πŸΎβ€β™‚οΈ.
+255621819927

KILA MTU NA APATE HAKI YAKE KIMA INAVYOTAKIWA KISHA NDIO AMANI ITATAWALA BILA KUTUMIA NGUVU YOYOTE WALA PROPAGANDA πŸ‡ΉπŸ‡ΏβœŠπŸΎ....
15/04/2026

KILA MTU NA APATE HAKI YAKE KIMA INAVYOTAKIWA KISHA NDIO AMANI ITATAWALA BILA KUTUMIA NGUVU YOYOTE WALA PROPAGANDA πŸ‡ΉπŸ‡ΏβœŠπŸΎ.

MSINGI WA AMANI NI HAKI, Peace ✌🏾.

10/04/2026

πŸ’ β€œMjibu mpumbavu sawasawa na ujinga wake, asije akajiona kuwa ana hekima machoni pake.”

SIMAMA PAZA SAUTI YAKO MAANA WEWE NI WATHAMANI NA UNAHAKI YA KUSIKILIZWA NA KUTENDEWA HAKI πŸ™πŸΎπŸ‡ΉπŸ‡Ώ.    Peace ✌🏾.
09/04/2026

SIMAMA PAZA SAUTI YAKO MAANA WEWE NI WATHAMANI NA UNAHAKI YA KUSIKILIZWA NA KUTENDEWA HAKI πŸ™πŸΎπŸ‡ΉπŸ‡Ώ.



Peace ✌🏾.

09/04/2026

Kwanini mnanyima Watoto wa kifukara haki ya kujiendeleza elimu ngazi ya juu sababu ya matabaka ya pesa mliyoyaweka??

08/04/2026

Ahsante k**a tumeelewana Bandugu πŸ™ŒπŸΎ.

Some Good memories ✊🏾, Umewahi kuchaza Chandimu kijana ???😹.
08/04/2026

Some Good memories ✊🏾,

Umewahi kuchaza Chandimu kijana ???😹.

07/04/2026

Sioni maneno yakuweka kwenye hii video ila naomba msisahau ndugu zetu waliojitowa kwaajili ya Haki na Nchi kisha tuokoteze vipande pale walipoishia na kumalizia. PEACE ✌🏾

06/04/2026

Pamoja na watawala kufanya yooote haya lakini bado hawaachi kutuletea makodi ya kulipa Madeni waliyokopa na kuiba kwa Manufaa Yao binafsi πŸ€¦πŸΎβ€β™‚οΈ.

Kweli tutatoboa huku mko kimya k**a hamuoni???!!!!!.

06/04/2026

Hivi Deni la Taifa ni Trillion ngapi Vile ???.

04/04/2026

⚽️ MPIRA, SHANGWE NA UKWELI ULIOFICHWA NDANI YAKE

Wakati tunashangilia magoli, kupigania timu zetu na kubishana nani bora… kuna maswali muhimu tunayapaswa kujiuliza πŸ€”
Je, tunapewa burudani ili tusahau hali halisi?
Je, tunapumbazwa ili tusiulize kuhusu maisha yetu, uchumi na haki zetu?
Historia imetuonesha dhana ya β€œBread & Circuses” β€” kuwapa watu burudani ili wasiulize maswali magumu. Leo hii, inaweza kuwa mpira, show, au drama za kila siku…
Sio vibaya kufurahia mpira ⚽️
Lakini usisahau kuamka kiakili 🧠

πŸ“’ Furahia burudani, lakini usipoteze ufahamu.
πŸ“’ Uliza maswali. Jua haki zako.

Address

Ukonga, Dar-es-Salaam
Dar Es Salaam
9090

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when jamaa_17 posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to jamaa_17:

Share