
08/08/2025
Ati, unatumia dawa gani ya meno kupiga mswaki? Unaipa moja ππΎ au unaipa tano ππΎππΎππΎππΎππΎπ₯?
Tembelea jukwaa la Ipe Tano, na weka maoni yako kwenye kipengele cha USAFI.
Andika https://ipetano.co.tz kupitia Google, kisha bonyeza vipengele na chagua USAFI, ili kutoa maoni yako juu ya bidhaa mbalimbali zilizo ndani ya kipengele husika.
~~~~~~~~~~
Ukipenda kutoa maoni kwa njia ya video, tuma video fupi ukielezea bidhaa/huduma fulani unayotumia na jinsi unavyoifurahia/maeneo unayohitaji yaboreshwe.
Maoni yatumwe kupitia whatsapp nambari +255793640631
Sharti:
1. Uwe na umri usiopungua miaka 18.
2. Mwenye akili timamu.
3. Umetumia bidhaa/huduma husika ndani ya miezi mitatu iliyopita.