Abdallah Kisu

Abdallah Kisu Actor, Producer, Director

19/07/2026
BEHIND THE SCEENSHivi ndivyo tunavyotengeneza  drama zetu tukiwa location mvua, matope lakini lazima story iendelee foll...
12/05/2026

BEHIND THE SCEENS

Hivi ndivyo tunavyotengeneza drama zetu tukiwa location mvua, matope lakini lazima story iendelee

follow

100 followers
12/05/2026

100 followers

06/05/2026

Naomba Follow page Abdallah kisu

24/04/2026

MUME NA MKE WAKIGOMBANIA CHAKULA😂🔥
Hapo kati ya mume na mke na mwenye gubu kwenye kula..!!??😂

Wanandoa mnaonaje?
1. Mume ndio mwenye gubu
2.Mke ndio mwenye gubu
3.Au wote wana gubu

Tag mke/mume wako aje kuona😂👇

FAMILIA YA DULLAH KISU Assalamu allaykum ndugu zangu 5220Kuanzia leo nyumbani kwetu ni hapa ile profile yangu ya Dullah ...
23/04/2026

FAMILIA YA DULLAH KISU

Assalamu allaykum ndugu zangu 5220

Kuanzia leo nyumbani kwetu ni hapa ile profile yangu ya Dullah Kisu ntakuwa siipost tena kutokana na changamoto za kupost video ndefu. nimefungua page ya Abdallah kisu nitaweza kupost video zaidi ya dk 3+. zinazohusiana na sanaa kufanikisha kuelimishana katika nyanja tofauti za kijamii

Naomba bonyeza follow hapo juu na kucoment, like na kushare kwa marafiki wengine

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Abdallah Kisu posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share