Sb picturestz

Sb picturestz Dar Salaam,Tanzania

I update you with all the news of celebrities, exclusive interviews, sports and entertainment 🌏 For business announcements, please DM https://youtu.be/D1NMlgBx3HM?si=pgZZhzQ35j0Ex99k

17/07/2025

21/04/2025

Jean Ahoua hapo mlevi anafunga kabisaa 😂😂😂
Full iko YouTube channel

    Nchini Kenya, Mwanamke aliyetambulika k**a Mercy Nyasaka amejiua baada ya kuacha ujumbe mzito kwa ndugu wa karibu ku...
16/03/2025

Nchini Kenya, Mwanamke aliyetambulika k**a Mercy Nyasaka amejiua baada ya kuacha ujumbe mzito kwa ndugu wa karibu kupitia Whatsapp akimuaga na kueleza anayoyapitia, Mercy alifiwa na bintiye miaka miwili iliyopita mnamo Machi 1, 2023, kifo ambacho kilimsababishia huzuni kwa kiasi kikubwa kulingana na machapisho yake mbali mbali kwenye mitandao ya kijamii haswa Facebook

Licha ya kufiwa na bintiye Mercy mara kadhaa alichapisha machapisho yaliyoashilia kuhisi kukatishwa tamaa na mwenzi wake, na misukosuko mingine ya maisha ikiwemo na matatizo ya kifedha

Katika ujumbe aliotuma siku ya ijumaa kupitia WhatsApp kwa ndugu yake wa karibu, Mercy alimfahamisha kwamba hawezi kuendelea kuyakabili matatizo ya maisha pamoja na kifo cha bintiye, ikiwa ni pamoja na mkopo wa gari, mchumba aliyemkosa, na mkopo wa KSh300,000 aliokopa kwa kutumia hati miliki ya ardhi k**a dhamana.

"Samahani kwa kukukatisha tamaa kwa njia hii lakini wakati utapata ujumbe huu nitakuwa nimeondoka kwa muda mrefu," sehemu ya ujumbe aliotuma Mercy.

Address

Dar Es Salaam

Website

https://youtube.com/@sbmediatz?si=lS6lJfzNYZq31jMF

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Sb picturestz posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Sb picturestz:

Share