Sbmediatz

Sbmediatz Dar Salaam,Tanzania

I update you with all the news of celebrities, exclusive interviews, sports and entertainment 🌏 For business announcements, please DM https://youtu.be/DDED81-F1LE?si=4TGEQCVXK0rmeKIT

Burundian Street Vendor’s Tea And Mandazi Thrown AwayπŸ’”πŸ’”
07/09/2026

Burundian Street Vendor’s Tea And Mandazi Thrown AwayπŸ’”πŸ’”

TUMALIZE UTATA HUU_Hivi kati ya hawa Mamalikia yupi unamkubali sana kuliko wengine.1. Hellen Majeshi "Ruby"2. Maua Sama3...
07/09/2026

TUMALIZE UTATA HUU
_
Hivi kati ya hawa Mamalikia yupi unamkubali sana kuliko wengine.

1. Hellen Majeshi "Ruby"
2. Maua Sama
3. Esta Sanga "Linah"

Toa maoni yako hapa_____________________

Tunazika au Tunasafirisha 😩🀣😩😩
07/09/2026

Tunazika au Tunasafirisha 😩🀣😩😩

Nashukuru Mungu sikuchukua muda mrefu pale kwasababu sijawahi kufikiria suala la kwenda Yanga, ilitokea tuβ€β€œNilikuwa kwe...
04/09/2026

Nashukuru Mungu sikuchukua muda mrefu pale kwasababu sijawahi kufikiria suala la kwenda Yanga, ilitokea tu”

β€œNilikuwa kwenye wakati mgumu lakini ninachoweza kusema ni kwamba, nimerudi Simba na siku niliyosaini Simba nilifurahi
sana hata familia yangu ilifurahi”

πŸ—£οΈClatous Chama

04/09/2026

Msanii Dudubaya aitikia wito wa Waziri wa mambo ya ndani Katambi baada ya Waziri kutoa maagizo kwa jeshi la Polisi Dudubaya akamatwe baada ya kukaidi kuitikia wito wake wa kwanza hapo juzi.

"Sijawahi kuwa mkaidi kwa jeshi la Polisi hivyo nitakuja mimi mwenyewe sasahivi Polisi msihangaike hata kunitafuta" Alisema Dudubaya.

04/09/2026

Free Kajala πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£ Kumekucha nakumzungumzia kote kwenye A list nikajua watayamaliza leo wanasema Nenda πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£ Kajala tafuta penzi kwingine harmo Hakupendi

03/09/2026

πŸ˜‚πŸ˜‚

02/09/2026

Doto kwenye harakati ya kutuwakilisha wasomi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

02/09/2026

Unakaje kwenye Ndege πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£ wamepanda Dalada ya Buze wanapata Experience mpya leo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™Œ

NICOLE NA MAI NI PAKA NA CHUI_Jamani mmeliona tukio la Nicole Joy Berry kususia salama ya Shangazi yangu Maimather Jesse...
02/09/2026

NICOLE NA MAI NI PAKA NA CHUI
_
Jamani mmeliona tukio la Nicole Joy Berry kususia salama ya Shangazi yangu Maimather Jesse..!!!!!!

Hani kuna ugomvi gani..??πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Address

Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Sbmediatz posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Sbmediatz:

Shortcuts

Share