Fahamu Zaidi

Fahamu Zaidi Elimu haina mwisho | Instagram, YouTube, TikTok Elimu Haina Mwisho!
(1)

Bei zote ni kabla ya makato ya ushuru!
10/09/2026

Bei zote ni kabla ya makato ya ushuru!

Endelea kusambaza upendo!
10/09/2026

Endelea kusambaza upendo!

Watu wachache wanaozaliwa leo = watu wachache wa kufanya kazi kesho!
09/09/2026

Watu wachache wanaozaliwa leo = watu wachache wa kufanya kazi kesho!

Chanzo: UN World Population Prospects 2024
08/09/2026

Chanzo: UN World Population Prospects 2024

✍️ Anthony Robbins
07/09/2026

✍️ Anthony Robbins

Ugomvi wa Congo na Rwanda.-Nini ambacho umejifunza kupitia historia hii?
05/09/2026

Ugomvi wa Congo na Rwanda.
-
Nini ambacho umejifunza kupitia historia hii?

Hutu na Tutsi ni makabila?-Nini ambacho umejifunza kupitia historia hii?
04/09/2026

Hutu na Tutsi ni makabila?
-
Nini ambacho umejifunza kupitia historia hii?

"Authenticité” ilikuwa na lengo la kuvunja utegemezi wa utamaduni wa kikoloni.Lakini chini ya utawala wa Mobutu iliambat...
03/09/2026

"Authenticité” ilikuwa na lengo la kuvunja utegemezi wa utamaduni wa kikoloni.

Lakini chini ya utawala wa Mobutu iliambatana pia na utawala wa chama kimoja, ukandamizaji wa kisiasa na kujengwa kwa ibada ya utu wa kiongozi.

Na mwaka 1997, Mobutu alipoondolewa madarakani, Zaire ikarudi kuitwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC).

Sisimizi na kulewa pombe!
02/09/2026

Sisimizi na kulewa pombe!

John Ternus, amekuwa CEO mpya wa Apple baada ya Tim Cook kuachia nafasi hiyo Jumanne hii.Ternus atalipwa mshahara wa msi...
02/09/2026

John Ternus, amekuwa CEO mpya wa Apple baada ya Tim Cook kuachia nafasi hiyo Jumanne hii.

Ternus atalipwa mshahara wa msingi wa dola milioni 3 kwa mwaka, sawa na takribani TSh bilioni 7.8.

Mbali na mshahara huo, atapewa hisa za Apple zenye thamani ya dola milioni 55, ambazo ni takribani TSh bilioni 143. Hii ina maana kuwa, kwa pamoja, kifurushi chake cha malipo kina thamani ya karibu TSh bilioni 151.

Hisa ni nini? Kwa lugha rahisi, hisa ni sehemu ndogo ya umiliki wa kampuni. Kwa hiyo, badala ya kulipwa fedha zote taslimu, sehemu kubwa ya malipo ya Ternus itakuwa katika umiliki wa Apple.

Thamani ya hisa hizo inaweza kupanda au kushuka kulingana na mwenendo wa kampuni.

Kwa upande wa Tim Cook, ambaye sasa ni Executive Chairman wa Apple, atapata dola milioni 47, sawa na takribani TSh bilioni 122, akijumuisha mshahara wa dola milioni 2 na hisa zenye thamani ya dola milioni 45.

Apple yenyewe kwa sasa ina thamani ya takribani dola trilioni 4.7, sawa na zaidi ya TSh trilioni 12,000.

Kipi ungechagua TSh bilioni 8 taslimu kwa mwaka, au TSh bilioni 143 katika hisa za kampuni? 👀

Address

Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Fahamu Zaidi posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category