16/02/2024
Soma Hii K**a Unafanya Biashara Mtandaoni Yaani Instagram & Facebook..
Nakosea wapi James ?...akauliza Kwa uchungu
Kwani Kuna Nini Mkuu?...nikauliza
Akasema...
James Kwa Hatua niliyofikia natamani Hata Kufunga Hii Biashara...
27/1/2024 nilipokea Simu ya Ghafla Kutoka Kwa Mtu aliyejitambulisha Kwa jina la Mr. Mushi
Mr. Mushi ni Mfanyabiashara mkubwa sana huko Moshi
Ana miliki Maduka Makubwa ya NGUO Zaidi ya 37 Katika mikoa Tofauti Tofauti
Anasema...
Ilifika Muda Mauzo ya Biashara zake yakawa ya kusua sua sana
Hali Ambayo haijawahi kutokea Kabla Katika Biashara zake
Mr. Mushi ni msomaji Mzuri sana wa Vitabu...
Akasema...
James nimeshasoma Zaidi ya Vitabi 53 Vya sales Ndani ya Miezi Kadhaa Ili Niongeze Mauzo yangu .. Lakini BADO Hali ni Mbaya
Nimeshawaleta wataalamu Mbali Mbali wa Mauzo Kwa Ajili ya kuwafundisha Wafanyakazi Wangu
LAKINI.....bado Hali Ipo pale pale
Yaani HAKUNA Mauzo Kabisa
Wakati Tayari nimeshakata tamaa kuna rafiki Yangu akanipa namba Yako akaniambia..una Uwezo wa kunisaidia
Akasema Mr. Mushi!
Baada ya Maelezo yake nilijua Kabisa Tatizo lipo wapi hasa
Ukweli ni Huu Hapa Chini..
Tatizo lililokuwa linamsumbua Mr. Mushi Katika Biashara yake.....linawasumbua Zaidi ya 97% ya Wajasiriamali & Wafanyabiashara wa Kitanzania
"Wanapost tu Bidhaa Bila Kulipia Matangazo Facebook..."
Ndio Maana...
Licha ya Kusoma Vitabu, Courses pamoja na Coaching Nyingi..... Lakini Bado hawapati Matokeo yoyote Katika Biashara Zao
Binafsi Tatizo Hili nililigundua Mwaka 2021..
Kuna Kipindi nilikuwa nasona Zaidi ya Vitabu 79 Vya Mauzo Kwa Mwaka...Plus Courses
LAKINI.....Bado nilikuwa Sifanyi Mauzo Kwa Watanzania k**a Jinsi nilivyotegemea
Ukweli ni Huu Hapa Chini...
K**a Unapost tu Bidhaa Zako Instagram & Facebook Bila Kulipi Ni k**a Unamkiss Mrembo Gizan Kwani Ni Yeye Tu Atakaye Kuwa Anakuona...
Kwahiyo...
Turudi Tena Kwa Mr. Mushi...
Nikampa Kitabu changu Kipya Kinachoitwa...
"MWONGOZO wa kufanya Matangazo"
Kitabu Hiki nimekiandika Kutokana na Mkusanyiko wa Mbinu zote zilizofanya Kazi Kwenye Mazingira Halisi ya Wateja na wafanya biashara..... Na sio blah blah za Vitabu Vingi unavyokutana navyo huko Mtandaoni
Nikampa Kitabu Hiki Mr. Mushi...
Baada ya kukisoma Ndani ya Siku Moja Tu akawanunulia na Wafanyakazi wake Zaidi ya 89
Miezi Kadhaa Baadae...
Leo Jioni nimekutana nae Grano Coffee Mlimani City akaniambia...
"Mr. James Komu Uliokoa Biashara yangu Ikiwa Katika Kipindi Kigumu Mno..... Sasahivi Vijana wanauza Bidhaa k**a Karanga
Na Sina Mpango wa Kusoma Kitabu Chochote Cha Mauzo Zaidi ya Hicho"
Wakati tunaendelea Kuongea Huku tunakunywa Kahawa Mara Ghafla Range nyeusi Ikafika na kupaki Mbele yetu...
Dereva akamwambiae...
"Boss Muda wa Kukupeleka Airport umefika"
Akalipa Bill Zote akaniachia Noti ya $100 Kisha akaingia Kwenye Gari akaondoka
Je ni Kwanini nimekupa Story Hii?...
KWASABABU.....yawezekana Hata Wewe unakosa Mauzo Sasahivi Katika Biashara Yako kwa Kwasababu Bado Unatumia Mbinu za zamani na haujui Jinsi Ya kufanya matangazo yanayolipa...
Nina Uhakika Umejifunza Kitu Kipya!
P. S. By the way k**a unahitaji Kitabu Hiki Leo nataka kuwaongezea Watu 15 Tu Shilingi Tano Tano
Kwahiyo...
Badala ya Kulipia Tshs 10,000/= Ambayo Ndio bei yake halisi ya Kitabu
Badala yake...
Hawa Watu 15 Watalipia...
"Tshs 5,000/=" Tu
OFA Hii itadumu Kwa masaa 24 Tu
Maana yake OFA inaisha Kesho Muda k**a Huu
Kwahiyo...
K**a Unataka OFA Hii...basi Lipia Tshs 5,000/- Tu Kwenda Namba Hizi Hapa Chini 👇
M-PESA LIPA NAMBA
598 1421 & 0789578514 (Airtel Jina James Komu)
Baada ya Malipo nitumie Ujumbe WhatsApp Ili nikutumie Kitabu Chako Ndani ya DKK 2 Tu
Uwe na Usiku Mwema!
Ciao!
James Komu