Grace Tv

Grace Tv Glory Television Is a Christian Television base in Tanzania aim to Broadcast Uncompromised Gospel Te

Maverick City and Kirk Franklin watakuwa Dar es salaam tarehe 15 mwezi wa 8 hakikisha unapata tiketi yako mapema, tiketi...
21/06/2024

Maverick City and Kirk Franklin watakuwa Dar es salaam tarehe 15 mwezi wa 8 hakikisha unapata tiketi yako mapema, tiketi zinapatikana Nilipe na kingdomworldtour.com


Penuel Conference 2024 with Apostle Onesmo Ndegi, Apostle Lillian Ndegi,Bishop Olam Mustapha from Arusha and Apostle Sol...
20/06/2024

Penuel Conference 2024 with Apostle Onesmo Ndegi, Apostle Lillian Ndegi,Bishop Olam Mustapha from Arusha and Apostle Solly Mahlangu from South Africa.

Hello Tanzania 🇹🇿  your time of visitation has come. Muda wako wa kutembelewa na Mungu umewadia. Kimbia jisajili maana m...
04/09/2023

Hello Tanzania 🇹🇿 your time of visitation has come.
Muda wako wa kutembelewa na Mungu umewadia. Kimbia jisajili maana mkutano huu ni bure lakini ni kwa waliojiandikisha tu. Fuata maelekezo kwenye tangazo

Addo November Mwasongwe

Tembelea

www.arenaoftheholyspirit.org

Kutoka Kwa Pastor Tony Kapola.......Let EVERYONE KNOW, TUTAKUWEPO LEO MILLENNIUM TOWERS, MAKUMBUSHO. Tumechelewa sana, L...
21/08/2023

Kutoka Kwa Pastor Tony Kapola.......
Let EVERYONE KNOW, TUTAKUWEPO LEO MILLENNIUM TOWERS, MAKUMBUSHO.
Tumechelewa sana, Let nothing, Let no one stop you. Tukutane LEO jioni kuanzia saa 11:00jioni mpaka Saa 2:00Usiku tunaanza KONGAMANO KUBWA la SIGNS and TOKEN.

Usikose hii. Bila kujihurumia, tujimalize kwenye uwepo wa Bwana. Kusanya na Marafiki zako Replace your past Life na Uwepo wa Mungu. Where you Spend Most of Your Time Matters alot. Mabadiliko ni Maamuzi, Amua sasa. "Kwa mapato yako yote Jipatie Ufahamu" One day Dunia itatuelewa.

Uko na Kibaji cha Kuimba na unatamani kutumika na Mtumishi wa Mungu John Lisu hii sasa ndio nafasi yako. John Lisu anaku...
20/08/2023

Uko na Kibaji cha Kuimba na unatamani kutumika na Mtumishi wa Mungu John Lisu hii sasa ndio nafasi yako.

John Lisu anakukaribisha kutumika pamoja naye na unaweza kufanya hivyo kwa kushiriki Audition Online kwa kutuma Video yako ukiwa unaimba wimbo wowote wa John Lisu kisha unatuma kwa Whatsapp namba 0767869090

Audition hii ni tarehe 21- 27 /08/2023 usikose

Watakaochaguliwa watapata taarifa na kujiunga Pamoja kwa ajili ya ya kuunga na Team ya John Lisu katika Kusherekea Miaka 30 ya Huduma ya John Lisu.


KWA MARA YA KWANZA TANZANIA 🇹🇿 Karibu uhudumiwe na Nabii moja kwa moja ukiwa hapa hapa Tanzania. Watu wa dini zote na ri...
19/08/2023

KWA MARA YA KWANZA TANZANIA 🇹🇿

Karibu uhudumiwe na Nabii moja kwa moja ukiwa hapa hapa Tanzania.
Watu wa dini zote na rika zote mnakaribishwa sana kwa kwenye International Visitors Program mwezi September tarehe 23.
Ni IVP of Prophecies and Prophetic Directions!

Usikose!
🇹🇿

🔴 : 3 DAYS OF LEADERSHIP CONFERENCE - DAY 3 -  DAR ES SALAAM - BISHOP MIKE OKONKWO-FROM NIGERIA
17/08/2023

🔴 : 3 DAYS OF LEADERSHIP CONFERENCE - DAY 3 - DAR ES SALAAM - BISHOP MIKE OKONKWO-FROM NIGERIA

3 DAYS OF LEADERSHIP CONFERENCE - DAY 3 - MORNING SESSION - DAR ES SALAAM - BISHOP MIKE OKONKWO-FROM NIGERIA

17/08/2023

3 DAYS OF LEADERSHIP CONFERENCE - DAY 2 - MORNING SESSION - DAR ES SALAAM - BISHOP MIKE OKONKWO-FROM NIGERIA

🔴 : 3 DAYS OF LEADERSHIP CONFERENCE - DAY 3 -  DAR ES SALAAM - BISHOP MIKE OKONKWO-FROM NIGERIA
17/08/2023

🔴 : 3 DAYS OF LEADERSHIP CONFERENCE - DAY 3 - DAR ES SALAAM - BISHOP MIKE OKONKWO-FROM NIGERIA

3 DAYS OF LEADERSHIP CONFERENCE - DAY 2 - MORNING SESSION - DAR ES SALAAM - BISHOP MIKE OKONKWO-FROM NIGERIA

 : DAYS OF LEADERSHIP CONFERENCE - DAY 2 - DAR ES SALAAM - BISHOP MIKE OKONKWO-FROM NIGERIA
16/08/2023

: DAYS OF LEADERSHIP CONFERENCE - DAY 2 - DAR ES SALAAM - BISHOP MIKE OKONKWO-FROM NIGERIA

3 DAYS OF LEADERSHIP CONFERENCE - DAY 2 - MORNING SESSION - DAR ES SALAAM - BISHOP MIKE OKONKWO-FROM NIGERIA

Address


Opening Hours

Monday 08:00 - 17:00
Tuesday 08:00 - 17:00
Wednesday 08:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 08:00 - 17:00
Saturday 08:00 - 17:00
Sunday 08:00 - 17:00

Telephone

+255785400200

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Grace Tv posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

  • Address
  • Telephone
  • Opening Hours
  • Alerts
  • Claim ownership or report listing
  • Want your business to be the top-listed Media Company?

Share