Asoft media

Asoft media Ni ukurasa wa habari namatukio mbalimbali za ndani na nje ya inchi, ikiwemo habari za michezo

🚨 Official: Algerian defender Djamel Benlamri joins MC Alger on a two-year deal. Contract valid until 2025. The 33-year-...
20/07/2023

🚨 Official:

Algerian defender Djamel Benlamri joins MC Alger on a two-year deal.

Contract valid until 2025.

The 33-year-old formerly played for JSK, Setif, Lyon, Qatar SC Wydad AC and Al-Wasl.


Zamalek SC holding a press conference and then there’s light out. 🚨🇪🇬I hope Mansour Mortada won’t blame the President of...
20/07/2023

Zamalek SC holding a press conference and then there’s light out. 🚨🇪🇬

I hope Mansour Mortada won’t blame the President of Al Ahly for this. 😝


SAMATTA ANUKIA MISRIAl-Ahly  ya Misri imeripotiwa kuwa katika mpango wa kumsajili nahodha wa timu ya Taifa, Taifa Stars ...
29/06/2023

SAMATTA ANUKIA MISRI

Al-Ahly ya Misri imeripotiwa kuwa katika mpango wa kumsajili nahodha wa timu ya Taifa, Taifa Stars Mbwana Samatta wakati huu wa usajili

Vigogo hao wa Cairo kwa sasa wanatafuta mshambuliaji wa kati na chaguo lao la kwanza ni Mkongomani Jackson Muleka.

Hata hivyo, Muleka anayekipiga na Besiktas anadaiwa kutaka kiasi kikubwa cha fedha kujiunga na miamba hiyo barani Afrika.

Lakini endapo watamkosa, bado jicho lao la pili lipo kwa Samatta anayekipiga na Genk,

Kwa mujibu wa Sporx, Krc Genk, wana mpango wa kumuuza Samatta, kwa Dola 3Milioni zadi ya Bilioni 7 za Tanzania Genk wanataka kumuuza Samatta ila huko Ulaya sio Africa

Samatta anaripotiwa kuwa na thamani ya paundi milioni 2.7.

Kuna uwezekano mkubwa wa mshambuliaji huyo wa zamani wa TP Mazembe aliyewahi pia kuichezea Aston Villa akajiunga na timu hiyo kwa sababu Al- Ahly wanahitaji kuwa na mshambuliaji wa kati mapema iwezekanavyo kwa ajili ya michuano ya kombe la Dunia la vilabu linaloanza mwezi ujao.

NINACHOKIJUA KUHUSU ALIKAMWE NA HAJI MANARAkwanza kabisa manara hajawahi kumkubali kamwe na kamwe hajawahi kumkubali man...
19/04/2023

NINACHOKIJUA KUHUSU ALIKAMWE NA HAJI MANARA
kwanza kabisa manara hajawahi kumkubali kamwe na kamwe hajawahi kumkubali manara hii ni tangu manara yupo simba na kamwe yupo azam tv , hawa hawajawahi kukubaliana wala kuongea wala kupiga picha ya pamoja hawajawahi na huwa hawaongei kabisa ni salamu tu kiufupi hawapatani

Haji manara ni miongoni mwa watu waliokuwa wanapinga sana ally kamwe kuwa afisa habari wa yanga sc kwasababu alimjua uwezo wake toka yupo azam tv , na hapa manara akiwekaga uzwazwa wake pembeni huwa ni mtu mzuri sana kumkadiria mtu upeo wake

Chukua haya ninayo kwambia ally kamwe k**a manara ataendelea hivi hivu kumuingilia basi ally kamwe atajiuzulu hii nafasi , ally kamwe hana uvumilivu na pia mtu anayemuingilia kwenye haya majukumu hampendi kwahiyo hawezi kuvumilia maneno yake

Kuna vita ya ally kamwe na haj manara hawa kila mmoja anaamini kivyake , kila mmoja hana time na mwenzake , imagine manara anamkebei ally kamwe kwa kusema kanaongea sana , na yeye huwa haongei sana b4 match

Kiufupi ni kwamba hili zege halitolala tutegemee kuona mgogoro muda wowote kuanzia sasa kati ya wao kwa wao kamwe na manara , na priva kwani kitengo kizima cha mawasiliano , digital yanga hawamkubali manara na hawajawahi kumsikiliza so mgogoro unaweza kuzuka muda wowote

Manara amefika mbali na kusema et match ijayo dhidi ya rivers watadhalilika 🤔 yaani wenzako wanataka waanze hamasa ya mchezo wewe unasema watadhalilika wachukue tahadhari 🤔🤔🤔 sawa nasubiri vina muda basiiiiii

Ameandika Sanitizertz ✍️

mediaUpdate

Baada ya vuta nikuvute ya kimaslai, kati ya clab ya   na mlinzi wao wakati  , hatimae wamefikia makubaliano yapande zote...
15/04/2023

Baada ya vuta nikuvute ya kimaslai, kati ya clab ya na mlinzi wao wakati , hatimae wamefikia makubaliano yapande zote mbili rasmi sasa beki huyo ataendelea kuhudumu katika viunga hivyo vya yellow&green kwamda mwingine wa miaka miwili..
Hii imetoka na kuboreshewa maslai yakimkataba ambapo inasemakana beki uyo atalipwa 10M kwa mwezi


Mwanamke mmoja aliyejulikana kwa jina la Maryam Yahya Maulid mwenye miaka 25 amejifungua mtoto wa kiume akiwa ndani ya b...
15/04/2023

Mwanamke mmoja aliyejulikana kwa jina la Maryam Yahya Maulid mwenye miaka 25 amejifungua mtoto wa kiume akiwa ndani ya boti ya Kilimanjaro V iliyokuwa ikitokea Zanzibar kwenda Dar es Salaam , Aprili 14 saa 7:45 mchana.

Mama alijifungua salama kwa msaada wa Daktari Suleiman wa Sealink na mtoto huyo amezaliwa na uzito wa kilogramu 2.5.

Akizungumza na Azam Online, mume wa mwanamke huyo, Isaka Musa amesema kwasasa mama na kichanga chake wanaendelea vizuri na wamelazwa katika Hospitali ya Mkoa ya Temeke kwa ajili ya uangalizi zaidi.

Asoft mediaUpdate

MANE KUOMBA MSAMAHA LEO.Sadio Mané 🇸🇳 anatarajiwa kuomba msamaha katika mazoezi ya Bayern Munich hii leo kwa kitendo cha...
13/04/2023

MANE KUOMBA MSAMAHA LEO.

Sadio Mané 🇸🇳 anatarajiwa kuomba msamaha katika mazoezi ya Bayern Munich hii leo kwa kitendo cha kumpiga Leroy Sane baada ya kipigo cha mabao 3-0 dhidi ya Man City siku ya Jumanne.

Viongozi wa Bayern walikutana jana na wanazingatia adhabu mbalimbali kwa Mane ikiwa ni pamoja na faini, kusimamishwa kazi au kuondoka katika majira ya joto.

[Sky Sports]

Powered by

Matokeo ya Utafiti wa Kisayansi umeonyesha kuwa matumizi ya njia yoyote ya uzazi wa mpango yenye homoni unaweza kuwaweka...
22/03/2023

Matokeo ya Utafiti wa Kisayansi umeonyesha kuwa matumizi ya njia yoyote ya uzazi wa mpango yenye homoni unaweza kuwaweka wanawake kwenye uwezekano mkubwa zaidi wa kupata saratani ya Matiti.

Wanasayansi waliofanya utafiti huo walikusanya takwimu kutoka kwa maelfu ya wanawake kupitia kituo cha Clinical Practise Research Datalink ( CPRD) nchini Uingereza.

Utafiti huo umebaini kuwa matumizi ya vidonge, sindano na hata vitanzi vyenye homoni huweza kuongeza uwezekano wa kupata ugonjwa huo kwa asilimia 20 hadi 30.

Address

Kariakoo
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Asoft media posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share