Wakarimu Studio

Wakarimu Studio Tunakukaribisha kwa kazi zote za kurekodi nyimbo za audio au video za kwaya, kikundi au waimbaji binafsi(solo artist).

Gharama zetu ni nafuu na pia ukihitaji kutengeza miziki ya kuimbia tunatoa huduma

Tunaendelea kuchanja mbuga. Ebenezer jiwe letu yuko insta kutupigania. Hapa ni KAZI mbalimbali tukiwa zanzibar. Lolote u...
19/12/2020

Tunaendelea kuchanja mbuga. Ebenezer jiwe letu yuko insta kutupigania. Hapa ni KAZI mbalimbali tukiwa zanzibar. Lolote uliko tutakufikiaaa. Tupe KAZI utaelewe zaidi kuliko hizi picha

01/09/2020

Fuatilia kazi zetu hapa na utafurahia zaidi

Imani family wanemaliza kazi yao. Itatokw hvi karibuni. Karibun wengine pia mpate kuguswa na mikono ya ukarimu kwa ubora...
21/07/2020

Imani family wanemaliza kazi yao. Itatokw hvi karibuni. Karibun wengine pia mpate kuguswa na mikono ya ukarimu kwa ubora wa kazi

Imani family kazi nzuri Sana inatoka hvi karibuni. Jiandaen kwa kazi nzuri K**a hiz kutoka kwa miguso ya mikonk ya Wakar...
21/07/2020

Imani family kazi nzuri Sana inatoka hvi karibuni. Jiandaen kwa kazi nzuri K**a hiz kutoka kwa miguso ya mikonk ya Wakarimu

Imani family walifanya Kaz ya kurekodi kwetu .jiandaeni kupokea kazi nzuri zaidi
21/07/2020

Imani family walifanya Kaz ya kurekodi kwetu .jiandaeni kupokea kazi nzuri zaidi

Address

Masantula
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Wakarimu Studio posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Wakarimu Studio:

Share

Category