
23/03/2025
ONYO!!. Usiagize kitu chochote China kabla hujajua mambo haya.!
Ukizingatia, biashara yako itastawi kwa haraka sana, maana kwa kuagiza bidhaa zako mwenyewe utapata kwa bei ndogo sana jambo ambalo litakupa faida kubwa mno kwenye biashara yako.
Na usipozingatia pia, unaweza ukaishia kulalamika tu kwamba unatapeliwa kila kukicha.
Hebu jiulize, k**a bidhaa unazochukua hapa Bongo ni Original, alafu ukiagiza unapata feki, wale wanaouza original wametoa wapi??
Kimsingi wamenunua China huko huko, tatizo ni wewe hujui namna sahihi ya kuagiza bidhaa zako mwenyewe kutoka China.
Habari njema ni kwamba, leo umefika mahali salama.
Naam.
Jina langu ni Ramadhan.
Nawasaidia wafanyabiashara kuagiza bidhaa zao wenyewe kutoka CHINA, Dubai, Uturuki, na U.S.A
Nikuhakikishie tu kwamba, ukijua mbinu sahihi na ukawa na Connection sahihi....
Utaweza Kuagiza bidhaa zako wewe mwenyewe bila kutegemea waagizaji(Baadhi yao ni matapeli)....
Imagine unaagiza bidhaa zako mwenyewe...
Unapata kwa Bei ndogo sana.
Alafu zinakuja Original kabisa k**a ulivyotarajia.🔥
Biashara za wanafunzi wangu zimebadilika kwa kiasi kikubwa baada ya kuanza kuagiza bidhaa zao wenyewe.
Wengi wamepiga hatua kubwa Mno ndani ya muda mfupi tu.
Ni zamu yako sasa.
Karibu kwenye Darasa letu la kufunga mwezi, ambapo nitazungumzia...
"Mambo 5 ya kuzingatia unapotaka kuagiza Mizigo kutoka CHINA"
Utapata Kujua Uanzie wapi, ufanye nini, Uepuke nini, ili unapoagiza bidhaa zako upate katika bei nafuu na katika ubora wa hali ya juu.
Darasa hili ni Bure kwa watu 50 tu wa mwanzo.
Wahi nafasi yako sasa.!
Tuma ujumbe "WhatsApp " sasa hivi, uungwe kwenye darasa moja kwa moja.
Kwa mawasiliano zaidi:
-0748299372
Office zetu zipo:
Dar es salaam, Sinza lego.
Wahi Darasani. Nafasi ni Chache.