Simulizi za Sauti

Simulizi za Sauti AudioBooks, modern story-telling. We produce audio books stories in kiswahili language. Simulizi za sauti toka kwa Msimuliaji Hilali Alexander Ruhundwa

12/10/2025

Wimbo ulio bora

11/10/2025

Je, ulikuwa unajua? Hii ndiyo simulizi ndefu ya kwanza kurekodiwa. Ilirekodiwa mwaka 2013 katika studio za Radio Karagwe mkoani Kagera. Simulizi nyingi zilirekodiwa mwaka 2015 katika studio za Info Radio Mtwara…

10/10/2025
02/10/2025

Msimu mpya na mambo mapyaaa…

26/09/2025

Hilali Alexander Ruhundwa aliisimulia simulizi hii mwaka 2013. Je, inakukumbusha wapi na ulikuwa unafanya nini?

05/09/2025
05/09/2025

Ni mapenzi tu ya Diana yamemzamisha mzimamzima hadi kuitangazia dunia

Mahojiano ya msimuliaji wa simulizi Hilali Ruhundwa kuhusu simulizi za sauti. Vipi aliyejinyonga kwa kukosa simulizi? Wa...
25/08/2025

Mahojiano ya msimuliaji wa simulizi Hilali Ruhundwa kuhusu simulizi za sauti. Vipi aliyejinyonga kwa kukosa simulizi? Waliooana je? Bofya hii video kupata mambo yote.

Fahamu jinsi ya kupiga hela kupitia simulizi za sauti na uandishi wa hadithi. Kwenye episode hii ya Klub A-Z tuko na mwandishi wa habari na vitabu, lakini pi...

25/07/2025

Simulizi fupi iitwayo NAMNYAKI itakujia hivi karibuni.

Simulizi fupi. Coming soon...
17/07/2024

Simulizi fupi. Coming soon...

23/05/2024

Msimuliaji wako Hilali Ruhundwa anaomba umpigie kura ya tuzo ya msimuliaji wa kiume.
Kumpigia kura Instagram bonyeza hapa https://www.instagram.com/p/C7UHvuBs9Mh/?igsh=dzIyc24zcGJvdXBq kisha comment 2 au andika Hilali Alexander Ruhundwa. kwenye comment utakuwa umepiga kura.
Anaomba pia umpigie kura Facebook kwa kubonyeza hapa https://www.facebook.com/share/p/aUive3pCsJArEJ2c/?mibextid=qi2Omg kisha kwenye comment 2 au andika Hilali Alexander Ruhundwa.
Unaombwa kupiga kura pote instagram na facebook.
Mungu akubariki sana🙏

Tunaomba kura yako kwa kuichagua Brand ya SIMULIZI ZA SAUTI ambayo ndiyo kongwe na mwanzilishi wa Simulizi za Sauti Tanz...
23/05/2024

Tunaomba kura yako kwa kuichagua Brand ya SIMULIZI ZA SAUTI ambayo ndiyo kongwe na mwanzilishi wa Simulizi za Sauti Tanzania. Fungua kisha angalia post ya tuzo za Brand na kwenye comment andika 1 au andika Simulizi za Sauti.
Asanteni sana Mungu akubariki na endelea kuburudika na simulizi.

Address

Kijitonyama
Dar Es Salaam
33030

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Simulizi za Sauti posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Simulizi za Sauti:

Share