Essence of Tanzania

Essence of Tanzania "Photos, Videos and Stories of Tanzania: Be Part of Our Journey" now in MWANZA📍

ALL ABOUT TANZANIA LIFE is a page hosted by Allen Epafrance known for touring and seeing the beauty of Tanzania� through pictures, videos and text.

Mtanzania kuna fursa gani zinapatikana mkoani kwako tuje tuwekeze kwa pamoja? Mwenye wazo bora hapa kuna nafasi ya kushi...
21/07/2025

Mtanzania kuna fursa gani zinapatikana mkoani kwako tuje tuwekeze kwa pamoja? Mwenye wazo bora hapa kuna nafasi ya kushirikiana kwa pamoja. Kazi kwako😎

Bajaji za Mwanza, zimeniacha mdomo wazi sasa😂, Hebu tazama huyo wa katikati ndio mimi na dereva wetu ndio huyu wa upande...
19/07/2025

Bajaji za Mwanza, zimeniacha mdomo wazi sasa😂, Hebu tazama huyo wa katikati ndio mimi na dereva wetu ndio huyu wa upande wa kulia wa picha na abiria mwenzangu akiwa amekaa upande wa kushoto wa sehemu ya mbele ya Bajaji, eneo ambalo anapaswa kukaa dereva pekee😄😁😆. Upande wa nyuma wa Bajaji kuna abiria wengine wanne (4). Mkoani kwako mnapanda bajaji watu wangapi? hii inaitwaje kimtaa mtaa😀😃😃😅?

Mwanza , they have left me speechless now😂, Look at the middle one is me and our driver is the one on the right side of the picture and my fellow passenger is sitting on the left side of the front of the motorbike, the area where the driver should sit alone😄😁😆. At the back of the Bajaj there are four (4) other passengers. How many people ride Bajaj in your region? What is this called kimtaa mtaa😀😃😃😅?

In love with Mwanza ❤️ Hapa napo hampajui🙄🙄??
18/07/2025

In love with Mwanza ❤️
Hapa napo hampajui🙄🙄??

Siamashish—shishishi watu kutumiaaa vileevi jamani, lakin—lakini bwana eeeh, nilivyorudi Mwanza nikakutaaana na kinywaji...
17/07/2025

Siamashish—shishishi watu kutumiaaa vileevi jamani, lakin—lakini bwana eeeh, nilivyorudi Mwanza nikakutaaana na kinywaji hiki jamani eeh! 😵‍💫 K**a kaziii yaangu ... mi napenda kugunduaa—kugundua vinywajii vipyaaa. Leo hiiii kitu kimeni... kimeniTOA! 😩 ImeniNYOOSHA 8.5 sio mchezo, Ee bwana weee!! 🍻
Watu wa Dar, hii kitu isha... ishaaFIKA huko kwenu? Maana huku kwetu imeshaanza kuteka watu sasa😄😁🤣

Essence of Tanzania

Rïck Småsh aliniambia nitembelee eneo hili pia.  Pichani kuna majengo ya serikali na majengo ya watu binafsi, asilimia 9...
17/07/2025

Rïck Småsh aliniambia nitembelee eneo hili pia. Pichani kuna majengo ya serikali na majengo ya watu binafsi, asilimia 90% ya watu hapa hawatajua hapa ni wapi. Kwa wale wa Dar es salaam eneo hilo pichani jina lake mnalisikia sana kwenye vyombo vya habari.

Asante  , Asante   nitarudi tena kwa kishindo. 🔴🟠⚪️
16/07/2025

Asante , Asante nitarudi tena kwa kishindo. 🔴🟠⚪️

can you guess that location ?unaweza kukisia eneo hilo?Rïck Småsh naanza kuyaangazia maeneo yote uliyochagua tuyaangazie...
16/07/2025

can you guess that location ?
unaweza kukisia eneo hilo?

Rïck Småsh naanza kuyaangazia maeneo yote uliyochagua tuyaangazie hapa.

Unataka kujua nini kuhusu hifadhi ya taifa ya  kisiwa cha saanane?  Kuna mtu yeyote hapa amewahi kutembelea hifadhi hii ...
15/07/2025

Unataka kujua nini kuhusu hifadhi ya taifa ya kisiwa cha saanane?
Kuna mtu yeyote hapa amewahi kutembelea hifadhi hii iliyopo ndani ya ziwa ?

Nipo hapa👇 Namalizia safari ya dhahabu katika mkoa huu😀😃 Unafuatilia ratiba? Unajua ni mkoa gani huu ticket imesoma??.🔴🟠...
14/07/2025

Nipo hapa👇 Namalizia safari ya dhahabu katika mkoa huu😀😃 Unafuatilia ratiba? Unajua ni mkoa gani huu ticket imesoma??.🔴🟠⚪️🇹🇿

I'm here👇 I'm finishing the golden journey in this region😀😃 Are you following the schedule? Do you know which region this ticket is reading?Rïck Småsh🇿

Rïck Småsh


Unadhani ni sehemu gani ndani ya nchi ya Tanzania bado hatujaifikia hapa? Acha tuvunje rekodi kwa pamoja, taja sehemu tu...
10/07/2025

Unadhani ni sehemu gani ndani ya nchi ya Tanzania bado hatujaifikia hapa? Acha tuvunje rekodi kwa pamoja, taja sehemu tutembelee huko katika safari ya kukamilisha kilomita elfu 20 kuzunguka nchi nzima.

What part of Tanzania do you think we haven't reached yet? Let's break records together, name a place we should visit on our journey to complete 20 thousand kilometers around the entire country.

Tukutane  . Next stop Mwanza Tanzania 🇹🇿.
09/07/2025

Tukutane . Next stop Mwanza Tanzania 🇹🇿.

Siku 4 za kwenda😎 unajua kituo kinachofuata ni ???.........  Najua haujui pia jina la uwanja huu, muulize jirani yako😄😁😆...
08/07/2025

Siku 4 za kwenda😎 unajua kituo kinachofuata ni ???......... Najua haujui pia jina la uwanja huu, muulize jirani yako😄😁😆😅.
Rïck Småsh

Address

Dar Es Salaam

Telephone

+255717021170

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Essence of Tanzania posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Essence of Tanzania:

Share